Search results

  1. Ariella A.K

    Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

    Chukua tarehe ya mwisho aliyoona siku zake rudi nyuma siku 15, itakuwa siku ya hatari kwanini mwezi Huu.....
  2. Ariella A.K

    Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

    It's a HIT SONG!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Ariella A.K

    CRDB monthly manteinance fee from shs 1770 to 1888shs

    Exim Bank.... The Best.... No hidden charges.... Better customer services... Sijuti...
  4. Ariella A.K

    Prison breake vs into the bad land

    Hakuna movies zenye titles umetaja. Kuna series. ...
  5. Ariella A.K

    Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

    Naomba kueleweshwa siri ya namba 7 kwenye uumbaji. ...if you won't mind. Thanks.
  6. Ariella A.K

    Ujambazi FNB(Bank): Dada adakwa kwa ujambazi

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. Ariella A.K

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Dr. Naomba msaada wako... Mama yangu of 62 yrs old hapati usingizi. Aeza ingia kwa bed saa 4 usiku saa 5 akaamka ndo halali tena mpaka kesho. Anateseka mno...nini twaeza fanya?
  8. Ariella A.K

    Series (Special thread)

    Hakuna link ya drama za marekani jamani?
  9. Ariella A.K

    I ain't your mama

    Una tatizo si bure..... Ni wimbo mzuri.... Ameupenda.... Umejishtukia tu...
  10. Ariella A.K

    Series (Special thread)

    Not anajua ni dada yake bali mama yake mkubwa
  11. Ariella A.K

    Maisha ya Masanja akiwa shambani

    Wewe utakuwa wapi?
  12. Ariella A.K

    PJ na Hando wameanza vizuri E-Fm

    Kipindi chao Ni SAA ngapi?
  13. Ariella A.K

    BLACK ACTORS; WHO'S YOUR FAVOURITE ONE..???

    Nafikiri you meant to say Wayans Brothers....hakuna Wayan Brothers
  14. Ariella A.K

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Naomba kufahamu... 1.Kuku mmoja (layer)aliyeanza kutaga anapaswa kula chakula chenye ujazo gani? 2. Kuku kukosa madini ya calcium (kudonoana na kula mayai) nini kifanyike? 3. Kuku kuacha chakula (kutokula) nini sababu na solution 4. Idadi ya vyombo vya kulishia (feeders na drinkers)...
  15. Ariella A.K

    Je, Ni heshima kwenda na mkeo wa ndoa tena ya kanisani Club?

    Inategemea na nyie wenyewe.... Mie wangu nabanana naye kila kona....ni mwili mmoja...so everywhere tuko pamoja.... Sasa wewe unataka nimuachr club aende na kimada????
  16. Ariella A.K

    Msaada tafadhali, naachikaje?

    Pole sana.... Niko ndani ya ndoa miaka zaidi ya 10 sasa. Ndoa si uvumilivu.... Ndoa ni upendo... Huwezi kuvumilia vipigo,matusi wala yanayofanana na hayo...unless na wewe unayafanya.... Maamuzi unayo wewe...
Back
Top Bottom