Search results

  1. M

    Msanii Kajala katupwa rumande

    acha kunikoti wewe. wapi nimeandika mambo ya tatuu.
  2. M

    Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    hapo ndo umekoment. kaazi kweli kweli. halafu mwisho wa siku eti wewew ndo mshindi. dah!
  3. M

    Tamaa ya wachaga ilianza zamani sanaa.....

    najua inawauma sana. lakini mimi nanyinyi tu mwaka huu. nitaeleza uozo wenu wote. na tabia ya kuchanyatana na wazazi wenu
  4. M

    Msanii Kajala katupwa rumande

    siishi kwa bahat hata siku moja. nyie endeleeni kubahatisha maisha
  5. M

    Tamaa ya wachaga ilianza zamani sanaa.....

    ushaid wa nini. kwani hujui kwamba mareale alichelewesha harakati za ukombozi kwa usaliti wake? waulize wazazi wako watakwambia.
  6. M

    Tamaa ya wachaga ilianza zamani sanaa.....

    suala hapa sio mawazo tofauti bali ni ule usaliti w kwenda kuchongea kwa wakoloni harakati za mwalimu za ukombozi wa taifa hili. lengo lake lilikuwa apewe cheo na wakoloni. yupo tayari kuuza utu wake ili mradi apate cheo tu. huyu angesikia kuwa devid cameruni anatoa vyeo basi angeenda kuomba...
  7. M

    Tamaa ya wachaga ilianza zamani sanaa.....

    tamaa itawaponza ndugu zangu. si unaona hata AM yule jambaz maaruf si unaona walivyomtait yupo wapi sasa
  8. M

    Tamaa ya wachaga ilianza zamani sanaa.....

    kama ni tusi basi limrudie nanilii.......wake
  9. M

    Msanii Kajala katupwa rumande

    huu umbeya peleka kule kwa shigongo
  10. M

    Wanawake, hivi mnapotoka nyumbani huwa hamjijui kuwa mmevaa nguo fupi?

    na mwingine unamkuta mapaja meupeeeee peeeeee. mwingine giza tupu. halaf anakuonyesha hadi kichupi kimepanda kwa juu
  11. M

    Tamaa ya wachaga ilianza zamani sanaa.....

    Leo hii watu mnalalamika kuhusu wachaga na tabia zao. Amini nawaambieni tamaa za hawa jamaa hazijaanza leo au jana. Tangu enzi za mangi mareale alimsaliti mwalimu wakati wa kupigania uhuru. mwalimu akisema hivi yeye anakwenda kuchongea kwa wakoloni kiasi kwamba akafanya shughuli nzima ya...
  12. M

    Happy Birthday Mohamed Shossi..................!!!!!! !!!!!!!!!!!

    Hepi besdei ya nini kwanza huyo mtu siyo active memba humu siku hizi acheni kujipendekeza. Mi mbona besdei yangu imefika lakini hamniandiki.
  13. M

    Wanawake wapendelea zaidi kujifungua kwa kisu than natural way?

    Hospitali inayoongoza kwa kutumbua matumbo ya wanawake ni Agha Khan Dar. Wee mpeleke mjamzito pale sijui kasikia uchungu, ukirudi kesho unakuta washamtumbua. Hawacheleweshi. BTW, kitabibu inasemekana mtoto anayezaliwa kwa CS ana advantage ya kuwa normal, akili...n.k kwani hakutani na ile...
  14. M

    Wanawake, hivi mnapotoka nyumbani huwa hamjijui kuwa mmevaa nguo fupi?

    Umetoka nyumbani kwako, umevaa kitopu kifupi na kimini kiko juu ya mapaja. Umepanda daladala, ukisimama tabu, ukikaa tabu. Maana ukisimama basi kile kitopu kinapanda juu angani...mambo yote njenje. Ukikaa sasa ndo balaa...unatupiga picha abiria wenzio hadi tunapitilizwa vituo bila...
  15. M

    Nimependwa na askari jeshi wa kike!

    hawezi kuendeleza makoloni yake kweli?
  16. M

    Nikitongoza huwa nafurahi sana nikikataliwa kuliko nikikubaliwa....!

    we hilo tumbo vipi? halaf kavae nguo basi.
  17. M

    Nikitongoza huwa nafurahi sana nikikataliwa kuliko nikikubaliwa....!

    kwa hiyo ile kitu inauzwa siyo? Your avatar speaks it all.
  18. M

    Nimependwa na askari jeshi wa kike!

    en vino veritas....umeshautwika nini?
  19. M

    Unalalaje?

    tumia hata sim tu.
Back
Top Bottom