Search results

  1. Kilenzi Jr

    SoC01 Ikiwa Tai anafanya maamuzi ya kubadilika akiwa na miaka 40, hata wewe bado hujachelewa..

    Asanteh saana chief nyoka kujivua gamba hutegemea na Aina ya nyoka mfano chatu ambae huchukua miaka 25-35 yeye anajivua gamba lake takribani mara mbili Kwa mwaka mzima.
  2. Kilenzi Jr

    SoC01 Ikiwa Tai anafanya maamuzi ya kubadilika akiwa na miaka 40, hata wewe bado hujachelewa..

    Maximum mwaka 1977 Kuna nyoka anaitwa popela amewahi kuishi miaka 40 wengina wana range miaka 28-32
  3. Kilenzi Jr

    SoC01 Ikiwa Tai anafanya maamuzi ya kubadilika akiwa na miaka 40, hata wewe bado hujachelewa..

    Tai ni ndege pekee mwenye uwezo wa kuishi miaka 70. Lakini kabla ya kufikia umri huo lazima afanye maamuzi magumu yanayomuumiza na kumchukua muda mrefu. Akifikia umri wa miaka 40 makucha yake magumu na makali yanakosa uwezo wa kunyakua chakula, mdomo wake uliochongoka unapinda, mabawa yake...
  4. Kilenzi Jr

    SoC01 Mikakati ya kupambana na wimbi la ukosefu wa ajira kwa vijana

    Kuna kila sababu ya kupitiwa upya kwa mfumo wa elimu unaowandaa wahitimu kuingia kazini ili kuepuka makosa yanayojitokeza wakati wa maombi ya kazi na kuwaandaa kisaikolojia kujiajiri wenyewe. Pia ushindani wa soko ajira inaweza kuwa sababu kwa baadhi yao kutumia vyeti vya kughushi kupata mpenyo...
  5. Kilenzi Jr

    SoC01 Kwanini ELIMU ya juu haitoi mchango kikamilifu kukuza uchumi wa nchi?

    Pamoja na kuongezeka kukubwa kwa wanafunzi wanaojiunga na elimu ya juu, vyuo vyingi vikuu vya Kiafrika havitoi wahitimu wengi, na wengi wao hawana stadi zinazohitajiwa kuinua maendeleo ya kiuchumi ya taifa katika karne ya 21. Kwa hiyo kizuizi kimoja kikubwa katika kukuza uchumi ni maamuzi...
  6. Kilenzi Jr

    Ni aibu kuandaa sherehe za kupokea ndege

    Yaani TANZANIA imekua kama yanga wanashangilia kuja mchezaji mpya
  7. Kilenzi Jr

    Aliyemuua askari Arusha adaiwa kufa akijaribu kuwatoroka polisi

    Kafa kifo kibaya sana huyo polisi hawawezi kuvumilia kifo Cha mwenzao hivihivi ila acha watudanganye kua kadondoka but akuna ukweli hapo😃
  8. Kilenzi Jr

    Nimeamua kuoa Msabato

    Binti wa kisabato of course Kwa wale walioshika dini ya usabato vizuri wako vizuri Sana na unaweza ukafurai saana ukiwa naye lakini Kuna wengine ni wasabato feki yeye ni msabato jina TU kwahiyo kua nao makini pia ila kwa ushauri Wangu ukitaka Binti wa kisabato mwenye maadili mazuri ya kisabato...
  9. Kilenzi Jr

    Mambo 3 ninayotamani Kila mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ayafahamu

    Katika kila hatua mpya ya maisha kuna mambo usiyoyajua kwa sehemu, ambayo ukiyajua na kuzingatia kwa asilimia kubwa yatakuwezesha kuwa na matokeo bora ya maisha tofauti na asiyeyajua kabisa. Katika Makala hii nataka kuzungumza na mwanafunzi mpya wa chuo kikuu na hata wale wanaoendelea na masomo...
  10. Kilenzi Jr

    Vitu 5 vya kuzingatia ukiwa unataka kufanya udahili wa chuo au Chuo Kikuu

    Ni jambo moja kuamua usomee nini, na ni jambo la pili kuamua ukasomee wapi. Tanzania Kuna vyuo vikuu na vyuo vya kati zaidi ya 100 Lakini utalazimika kuchagua kimoja tu katika hivyo vingi ili uweze kusomea unachotaka kusomea. Hivyo ni muhimu sana kuwa na sababu ya kwanini unachagua chuo...
Back
Top Bottom