Search results

  1. Dogo GSM

    Yu wapi Young Killer Msodoki

    Huu mwaka mgumu kwa huyu janja..alianza kutoa sinaga swagga3 ikafanya poa akaongeza 4,5 sijui ADI 6 zimebuma flani..katoa album KWA kiki za demu mzungu kibaoh hakuna kitu...inshort mwaka umemuangukia this tym kijana wetu..mimi pia shabiki sn wa kijana nimeliona kitambo.
  2. Dogo GSM

    Police General Orders(PGO) ni nini, nitaipata wapi?

    Hiyo ni katiba ya askari police tuu.wewe raia mwema haikuhusu
  3. Dogo GSM

    Mazoezi ya mwili hasa sisi tupendao gym. Hasa tuliopo Mafinga

    Ah babu kikosini tena bila hata kitambulisho?
  4. Dogo GSM

    Mazoezi ya mwili hasa sisi tupendao gym. Hasa tuliopo Mafinga

    No Mimi sihitaji kukimbia kimbia
  5. Dogo GSM

    KKKT Mashariki na Pwani lawamani kwa kuhamisha hovyo Wachungaji

    Siku hizi maaskofu wanaosimamia hizi kanda za kidini ni makanjanja na wachumia tumbo tuu tofauti na zamani..wakiona mchungaji flani anafanya vizuri na anakubalika wanamuhamishahamisha kumpeleka sehemu mbovu ili asipate shavu akapanda cheo[emoji28][emoji28]
  6. Dogo GSM

    Mazoezi ya mwili hasa sisi tupendao gym. Hasa tuliopo Mafinga

    Nadhani mko salama. Wakuu mimi ni kijana niishie Mafinga ndiko nimeajiriwa huku kitambo kidogo..Ni almost miaka yote mitatu nimekuwa nashindwa kufanya kitu hiki nachokipenda siku zote kiasi kwamba roho huwa inaniuma sana. Mwenzenu napenda sana mazoezi hasa ya gym..lengo langu nishape kidogo...
  7. Dogo GSM

    PGO mwiba kwa maafisa wa Jeshi la Polisi, wanafanya kazi kwa taratibu zipi?

    Acheni upumbavu raia mabogus ninyi..hivi wewe kama mtanzania halisi unaijua katiba yako full..kifungu hadi kifungu? Hayo ni mapungufu ya kibinadamu tuu,,au ndo kwa vile unawachukia maaskari?
  8. Dogo GSM

    Bongo Flava Battle: Rayvanny vs Marioo

    Kwanza,hao wote wanaimba aina ya mziki wa aina moja hususani RNB..wote ni watunzi wazuri sana but rayvanny is more than mario.Pia waweza kuwafananisha kama JUX na BENPOL
  9. Dogo GSM

    Huyu dada anayetafuta mume amechanganyikiwa? Hana vigezo!

    IPO HIVI KWA HARAKA HARAKA HUYO DADA INAONESHA NI MCHARUKO,KWANZA HATA KAMA UNATAFUTA MUME SI KWA STYLE ILE YA KUTEMBEA NA BANGO MTAANI SASA HUO UNAKUWA NI UCHIZI,,CHA PILI UKIFUATILIA ANAYOYAONGEA ANAPOHOJIWA HANA AIBU KABISA ETI ANATAFUTA ILI AFIKISHWE KILELENI,,HALAFU WAKATI HUO ANAWAAMBIA...
  10. Dogo GSM

    BBC waendeleza ubeberu: Eti Tanzania nchi ya 23 kijeshi Afrika, Uganda ya 14 na Kenya ya 12

    JWTZ huwa mnawabeba tuu ila ni jeshi bovu kinoma wala hawajaonewa kwa hiyo tathmini.
  11. Dogo GSM

    Baada ya ACP Kingai kuonja joto la kutoa ushahidi, tutegemee nini toka kwa ushahidi wa IGP Sirro?

    Sirro huwa namuonea huruma sana huyu afande..jamaa ni intelligent sana,ni kamanda mmoja mpambanaji na mwenye bidii sana tangu jeshi la police..but siasa ndio inamyumbisha huyu.
  12. Dogo GSM

    Ni jambo lipi ushawahi kufanyiwa na demu wako na mpaka leo hutaweza kulisahau?

    Sasa ajabu hapo ni nini wewe,INSHU ni uwezo mdogo kwako au
  13. Dogo GSM

    Ni jambo lipi ushawahi kufanyiwa na demu wako na mpaka leo hutaweza kulisahau?

    Kwanini ulimuambia ukweli? Je ni baada ya kuona ananunua vitu vya gharama au vp mkuu
  14. Dogo GSM

    Mwanamke wa namna hii hafai kwa mwanaume yeyote

    Yupo Calabash babu..vp ndio michezo yako nn ninja
  15. Dogo GSM

    Natafuta mwanamke aliyetayari kuolewa

    Mimi huwa najiulizaga kuhusiana na haya mambo! Hivi chanzo haswa cha watu kutafuta wenza mitandaoni ni nini? Wakati tathmini zinaonyesha wanawake ni wengi haswa kitaani..maybe udomozege..no..sidhani..INSHU ni masuala ya pesa..watu hawana pesa wanataka mtelemko.
  16. Dogo GSM

    Athari ya kuoa mapema kwa vijana

    Mkuu sometimez vijana wanawahi kuoa kutokana na influence ya wazazi au watu wa karibu..utasikia wewe ngoja ushtuke una miaka 40 huna mtoto wala nn
  17. Dogo GSM

    Mwanamke wa namna hii hafai kwa mwanaume yeyote

    Kuna bidada mmoja ni barmed wa bar flani huku Mafinga..ana huo urembo kama wote..katoboa kwenye sikio matundu matatu kaingiza kama vibangili vidogo..puani ametoboa kaweka vipini viwili viwili..kaweka breach moja matata...miguuni kavaa mabangili flani..sasa mimi sina uzoefu sana..sijui ndio...
Back
Top Bottom