Search results

  1. lastman

    Picha: Mkuu wa nchi mwenye upendo na watoto

    Angalia kwenye picha hapo bodyguard nyuma sidhani kama anapenda watoto.
  2. lastman

    Soon, Ally Hapi atakuwa ndani ya mfumo

    Naona mtu ana jitaja ili akumbukwe..
  3. lastman

    Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    Kuna kitabu nilisomaga kinaitwa the stupid old man..
  4. lastman

    Waziri Mpango: Rais Magufuli amenipigia simu kuhusu michango ya Bashe na Nape Bungeni

    Hizi habari atakuwa kazipata kwa mange kimambi..
  5. lastman

    Rais Magufuli: Nilivyoingia sukari Ilikuwa Sh. 5,000/- sasa hivi imeshuka na itaendelea kushuka

    ACHA UBISHI WEWE,HIYO NI BEI YA SUKARI IKULU? Sasa wewe ushawahi kununua sukari kwenye duka la ikulu? Wa tanzania sio wazalendo kabisa...
  6. lastman

    Mkutano wa leo wa CHADEMA kwa waandishi wa habari waacha maswali mengi

    Kwa sababu nchi aina ajira na wewe unawaza tumbo lako tu,ngoja nikujibu 1:lissu ni mgonjwa na taifa linajua,ndo maana ni swala lakitaifa,wewe baba yako akiumwa anaishia kujia mjomba wako tu..na swali la hali ni ya kifamilia na madaktari,maana kama ana hitaji figo ata ukitangaziwa uwezi toa,kwa...
  7. lastman

    Rais Magufuli ni tunu waliyopewa watanzania

    Kwa ujinga kama huu,TUNA MUHITAJI LISSU KUSHINDA YEYE ANAVYO TUITAJI..#prayforlissu
  8. lastman

    Kama Nairobi wamesema wametoa risasi nane kwa Lissu, lengo la madaktari wa Dodoma kutoa tano ni nini?

    Madaktari Wa dodoma walikaa na mgonjwa chini ya masaa12 tu,so tu wapongeze kwa hilo,nairobi wako na mgonjwa siku 11 nao wanaitaji pongezi zaidi,,Wakati huu tuachane na habari zakupata maelezo,Ila tumuombee na kama uwezo upo tumchangie.#prayforlissu
  9. lastman

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    Kwani lemutuz anataka kusema nini? Tukio liko staged ? Maana naona mara alivaa shati blue,hii inasaidia nini kwa sasa? Mgonjwa yuko mahuti huti,kweli unawaza alivaa shati gani? Dereva wala lissu wala mbowe hawajasema lolote kuhusu kumtuhumu watu unao jaribu kuwatetea? Hivi vita yako na mange...
  10. lastman

    Petra yasema haihusiki na uthaminishaji wa madini, kukaa mezani na serikali kusuluhisha tatizo

    Kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari kuhusu matokeo ya uchunguzi kwenye sekta ya madini ya almasi kutoka kwenye kamati ya bunge nchini Tanzania, kuhusiana na hili, Petra inathibitisha kuwa kifurushi cha almasi(carati 71,654.45) kutoka mgodi wa Williamson nchini Tanzania kimezuiwa...
  11. lastman

    Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    Kwenu Police.. Napenda kutoa angalizo,mazingira rafiki yanazidi kupotea,Wananchi imani yao inazidi kupotea,matukio makubwa kama hili liliomkuta Mh Tundu Lissu,linaleta watu pamoja na kuwaangalia nyie walinzi wetu kama wakombozi. Tukio hili sio kama matukio mengine,tukio hili linaweka tofauti...
  12. lastman

    Karipio la Rais Magufuli lilivyommaliza Lowasa kisiasa

    Mzee wa watu kaongea maneno mawili tu,rais wenu kataka kulia,ooh mara polisi kama teniii,sisi huku tunasubiri augsti tumpe kenyata nchi yake,apandane na diktectra wenuuu..siasa za kitz zimekaa kichuro sanaa,atiii
  13. lastman

    Magufuli, wewe ni Rais wa Tanzania sio Kanda ya Ziwa tu

    Mchochezi,au muhujumu uchumi wewe.
  14. lastman

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    unaanza lini kutoa mafunzo,lakini kuna wahindi nao wanatoa hizo training hapa bongo kwa 400 a week,kwa hiyo utakuwa umetusaidia
  15. lastman

    January Makamba akana kuutaka uwaziri Mkuu. Neno kuntu kwa Mzee Lowassa

    Chuki yako dhidi ya lowassa itakumaliza ki afya..
  16. lastman

    Wanaosema ACACIA wako sahihi wamewahi kujiuliza hili swali dogo?

    Hahahahahahahahahahahahahhahh brother ymenifurahisha sanaaa
  17. lastman

    Dr. Mwakyembe: Sikumhoji Lowassa kwa sababu ushahidi dhidi yake ulikuwa unajitosheleza!

    KWANI TUME SEMA HATOE HUKUMU KWA BASHITE? NATURAL JUSTICE HATA MWIZI UKIMKUTA NA MALI NYUMBANI KWAKO ANAIBA LAZIMA AHOJIWE.. Hiyo yako ni principal ya mchumia tumbo..
  18. lastman

    Haijawahi kutokea toka 1995, Hatimaye Lowassa apotezwa kisiasa

    Lowassa kasahulika? Mbona wamtaja? Watanzania bana,ndo maana tukiambiwa tuonyeshe vyeti tunalia kanisani..
  19. lastman

    TUSISAHAU KUDAI VYETI

    Habari zenu wadau. Kunatoka na wimbi kubwa na mfumuko Wa habari mbali mbali tusisahau kudai vyeti,maana chanzo cha yote yanayo endelea sasa hivi ni baada kudai vyeti.. Nguvu kubwa inayo tumika kukinga hili lipite pamoja na kukingiana vifua,kupoteza Waziri,kuvamia radio,kushindana na...
Back
Top Bottom