Search results

  1. akilinene

    Mwenendo wa mjadala wa Mkataba wa Bandari

    Ni kundi lile lile la FaizaFoxy?
  2. akilinene

    Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

    FaizaFoxy ni mdini hatari. Nayo ni aina fulani ya ujinga. Sijui alifundishwa shule gani ujinga huu.
  3. akilinene

    Kwamba Mzee Warioba, Butiku, Shivji, Bagonza, Pengo, Kitima wamelipwa kukataa Mkataba wa DP World?

    Hivi ni wewe ulianzisha uzi mahali fulani ukitaka tujadili hili suala bila kutua matusi, kejeli na maneno ya kufedhehesha wengine ? Unayofanya hapa ni nini?
  4. akilinene

    Watanzania tujiulize Maswali muhimu ya Kibiashara kuhusu bandari zetu kwa dunia ya leo

    Si kweli. Dubai haitambuliwi UN kama nchi. Nchi inayotambuliwa UN ni UAE. Acha uongo wewe Jihadist.
  5. akilinene

    Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

    Ushahidi wa kauli za kuudhi za FaizaFoxy ziko nyingi tu humu. Halafu anasema weka ushahidi!! Huna lolote wewe mama. Wengi humu wanakuita Jihadist kwa udini wako. Wengine tunaogopa hata kukutana na wewe uso kwa uso, maana tuna wasiwasi na uvumilivu wako kwa mtu wa dini tofauti na wewe.
  6. akilinene

    Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

    Kauli zako na michango yako hapa JF ni ushahidi tosha. Comments za wengi humu zimekuwa zikikusihi uache udini. Wewe ni mtu hatari sana kwa mshikamano wetu kama Taifa. Huna kabisa audacity ya kuwasema wengine. ACHA UDINI.
  7. akilinene

    Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

    Wewe mwenyewe huna ustarabu katika kutoa maoni yako. Una maneno ya dhihaka kwa wengine na ubaguzi wa waziwazi wa kidini. Wewe ni mdini sana. Sidhani kama una audacity ya kusahihisha wengine.
  8. akilinene

    Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

    Umemwambia vyema. Ndivyo Faiza alivyo. Mdini hatari.
  9. akilinene

    Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

    Ukiwa umeolewa muite mume wako "dini" utampenda zaidi kila ukimuona
  10. akilinene

    Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

    Vipi kumbe nawe uko so low kimawazo kiasi hiki! You have disappointed me greatly.
  11. akilinene

    Tundu Lissu: Hayati Magufuli hausiki kwenye mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za nchi kushikwa na Wageni

    Hujui huu mkataba. Bora unyamaze. Soma: Makubaliano ya bomba la mafuta: Tanzania kujipatia faida ya asilimia 60 nayo Uganda ikipata asilimia 40
  12. akilinene

    DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Faiza ni mdini hatari! Mpaka naogopa hata kuonana naye uso kwa uso
  13. akilinene

    Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

    Ni watanzania wengi tuliumia na bado tunaumia sana Suzy. Shujaa wa Tanzania amelala lakini anaendelea kuishi katika mioyo yetu. Pole kwetu sote
  14. akilinene

    Tundu Lissu: CCM wanapenda kumsema sema Magufuli kwa sababu amekufa lakini wote ni Watenda dhambi ileile

    Wote wanaomsema vibaya Magufuli, kwenye nafsi zao wanajua JPM alikuwa jembe, shujaa, visionary, pragramatic na mzalendo wa kweli wa Tanzania. Japo hatunaye lakini Legacy yake haitakufa kamwe. Lala kwa amani Shujaa wetu.
  15. akilinene

    Dkt. Kimei: Watu Walikuwa Wanaogopa Kupeleka Hela Benki Kuhofia Kuchotwa

    I like this and completely agree with you. It is a clincher that settles a debate conclusively.
Back
Top Bottom