Search results

  1. IbrahimTechNerd

    Natafuta kazi yoyote, nina elimu ya Kidato cha nne na pia nna Certificate ya computer science

    Habari za leo ndugu zangu. Naomba niende Moja kwa moja kwenye point. Mimi ni kijana wa miaka 23 na wakati huu ninatafuta kazi yoyote kwaajili ya kujikimu kimaisha. Nina elimu ya form four na pia nna certificate ya computer science.. Naongea kiswahili na Kingereza fasaha. Ni dereva nisie na...
  2. IbrahimTechNerd

    Computer4Sale Laptop dell core i3 bei nafuu

    ... SOLD.
  3. IbrahimTechNerd

    Wakuu natafuta kazi nina astashaada ya ICT

    Habari wakuu, Nimekuja mbele zenu kuomba msaada wa ajira. Mimi ni kijana wa miaka 23, nina astashaada ya ICT lakini natafuta kazi yoyote ya kwenda na kurudi ( kasoro kazi ya kuuza bar tu ), Pia nina ujuzi wa Kutoa password za simu za button Kutoa frp lock kwa android phones Kutafasiri movies...
  4. IbrahimTechNerd

    Naomba kwa anayeifahamu Baraki Credit CO LTD

    Habari zenu wakuu, Mwenzenu nimejaribu kufanya research kwa hii kampuni iyonaitwa Baraki baada ya kutoa nafasi za kazi bila kupata chochote, nani anaifahamu vizuri atoe mwongozo, aina ya shughuri zao na mambo mengine kama hayo!. Asanteni.
  5. IbrahimTechNerd

    Natafuta nafasi ya kazi

    Wakuu nimerudi kwenu tena, nipo dar es salaam natafuta nafasi ya kazi. Kazi yoyote inayo husu computers naweza fanya!. Data entry, Microsoft Office works, computer software repair and maintenance. Na nyingine nyingi zilizopo katika fani hii.. Kama inahitajika cheti basi nina Astashaada ya...
  6. IbrahimTechNerd

    Ushauri wenu ndugu zangu!!

    Mimi ni kijana mwenye miaka 23, nilisoma chuo ngazi ya cheti course ya Computer Science mwaka 2018, tokea nikiwa mdogo ni mpenzi sana wa masuala ya Technology!. Lengo lilikuwa kusoma mpaka degree lakini kwa matatizo ya kifamilia nikashindwa kuendelea mbele ata diploma!. Mwaka 2019 nilianza...
Back
Top Bottom