Search results

  1. H

    Kwanini CCM wanamchukia Warioba?Sababu ni hii hapa!!

    Haya yote tuliyalea toka mwanzo... Lakini kwa ujumla tusitegemee kitu cha maana kutoka pale bunge la katiba... Kwanza binafsi sikuona sababu ya mlundikano wa umati wote huo wa wajumbe ndani ya bunge la katiba. Wajumbe 100 wazalendo na wenye dhamira njema kwa wananchi wa Taifa hili walikuwa...
  2. H

    Kauli ya Pinda sasa kwa January Makamba

    Nami nasema pigeni tu tumechoka.
  3. H

    Kikwete: Bagamoyo Wafidiwe kwa kujengewa nyumba

    Huu nao ni UPUMBAVU.Hivi kumbe JANGA la KITAIFA (JK) nae ni --------...!!
  4. H

    Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Gairo amwagiwa Tindikali

    Hiki kweli ni CHAMA CHA MAPUMBAVU. (CCM) Mheshimiwa PUMBAVU swali la nyongeza...? ha! ha! ha! MIMI NASEMA WAMWAGIWE TU. MAANATUMECHOKA...! Aghaaaaaaa.. . Liwalo na Liwe.
  5. H

    N/Mkurugenzi mipango na uchaguzi wa CUF ametekwa Mtwara...

    Ha! ha! ha...!Mme kamteka mke? WAACHENI WANA WALI WALI WALE WALI WAO!
  6. H

    Jaji Tendwa: Nitaifuta CHADEMA lakini CCM siwezi...

    Mpumbavu wa kwanza ni DHAIFU.
  7. H

    CHADEMA "achaneni" na Dr.Slaa (Ushauri)

    Umeeleweka mkuu. Mada ilikuwa inaeleweka vizuri tu.Kutoa maoni ni haki ya kila mtu.
  8. H

    Mbowe, Lissu, wazuiwa kuingia Bungeni

    Kwani mavazi ndo yanachangia hoja bungeni? Vaeni vyovyote wanavyotaka.Sisi wapiga kura wenu tunataka tuwaone mjengoni mkiichachafya CCM.
  9. H

    Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

    Hili nalo ni pepo katika sura ya uaskofu. Ku--mama---yo! Ibilisi mkubwa wee!
  10. H

    Mwigulu Nchemba umepiga msumali wa moto,CHADEMA wanajitetea na DRV na CCTV

    Naona MWIGULU anatekeleza plan B ya kujinasua na CCM yake. Jana katapika bungeni, leo katuma vijakazi wake kuja kupima upepo hapa JF. Nyie vijakazi wa mwigulu timizeni wajibu wenu ili mgange njaa. Ukweli unabakia pale pale kwamba CCM kupitia mwigulu inahusika na yaliyotokea,yanayoendelea kutokea...
  11. H

    Mwigulu Nchemba umepiga msumali wa moto,CHADEMA wanajitetea na DRV na CCTV

    Mbona unahangaika? Bila shaka wewe ni TASWIRA YENYE MAKENGEZA. Kwa hiyo wewe ulitaka uone mikono ya MWIGULU imeshika kamela ndo uamini? Halafu hujanawa hata uso unakuja kuwewesekea hapa JF. Kajipange upya la sivyo leo hulipwi.
  12. H

    Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

    Huenda ni hao hao polisi.Walikuwa wanatekeleza kauli ya MR.CROCODILE FACE aliyoitoa bungeni. Walihisi ni MNYIKA na wafuasi wa CHADEMA wanapanga kuiteka ikulu. Pole kwa mhanga.Watanzania tuwe makini sana mahali popote tuwapo na wakati wowote maana TANZANIA si salama tena.
  13. H

    polisi: MBOWE NA LEMA POPOTE WALIPO WAJISALIMISHE WENYEWE POLISI

    Hivi kumbe logic ya polisi jamii ilimaanisha polisi kuua raia...!?
  14. H

    Kilosa: CCM na CHADEMA wazichapa toka saa tisa usiku, majeruhi wapelekwa hosp ya wilaya

    Naona KINANA amehamishia mbinu zake za ujangili dhidi ya tembo kuikabili CHADEMA. Na huo ndo mtaji wa mwisho wa CCM.Baada ya hapa ni mazishi ya CCM.
  15. H

    Nape Nnauye: CCM tunapinga Uwepo wa Serikali Tatu.

    NEPI YA CCM imezeeka...! Tunataka TANGANYIKA ijipambanue peke yake na kuiachia ZANZIBAR mamlaka kamili kama nchi. Halafu tuendeleze ujirani mwema na kuuenzi kama ulivyoasisiwa na wazee wetu.
  16. H

    Sumaye awekeza Shilingi Milioni 931 Benki ya CRDB

    Bora hata SUMAYE yeye kaamua kuwekeza nchini. Je wengine waliokwapua rasilimali zetu na kuamua kutokomea nazo gizani. Hongera SUMAYE kaza buti...!
  17. H

    Lissu atia fora bungeni

    Napendekeza Tundu LISU aingizwe kwenye TUNU zA TAIFA.
Back
Top Bottom