Search results

  1. pananjia

    Kumekucha! Ili kwenda sawa na TRA wenye nyumba za kupanga TZ waja na kali ya mwaka!

    Naomba msaada kujua ofisi za huu umoja zilipo au kupata mawasiliano yao
  2. pananjia

    Habari , natafuta mahali wanapotengeneza meza iliyozungushiwa bati na kabati la kioo kama inavyoonekana kwenye picha

    Kinondoni itakuwa karibu kwangu , ni maeneo yapi ya kinondoni hao jamaa wanapatikana ?
  3. pananjia

    Habari , natafuta mahali wanapotengeneza meza iliyozungushiwa bati na kabati la kioo kama inavyoonekana kwenye picha

    Meza ya chini imezungushiwa materila kama ya bati , na kabati la kioo kama yale ya kwenye vibanda vya chipsi
  4. pananjia

    Habari , natafuta mahali wanapotengeneza meza iliyozungushiwa bati na kabati la kioo kama inavyoonekana kwenye picha

    Habari , natafuta mahali wanapotengeneza meza iliyozungushiwa bati na kabati la kioo kama inavyoonekana kwenye picha
  5. pananjia

    tumia line yoyote kwa modem yoyote bila ku unlock

    naomba msaada, nimejaribu kwa kutunia modem ya airtel ikiwa na line ya voda , lakini imekataa kukonect napata message "failed to establish network connection" naomba msaada kwa hilo
  6. pananjia

    tumia line yoyote kwa modem yoyote bila ku unlock

    nnatumia modem ya airtel , nikiweka line ya tigo na kufanya configuration kwenye nokia pc suit, nikijaribu kuconnect napata message "Failed to establish network connection" naomba msaada
  7. pananjia

    msaada wa kuformat computer

    naomba mnisaidie hatua za kuweza kufanikisha kuformat computer
  8. pananjia

    modem ipi inayofaa?

    Nahitaji kununua modem , sasa sijui ninunue modem ipi kati ya modem za tigo,voda ,airtel au zantel. Naomba ushauri
Back
Top Bottom