Search results

  1. R

    Kurugenzi habari Ikulu yakanusha rais kusaini posho kama ilivyo ripotiwa na magazeti

    Kwa jinsi serikali yenyewe ilivyo, hatuwezi kuiamini. Inawezekana JK kasaini lakini baada ya kuona ngoma ya mgomo wa madaktari huku serikali ikdai haina fedha ya kuwalipa madai yao, sasa inataka kumfanyia Mtoto wa Mkulima Pinda kama ilivyofanya kwa mtangulizi wake EL kwa kumtoa kafara. Pinda...
  2. R

    CHADEMA Arusha yatoa mkono wa pole kwa jeshi la polisi Arusha

    Picha za viongozi wa Chadema wilaya ya Arusha wakiwa pamoja na Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha, Thobias Andengenye walipokwenda ofisini kwa kamanda huyo kutoa mkono wa pole wa Shilingi 200,000 kwa jeshi la polisi kutokana na tukio la mtu anayedaiwa kuwa jambazi sugu kumuuawa kwa kumpiga risasi...
  3. R

    CHADEMA Arusha yatoa mkono wa pole kwa jeshi la polisi Arusha

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilaya ya Arusha kimetoa ubani wa shilingi 200,000 kwa jeshi la polisi mkoani Arusha kwa ajili ya rambirambi ya kifo cha Askari polisi wa kitengo cha upelelezi, Kijanda Mwadu aliyeuawa kwa kupigwa risasi na mtu anayetuhumiwa kuwa jambazi sugu wakati...
  4. R

    Mwenyekiti NEC ni Shemeji wa Lowassa - Janga kubwa sana

    Mie nadhani hoja hapa siyo mteule huyo kuwa shemeji, kaka, mjomba, binamu, baba wala ndugu wa nani. Hoja ni kwamba licha ya sifa zote alizonazo zinazomwezesha kushikilia nafasi hiyo, Je, anao uwezi kifirka, kimaadili na nguvu ya kimwili kuhimili mikiki na changamoto za kizazi hiki cha www.com...
  5. R

    Mwenyekiti NEC ni Shemeji wa Lowassa - Janga kubwa sana

    Mie nadhani hoja siyo aliyeteuliwa anatoka kabila gani, shemeji, mkwe, mume, kaka, mjomba au ndugu wa nani. Hoja ni je, pamoja na sifa anao uwezo kifikra, kimaadili na nguvu kimwili wa kutekeleza majukumu yake katika kipindi hiki cha www.com. Huu ndio mjadala tunaotakiwa kuwa nao. Mwanzoni mwa...
  6. R

    Picha za mbunge viti maalum joyce mukya (chadema) akitoa zawadi ya sikukuu kwa yatima

    Picha ya 1 Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Arusha Joyce Mukya (Chadema), kushoto, akikabidhi zawadi kwa mwakilishi wa kituo cha watoto yatima cha Medical Daughters of Mary Saint Joseph Health Orphanage cha Kiseriani wilayani Arumeru, Happines Antony na mtoto wa kituo hicho, Magereth John wakati...
  7. R

    Mheshimiwa Mbunge Joyce Mukya atoa misaada kwa watoto yatima Arusha

    Mheshimiwa mbunge wa viti maalum mkoa wa Arusha, Joyce Mukya jana ameamua kusherehekea Sikukuu ya Christmas na Mwaka mpya kwa kutoa zawadi mbalimbali kwa vituo vitano vya kulea watoto yatima vilivyoko Manispaa ya Arusha na wilaya ya Arumeru. Misaada iliyotolewa na mbunge huyo ambaye hii ni mara...
Back
Top Bottom