Wazazi wetu? Mkuu unaongea nini? Hapa tunamkosoa Mkuu wa nchi. Kama hataki aache Urais. Hakuna kiongozi asiyekosolewa. Ukiona ukosoaji umezidi basi ujue kweli unapotea na si kuanza kulalama eti usikosolewe. Rais Magufuli awe humble na asikilize ushauri na maoni kama kiongozi mzuri. Kama hataki...
Martin Luther King Jr hakuwa mwanasiasa bali Mchungaji na alileta mabadiliko ya kihistoria Marekani. Yeye pia alionekana National Security Threat kwa serikali ya kibaguzi ya wakati huo leo ni shujaa mpaka ana siku yake maalum.
Tunaomba mtuwekee cctv footage ya tukio. Hapo inabidi huyo Makonda akamatwe na aeleze hiyo private militia yake yenye SMG ni akina nani na je wana permit gani?
Tuache kucheka au kutetea mambo kama haya!
Tupo ambao hatuna team na tutafurahi sana kuona Bashite anapigwa chini. Kwa haraka kati ya wakazi wa Dar es Salaam ni kama 80% hawamtaki 10% ni wapambe na wanufaika na 10% hawana opinion
Itumike akili kuliko nguvu .. kelele ziende sambamba na action .. hatua ya kwanza nzuri ni ile tuliyosikia ya kumfungulia kesi mahakamani. Hata Mahakama ikitupilia mbali lakini kwa muda huo tunapiga kelele tuuu.
Suala la Bashite si kuhusu yeye personally ila ni kuhusu:
1. Integrity ya taasisi...
Na ndiyo point muhimu - tusiruhusu team Makonda kuleta hoja zingine. Hapa hakuna team nini wala lile. Katumia FORGERY kupata vyeo na kazi achukuliwe hatua za kisheria. Mambo mengine ni blahblah.
Huo uzinduzi mbona kavizia vile na hajiamini. Ka kilomita kamoja, msafara umepwaya na media...
Mkuu kwa sisi tusiokuwa na a stake in the party tunashangaa kwa nini wenye vyama vyao nje ya CCM wanaongea kwa jazba. Hili suala ni la CCM tena vikao vyao vya ndani. Ni kweli ina affect sisi sote maana ndo imeshika hatamu lakini kwa upande wa upinzani wajikite kutuletea sura mpya na za kuaminika...
Kamishna Sianga keshakabidhiwa vita hivi na tuna imani naye. Makonda hana kazi tena ktk vita hivi mkuu labda kujipendekeza tu! Atafute kiki kwingine na aanze kwa kuweka vyeti.
Until then tufe na njaa? Uzalishaji na usambazaji uko mikononi mwa sekta binafsi ambayo kwa sasa imekuwa kama imepigwa ganzi. Tusubiri basi bei ya chakula iwe maradufu ya sasa!
Mkuu ingekuwa usalama basi wasinge iacha iende kama ilivyo. Tunapenda kukuza tu mengine. Hii amerekodi Mama Sepetu hakuna mjadala. Na kibaya Mama alikuwa anauliza maswali na kujirudiarudia maksudi. Ushahidi huu kampa Wema. Na Wema tokea juzi yuko na akina dada wa Chadema naamini aliwasikilizisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.