Maelfu ya watu duniani wanatumia mtandao maarufu wa WhatsApp kuwasiliana na ndugu, jamaa na watu wao wa karibu kwa meseji na video lakini watu wengi watashindwa kuitumia huduma hiyo kutokana na mifumo ya simu zao kuanzia mwezi Novemba mwaka huu.
Kwa mujibu wa ripoti zilizotolewa na chapisho la...
UTANGULIZI
Mahindi ni zao muhimu la chakula, na ni aina ya nafaka inayotumiwa zaidi kama chakula,uhususani katika matifa ya Afrika, na yamekuwa yakitumika zaidi na nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara. Ni chakula cha matumizi ya nyumbani kwa idadi ya watu inayokadiriwa kuwa asilimia 50. Ni...
Nimewaza ili swala pasipo kupata majibu kwa wilaya yakaratu inaongoza kua na wanawake wengi kuliko wanaume lakini asilimia kubwa hawana muda na wanaume wazawa hivyo asilimia kubwa ya wanaume wazawa ndio wanaoshika namba ya ubakaji hususani ya watoto wadogo.
Nimepiga mahesabu kwa miaka mitatu...
UTANGULIZI
Matikiti maji ni tunda kubwa la mviringo ambalo linastawi vizuri katika maeneo ambayo ardhi yake aitwamishi maji kwa mda mrefu. Matikiti maji ni mojawapo ya jamii aina ya matunda au mbogaboga inayotambaa. Mimea hii inapatikana katika kundi linalojumuisha mimea mingine kama kama...
FAIDA KUMI ZA TANGO I Mshindo Media
18 Jun 2021
FAIDA KUMI ZA TANGO
FAIDA KUMI ZA TANGO :
Hawakukosea wale waliosema kuwa mboga za majani na matunda ni kinga kwa afya yako. Matunda mengi yana manufaa lakini tango tunasema limetia fora.
Linasifika kwa kuwa na vitamin zote unazohitaji kwa...
UZALISHAJI WA MAZAO KWENYE NYUMBA YA WAVU YAANI GREENHOUSE
Kilimo cha nyumba ya wavu (greenhouse) kinaendelea kupata umaarufu nchini na ujenzi huu ambao hutumia plastiki au wavu umekuwa chaguo la baadhi ya wakulima kwa sasa nchini.
Hivi sasa kumekuwa na uhamasishaji mkubwa wa kilimo hiki kwa...
UZALISHAJI WA MAZAO KWENYE NYUMBA YA WAVU YAANI GREENHOUSE
Kilimo cha nyumba ya wavu (greenhouse) kinaendelea kupata umaarufu nchini na ujenzi huu ambao hutumia plastiki au wavu umekuwa chaguo la baadhi ya wakulima kwa sasa nchini.
Hivi sasa kumekuwa na uhamasishaji mkubwa wa kilimo hiki kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.