Search results

  1. Song of Solomon

    The must read story!

    Nikiwa sina hili wala lile mtoto wa Mjasiriamali napita vitongoji kadhaa ndani ya Wilaya ya Njombe Kata ya Yakobi. Nakutana na mzee mmoja akiwa amejichokea taabani kweli kweli. Mzee ameshikilia mkwaju wake! Bila ajizi nampatia mzee heshma yake! Mzee anaipokea heshma yake na ninamwambia...
  2. Song of Solomon

    Mambo 11 ya kuzingatia ili kuepuka vifo vya ghafla!

    pamoja na vifo vinavyochangiwa na stress na mazingira magumu tunayoishi vimezidi kuongezeka. Tafadhali epuka; i. Kukasirishwa kirahisi na mwenzi, watoto, marafiki, wafanyakazi wenzako, majirani, wasaidizi wa majumbani n.k. ii. Epuka kujibu kwa ukali au kufoka mara kwa mara, jaribu kupunguza...
  3. Song of Solomon

    Kwanini wazee wetu walipenda tuoe wanawake bikira?

    Ya kale Ni dhahabu ndiyo kitu ninachoweza kusema, Kwenye ndimi za waliotutangulia Basi Kuna hekima ndani yake. Miaka iliyopita wazazi wetu walikuwa wao ndiyo wanapendekeza mtoto wao wa kiume Ni msichana gani amuoe, na walikuwa hawapendekezi tu Ila ukiona amependekezwa msichana Basi ujue...
  4. Song of Solomon

    Zijue aina mbalimbali za wake!

    1. MKE SHEREHE (party wife) Hawa muda wote wanawaza sherehe na starehe tu, utawasikia kesho sendoff, birthday, graduation, mara kitchen party. Wako tayari kutumia hela ya chakula kwa ajili ya kununua viwalo, vipodozi, kutengeneza nywele, kuchangia sherehe. 2. MKE KAMUSI (dictionary wife) Hawa...
  5. Song of Solomon

    Shirikiana nami kufanya maombi haya juu ya watoto wako!!

    Maombi kwa ajili ya watoto Leo ni siku ya Maombi kwa watoto. Ungana nami kuwaombea watoto wetu wote bila kujali umri wao. Tafadhali chukua muda kusema maombi haya kwa ajili ya watoto wako: waite majina yao: [emoji547]Ee, Mwenyezi Mungu, watoto wangu (wataje) ni zawadi na ushuhuda, na kwa hili...
  6. Song of Solomon

    Mauzauza ya NHIF na upumbavu wa serikali ya CCM

    Kuanzia leo tar.1 March 2024, vituo binafsi vya huduma za afya nchini vimekubaliana kutokupokea wateja wa NHIF. Maana yake ni kwamba wagonjwa wanaotibiwa kwa NHIF wako hatarini kukosa huduma. Kumbuka, takwimu zinaonesha zaidi ya 80% ya wagonjwa mahospitalini ni wanachama wa NHIF. Ni chini ya 20%...
  7. Song of Solomon

    Polisi wadaiwa kuua vijana wawili vingunguti

    Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha...
  8. Song of Solomon

    Kikosi bora Caf

    ... [emoji599] | 𝗞𝗜𝗞𝗢𝗦𝗜 𝗕𝗢𝗥𝗔 (𝗖𝗔𝗙) Kikosi bora cha wiki cha ligi ya mabingwa Africa na performance yao (Ratings). ◎ 8.2 - Memmich (GK) ›› Petro Atl [emoji1029] ◎ 8.2 - Yao Kouassi ›› Yanga [emoji1241] ◎ 7.9 - Coulibaly ›› ASEC [emoji1081] ◎ 8.1 - Mwamnyeto ›› Yanga [emoji1241] ◉ 8.8 - Pacome...
  9. Song of Solomon

    Sheria ya kumhudumia mwanamke ifutwe, kwa sasa ajira zinatolewa kwa wote bila upendeleo!

    Sheria ya Mwanaume kumhudumia Mwanamke ifutwe. Sheria ya mke kuchukua mkopo kwa Jina la mumewe nayo ifutwe. Ni sheria zilizopitwa na wakati na zisizoendana na ulimwengu wa sasa. Ni sheria kandamizi, zinazomkandamiza Mwanaume. Kwa zamani zilikuwa sheria nzuri lakini sio sasa. Zilikuwa nzuri kwa...
  10. Song of Solomon

    TANZIA Mustapha Nzogela, Mwanachama wa Yanga na mmoja wa waasisi wa mwanzo kabisa wa Tawi la Yanga Pamoja Mbezi, afariki kwa ajali ya Maji

    [emoji3520]TANZIA[emoji3520] Ndg yetu Mustapha Nzogela, Mwanachama wa Yanga na mmoja wa waasisi wa mwanzo kabisa wa Tawi la Yanga Pamoja Mbezi, alifariki Kwa ajali ya Maji juzi ktk bonde la Mkwajuni akijaribu kupita na Noah yake bila kujua kama maji ni mengi na yanapita juu ya Barabara, mazishi...
  11. Song of Solomon

