Search results

  1. Dr Rutagwerera Sr

    Mbeya: Mkosoaji wa serikali ya Samia katika mtandao wa Tiktok akamatwa na wanadaiwa kuwa polisi

    Kutoka moyoni watu wa mikoa ya Mara, Mbeya na Arusha wana ujasiri kuliko mikoa mingine linapokuja suala la kuikosoa serikali ya kifashisti ya CCM.
  2. Dr Rutagwerera Sr

    Msaada wa kuondoa tattoo

    Karibia clinic yangu nitamfuta bure. Tunawakumbusha watoto na wadogo zetu msiendeshwe na utandawazi. Ni aheri usemwe mshamba kuliko gharama za kuthibitishia jamii kuwa wewe ni msasa.
  3. Dr Rutagwerera Sr

    Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

    Namna hiyo napoihusudu sheria ya mirathi ya waislamu. Kuwasaidia wazazi ni jukumu jema sana.
  4. Dr Rutagwerera Sr

    Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

    Zanzibar kuna mengi yananishangaza wakati wa mwezi wa Ramadhan. Hilo ni moja katika makumi.
  5. Dr Rutagwerera Sr

    Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

    Mada zingine ni mapuuza. Wangelazimishwa kufunga kwa saa 24 zingeibuka hoja kwamba imani yao ni katili. Tuheshimu imani za watu mradi hazidhuru shughuli zetu. Wao kufunga kwa masaa hayo ni imani yao kwanini ikukere na kuanzishia uzi wenye mrengo wa dhihaka ndani yake?
  6. Dr Rutagwerera Sr

    WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

    Udhibiti uanze mara moja. Taifa linaelemewa na mzigo wa watu wengi wasio na tija.
  7. Dr Rutagwerera Sr

    Ndio nimefika Musoma Mjini ila nimehuzunika sana

    Kingine kwa Mara kuna makabila mengi. Na yote ni vi-makabila vidogo.
  8. Dr Rutagwerera Sr

    Ndio nimefika Musoma Mjini ila nimehuzunika sana

    Wakurya na wameru haya makabila wanaume wakorofi watata sana
  9. Dr Rutagwerera Sr

    Ndio nimefika Musoma Mjini ila nimehuzunika sana

    Watani/ndugu zetu wa Mara hawana ushirikiano na kuendeleza mkoa wao. Wana wasomi wengi sana lakini hawana umoja wala mpango kuendeleza mkoa.
  10. Dr Rutagwerera Sr

    Wiki ya wanandoa: Talaka ya Davis Mosha, hukumu ya mauaji wifi wa mke wa Bilionea Msuya

    Jamii zinazogombea mali zinaakisu umaskini wa akili wa mtu mweusi. Ni moja ya dalili za kukosa kustaarabika.
  11. Dr Rutagwerera Sr

    FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    Aziz K atawacost wenzake kwa kukosa goli 4. Mechi imebaki mkononi mwenu Uto mpate goli 2 zingine mjihakikishe kufuzu.
  12. Dr Rutagwerera Sr

    FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    Mrembo upo? Nimeadimika jamvini. Naona leo mmeamua kutukera.
  13. Dr Rutagwerera Sr

    Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

    Unachosema sahihi kabisa. Kwangu waislamu wa Senegal ni watu exceptional. Nimefika pia. Hakuna waislamu wa kufananishwa nao. Wale watu wamepevuka mno. Ni waislamu wa tofauti na waislamu wa dunia nzima naweza kusema. Inapaswa waislamu wakajifunze kwa waislamu wa Senegal. Kuna waislamu...
  14. Dr Rutagwerera Sr

    Engr. Hersi Said & Arafat Haji Kamatieni hapo hapo msiachie hadi watakapotubu

    Mayele anashusha hadhi yake. Kuna hadhi ukifika unachunga kile unazungumza. Aachane na mashabiki acheze mpira. Mitandao inabeba kila aina ya takataka watu.
  15. Dr Rutagwerera Sr

    Waziri wa Dkt. Doroth Gwajima fuatilia kituo cha watoto yatima cha Ijango Ziada Ophanage

    Nimewahi kupeleka msaada hapo. Nakumbuka unashuka Sinza Madukani. Unaenda uelekeo wa Namnani Hotel kama sijakosea. Sidhani shutuma za uraia kama ni za kweli. Watanzania mnaogopa sana wageni.
Back
Top Bottom