Hio ni namba yangu na imesajiliwa kwa majina yangu, nimelazwa hapa Hospital ya rufaa Ligula.
Kama Kuna ushauidi utahitaji ukinitafuta kwa namba hiyo NITAKUTUMIA.
Asante sana kaka.
Nitumie meseji au nipigie kwenye hiyo namba yangu.
NIMESHINDWA kuweka documents za hospital kwasababu ya PRIVACY YANGU Lakini endapo mtu atahitaji basi sina budi kumtumia ili nisaidiwe.
Asante sana mkuu, Mema unayo niombea Mimi Mungu mwenyezi aliye hai akupe zaidi ya wema huo.
Hapa kwenye control number sijaelewa vizuri, je kituo ndo kinatakiwa kutengeneza hiyo number au ni Mimi?
Kama ni Mimi naomba nifahamishwe namna ya kutengeneza.
Naliinua na kulitukuza jina lako We Bwana, Baba Muumba wa vyote vyenye uhai na visivyo hai.
Habari zangu ndugu zangu, imekuwa karibu miezi miwili nikiwa kimya hapa jukwaani, sababu hasa za ukimya wangu ni maradhi yanayonisumbua na kunitesa kiasi kupelekea kutomudu majukumu yangu ipasavyo. Mwezi...
Uzi wetu wa KUKUZA ID zetu...
Watu wanaanza na "New Member" mpaka "JF Expert Member" kwenye THREAD hii hii tu..
Ama kweli Majeshi matamuu, MAMA MWAGA NYINGINE.
Awiiih...
Ronjaaa isiyo na UMUHIMU.
Ila wapo ambao wametapeliwa, wapo waliokatishwa tamaa, wapo waliomtumikia QAFIR/SHETANI ili chat zao zipande.
Yote tisa, kumi tutubu na tujaribu wakati mwingine huku tukimtanguliza Mungu.
Awiiiiiih....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.