Search results

  1. C

    UDSM kuna nini jamani?

    kuna mtu kacomment dr muuza sura sio kweli anatumia njia mbali mbali kuelimisha umma wa wawatanzania ambao hawawezi kuwa nae ana kwa ana....pili ni kulelea uozo uliojaa kwa viongozi wetu na kamwe hatutaweza kukalia kimya uozo huu udsm imekosa mwelekeo
  2. C

    Mh. Ngeleja nina wasiwasi na kauli yako.

    ngeleja tumemchoka siku nyingi mara ngapi anakuwa na kauli za ajabu ajab kuhusu umeme umesahau hata wanamagamba wenzie walishindwa kuvumilia uozo wake wakataa bajeti yake ilijaa madudu? Infact cjui anafanya nn
  3. C

    CHADEMA na harakati za leo

    ukweli napenda ukweli niliungana nao kwenye hili la kupinga posho...lakini kama wamekuwa ndumilakuliwi wanaongea tofauti na wanatenda tofauti. Wamekuwa popo wanatuhadaa naomba kama kuna mbunge yoyote wa chadema aliongelee hili. Huu ni usaliti kuliko wa yule ambae hakuonyesha unafiki na kuchukua...
Back
Top Bottom