Search results

  1. I

    Ndoa ni box tupu, unahitaji kuwekeza ili uvune

    Watu wengi wanaingia kwenye ndoa kwa matarajio kuwa maisha ya ndoa ni raha mustarehe. Mnaelewana na mwenza wako nae atakua rafiki yako. Ukweli ni kuwa, ndoa ni box tupu, unahitaji kuwekeza ili uvune. Hakuna mapenzi kwenye ndoa bali ni watu wawili wanaopendana wanaingia kwenye ndoa. Ingiza...
  2. I

    Kama jamii, tuwajenge watoto wetu wawe na mwelekeo wa maisha tangu wakiwa wadogo

    Nilikutana na mhandisi kutoka Iran, amepata scholarship ya kusoma shahada ya uzamili Ulaya. Katka maongezi yetu nilimuuliza ni kwanini madaktari na wahandisi wengi wanatoka Iran, Syria Egypt nk? Alinijibu kuwa katika jamii yao wamejengwa kufikia hapo. Yaani ukiwa na familia tangu watoto...
  3. I

    Kibonzo: Kuna joka kitandani

  4. I

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapomualika mpenzi nyumbani kwa first dinner date

    Mpaka unaamua kumkaribisha nyumbani first dinner mpenzi wako ni lazima umemuamini na kuna vitu vimekuvutia kwake. Hii ni nafasi yako ya kujionyesha kwake uhalisia wako. 1. Nyumba iwe kwenye mpangilio mzuri. Hata kama unaishi kwenye chumba kimoja, tandika kitanda na uandae sehemu za kukaa...
  5. I

    Simulizi: Jinsi binti alivyoweza kuwatoa wazazi wake kwenye umasikini

    Haya ni maneno aliyoyatamka Linda, binti wa pekee kwa wazazi wake. Baba yake alikua mlinzi wa majengo ya serikali kwa miaka mingi. Mama yake alikua mama wa nyumbani aliyejishughulisha na biashara ya vitafunio vya asubuhi kama chapati, maandazi, sambusa na vitumbua. Linda na wazazi wake...
  6. I

    Askari wa Tanzania wanalea vitambi

    Mafuta ya ziada yanayozunguka maeneo ya kiunoni mpaka tumboni ni hatari kwa afya, haya mafuta husambaa mpaka kwenye kuta za moyo na kuleta madhara kwenye mishipa inayosafirisha damu kwenye moyo. Kimaadili askari hupewa masaa nane kwa wiki kwaajili ya mazoezi ya viungo. Hata ukitembea tu kwa...
  7. I

    Serikali ikubali uraia pacha na kutoa likizo ya kodi kwa wawekezaji wazawa ili kuchochea ajira

    Nchi yetu imebarikiwa maji, ardhi yenye rutuba, watu wenye afya, Rasilimali lukuki lakini 60% ya raia wanaishi katika umasikini wa kutupwa. Kitu kinachowashinda wengi ni mitaji ya kuanzisha biashara. Hili si tatizo kubwa kama tukiwashirikisha diaspora. Diaspora anaweza kupata mtaji wa...
  8. I

    Usimtendee visa asiye kufanyia visa

    Hapa mtaani kwetu jirani yetu ni fundi wa magari. Ana garage yake mtaani na watu wanamwamni ni fundi mzuri sana. Ameoa msichana wa mijini peace kali, wale wa dada wa human hair na lace wigi. Wanaishi kwenye chumba na sebule na mrs hana ajira huwa tunashinda nae mtaani. Juzi kati walikua na...
Back
Top Bottom