Search results

  1. kau

    Kamata mwizi

    Habar zenu wana jamiiii... Naomba kufaham ni software gani ambayo unaweza install kwenye simu na kuweza kapata sms na location za mpenz wako bila ya yy kujua....?
  2. kau

    Kujua tabia na tamaduni za wamatengo na wangoni

    Habari za asubuhi wana jamii, Ningependa kufahamu tamaduni za haya makabila ya wamatengo na wangoni ambao asili yao ni Songea. Pia ningependa kufaham tabia za watoto wa kike kutoka kwenye hzo kabila.
  3. kau

    Interner

    Jaman ningependa kufaham ni mtandao upi wa simu ambayo internet yake iko fasta
  4. kau

    How to download video

    Habari zenu wakuu..... Naomba kujulishwa ni vipi naweza kudownload video kwenye computer .....
  5. kau

    Natafuta mke wa kuoa

    Habari zenu wanaJF...mm ni mwanaume,mkristo mwenye umri wa 30yrs nani, natafuta mke . SIFA ZA MKE... Asiwe mrefu sana wala mfupi Awe black beauty Elimu kuanzia form 6 na kuendelea Awe mkristu Awe ametokea mkoa wa Iringa,mwanza,kilimanjaro. Kama uko serious naomba uni PM.
  6. kau

    Hemed kivuyo

    Jaman wanaharakati ningependa kuwakilisha hoja yangu kuhusu huyu mtangazaji wa ITV.... Kiukweli ni kati ya watangazaji wabunifu sana mpaka anavutia anaporipoti... namtakia mafanikio mema katika safari yake ya utangazaji.....
  7. kau

    Utaijua vp samsung galaxy s4 feki ama original?

    Hi, Jamani wanajamvi naombeni msaada kuhusu hii simu ya Samsung Galaxy S4 ,utaigundua vipi kama ni feki ama original?
  8. kau

    Jamani anorld kayanda.......

    Wakuu ningependa kuuliza ,hivi huyu Arnold Kayanda mbona cku hizi simsikii kwenye JAHAZI ,kulikoni....?
  9. kau

    Gari la Mh.Mnyika

    Samahani wana great thinkers naomba kuuliza hivi Mh.Mnyika anaendesha gari gani?
  10. kau

    nafasi za kazi

    kuna ameziona nafasi za kazi za MEDITERRANEAN SHIPPING LTD zilizotangazwa kwenye gazeti la DAILY NEWS la Leo 9/02/12? naomba azipost .....
  11. kau

    Think beyond employment

    This Thursday(16/02/12)from 5:00pm, in Dar es salaam at JB BELMONT HOTEL there will be an event entitled "Think Beyond Employment" geared to connect you with business leaders in Tanzania .Come and get training & inspiration to make you a successful business person.Its time to change...
  12. kau

    Toothgel

    .Ni dawa ya meno nzuri itokanayo na Aloe Vera na Bee Propolis(Antiobiotic Asilia) .Inaponyesha kutoka damu wakati wa kupiga mswaki, pia inaponyesha vidonda mdomoni na pia unaweza ukaipaka kwenye vidonda · Haikwangui meno hivyo kuyaacha meno na ngao yake ya nje imara ·...
  13. kau

    Weight management

    Jumamosi hii Holliday inn kutakua na semina kuhusu kupunguza au kuongeza uzito wako na pia ni jinsi gani unaweza punguza kiitambi na pia nyama za pembeni tumboni bila kutumia kemikali yeyote karibuni... Muda ni saa 9 mchana Kiingilio ni Tsh 5,000. kwa mawasilano.. 0712059617
  14. kau

    Kazi za MSD

    Jamani kuna mtu kaona kazi za MSD?
  15. kau

    Business opportunity

    Hello i am working with an American company, currently expanding to Dar es Salaam and we are looking for open minded people,interested in business that would like to earn an extra income per month working part time without compromising their schedule.This business has helped me alot...
Back
Top Bottom