    Mtindo anaoondoka nayo Chongolo ni utamaduni mpya ndani ya CCM

    1. Ni kwa mara ya kwanza nafasi ya Katibu mkuu wa chama inapiganiwa (Scramble) na makundi mbalimbali. Hapo kabla utamaduni huu haukuwepo, tulizoea mabadiliko yasiyo ya kimapambano jambo ambalo limeendelea kukipa chama chetu heshima na afya ya muunganiko kwa muda mrefu. 2. Kwa sasa Siri za Chama...
  12. Song of Solomon

    Kopo la chooni lina thamani chooni na si kwenye meza ya chakula

    #KOPO_LA_CHOONI Kopo la chooni likikutwa kwenye meza ya chakula ni kesi kubwa, kila mtu atatukana limefikaje pale. Ila ukienda chooni usilikute kelele ni kubwa sana, lazima tutataka kujua nani alilitoa. Kopo la chooni lina thamani chooni na siyo kwenye meza ya chakula. Na binadamu ni...
  13. Song of Solomon

    Je, shilingi bilioni 350 za Benki ya Dunia mmezipeleka wapi? Zimepeperuka kwenda wapi? Nani amezitafuna?

    Ukiingia katika tovuti ya Benki ya Dunia utaona Serikali ya Tanzania tarehe 22 September 2022 iliwasilisha na kuomba pesa ya mradi wa Mto msimbazi. Mradi huo Benki ya Dunia (World Bank) uliusajiliwa kwa utambulisho wa namba P169425. Unaweza kutembelea na kuona. Mtasha hataki mambo ya gizani...
  14. Song of Solomon

    Ushauri wa Bure kwako Kijana wangu Paul Makonda

    Ngoja niseme mapema yakija kuvunda niwakumbushe. Kijana wangu Paulo, mimi ni mmoja ninaoamini una uwezo mkubwa wa uongozi na unaweza kufika mbali. Nilishaandika huko nyuma sifa zako. Mimi sipendi mtu. Napenda matokeo ya kazi yake na tabia yake. Naona walewale waliokuponza wewe na mwenzio...
  15. Song of Solomon

    Uteuzi wa Makonda na hatma yake ndani ya Chama

    Kelele ni nyingi na shahuku ni kubwa lakini maneno yangu ni machache; [emoji419]Makonda hatakuwa na wakati mzuri wakati huu ambapo kundi la Msoga lina nguvu ndani ya CCM na Serikali. Kundi la Msoga ni kundi la Wazee wakongwe, wenye nguvu ndani ya CCM, na pia wenye majeraha waliyopatiwa wakati...
  16. Song of Solomon

    Kwanini thamani ya baba katika familia nyingi haitambuliki?

    Huyu [emoji116] apewe maua yake [emoji7][emoji7], ya lazima kuisoma natafsiri kwa kifupi tu. Mkutano wa Familia Mama yetu alifanya kitu cha kustaajibisha na kusichotegemewa. Alitutumia ujumbe wa mkutano wa dharura wa familia nyumbani. Sote wanne tulifika, lakini mama hakutupokea kwa furaha...
  17. Song of Solomon

    Maajabu ya wachezaji kutoka Croatia!!

    For the Superstitious!! Since 2013 all the teams that have won the UEFA Champions League had a Croatian player in their Squad. [emoji1082] 2013 Bayern Munich - Mario Mandzukic 2014 Real Madrid - Luka Modric 2015 Barcelona- Ivan Rakitic 2016/2017/2018 Real Madrid - Luka Modric 2019...
  18. Song of Solomon

    Washindi wa tuzo za mchezaji Bora Afrika tangu mwaka 1970 mpaka sasa!

    [emoji966] Every winner of the African Footballer of the Year awards from 1970 till date: 2022: Sadio Mane | Senegal [emoji1211] 2019: Sadio Mane | Senegal [emoji1211] 2018: Mohamed Salah | Egypt [emoji1093] 2017: Mohamed Salah | Egypt [emoji1093] 2016: Riyad Mahrez | Algeria [emoji1026]...
  19. Song of Solomon

    Siri 11 ambazo unapaswa uzijue

    SOMA KWA MAKINI 1. SIRI YA KWANZA Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake! 2. SIRI YA PILI Usimwamini sana rafiki yako, kwa sababu huyo...
  20. Song of Solomon

    Kila mwenye umri wa miaka 40+asome huu ujumbe unamhusu kwa asilimia million!

    WEKA TABIA YA KUPIMA MARA KWA MARA[emoji116][emoji116] 1. Shinikizo la damu 2. Kiwango Cha damu Sukari/kisukari 3. Kiwango Cha lehemu/Cholesterol PUNGUZA 1. Chumvi 2. Sukari 3. wanga 4. Maziwa 5. Vyakula vilivyosindikwa 6. Mafuta mengi Tumia zaidi: 1. Mbogamboga 2. Nafaka 3. Maharage 4...
Back
Top Bottom