Search results

  1. J

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    sijakuelewa hebu weka hoja zako kwa kutoa fact. Unapopinga hoja kwa porojo bila evidence inakera na kuboa bora ukae kimya
  2. J

    Deogratius Kisandu Apewa Kazi ya Kufanya NCCR-Mageuzi

    Alikuwa analalamika cdm wanachama wapya wanadhamiwa, kwake imekuwaje huko nccr!. Hebu 2one na huko kama atatangaz kugombea uraisi!. Hafai hata kuwa diwani kwa jinsi alivyo.
  3. J

    Aliyekuwa kiongozi wa BAVICHA atua NCCR-Mageuzi

    Nenda tu inaonyesha hata uelewa ni ndogo kwa jinsi unavyoelezea.
  4. J

    KADA wa CHADEMA Mahakamani kwa kubaka mwanafunzi

    Haya masualama ya mtu binafsi wala hayahusiani na CDM.
  5. J

    Uchaguzi wa CHADEMA 2013, Naanza mwaka mpya kwa kutofautiana kidogo na bosi wangu Mbowe

    Mbowe bado tunamhitaji sn kwenye mapambano hayo.
  6. J

    Heri ya mwaka mpya Ndugu zanguni, Nmashukuru Mheshimiwa Rais kwa kutuahidi katiba mpya kabla ya 2015

    Kumbuka katiba mpya imetokana na shinikizo la CDM. Ww kaa kimya kama tz hauielewi cc 2naokaa tz ndo 2najua tz yetu ikoje. Pia namashaka na ww nn kilikuleta cdm na nn kimekupeleka ccm?. Jbu la haraka kama sio uelewa ndogo ktk masuala ya tz kwa ujumla basi ni njaa. Kama jbu ni ndio basi haufai...
  7. J

    Heri ya mwaka mpya Ndugu zanguni, Nmashukuru Mheshimiwa Rais kwa kutuahidi katiba mpya kabla ya 2015

    Kumbuka katiba mpya imetokana na shinikizo la CDM. Ww kaa kimya kama tz hauielewi cc 2naokaa tz ndo 2najua tz yetu ikoje. Pia namashaka na ww nn kilikuleta cdm na nn kimekupeleka ccm?. Jbu la haraka kama sio uelewa ndogo ktk masuala ya tz kwa ujumla basi ni njaa.
  8. J

    Heri ya mwaka mpya 2013! Nawashukuru, Nawaomba radhi!

    hongera sana kwa kufikisha kwa mh. Zzk kile ambacho nilipenda imfikie hapo sina la kuongeza (ujumbe mzuri kwa zzk).
  9. J

    Arusha tutaendelea kuwa kielelezo cha mabadiliko ya kweli 2013 – Lema

    Pamoja sana kamanda nakupongez kwa ujasiri wako. Tz itabadilishwa na watu wajasiri ktk kupigania haki na maendeleo ya kwel ktk taifa hili. Pamoja sana
  10. J

    Heri ya mwaka mpya 2013! Nawashukuru, Nawaomba radhi!

    Matendo yako mbele ya jamii ndo yatakusamehe, (ushauri wang kwako usipende kujiinua subiri watu wanasemaje ukifanikiwa ktk hilo utafika mbali)
  11. J

    Deogratius Kisandu wa BAVICHA ajiuzulu uanachama CHADEMA

    Ubunge umekushinda Kuupata urais ndo utawez fikirien mara pengine sio kuongea kwa sababu unawez kuongea
  12. J

    Kufuru Katiba Mpya: Kila mjumbe wa Tume analipwa Sh milioni 294 Baregu, Warioba wapata kigugumizi

    Hii nchi inaliwa na wachache kweli! Ni lini hawa wafuja jasho watafaidi matunda ya jasho lao?. Bado kuna kila sababu ya kutafuta uhuru wa kweli.
  13. J

    Prof. Shivji apinga sehemu ya hukumu ya kesi ya Lema

    Shivji ni binadamu kama wengine tukubali kuna sehemu anakosea, sawa mpiga kura anahaki ya kufungua kesi coz anamasilahi kwenye uchaguzi lkn suala hapa ni mwenendo wa uchaguzi uliadhiri vp haki ya mpiga kura!
  14. J

    Singida: Diwani wa kata ya Iseke ajiuzuru

    Wacha wanunuliwe lkn cdm chama makini inasonga mbele
  15. J

    Dk. Mwakyembe: Asiyeipenda bodi mpya TPA aache kazi

    Hayo ndo yanayotakiwa kwa maendeleo ya nchi hii
  16. J

    Lema kufufua mgogoro wa Meya Arusha

    Lema tupo pamoja sn! Hatuwez kuwakumbatia viongozi wasioingia kilali, uchaguz urudiwe hata kama watashinda.
  17. J

    Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

    Hainogi/haina ladha 7bu hii ya kwanz ni empty na ya pili pia ni nusu. Ungeleta kitu kilichokamilika mara mmoja ingependez zaidi.
Back
Top Bottom