Kuna Wimbi kubwa sana la Vijana mtaani wanaomaliza masomo yao katika Ngazi mbalimbali za Elimu lakini vijana hao wapo mtaani wakihaha na Kuwaza ni lini watapata Ajira Rasmi, Ilhali wapo Vijana ambao walichukua Uamuzi wa Kujiongeza na kuthubutu kujiajiri kutokana na kile walichokipata wakati...
Wapo watu wanaowakejeli waajiriwa wanadai eti kama "Mtu asiye na Elimu anaweza kuosha Magari mtaani na akaweza kukuza kipato” kuna sababu gani ya kuishi Maisha magumu Kazini au Ofisini ?
Upo Ukweli wa namna Fulani katika kauli hii kwakua wafanyakazi wengi wanaishi Maisha ya Ukata, kazi yao...
Hakuna Mkulima yoyote Duniani anayepanda mbegu fulani na kutegemea aje kuvuna Mabua, hivyo ndivyo ilivyo hata katika Maisha yetu ya leo,
Mfano mzuri ni wale wote wanaoshiriki katika Uandikaji wa hizi stori za Mabadiliko, wanapanda Mawazo na Fikra mbalimbali zinazowazunguka katika Maisha yao...
Asilimia kubwa ya vijana waliokuwa katika mifumo rasmi ya Elimu hutumia takribani muda wa zaidi ya Miaka 17 kutumikia katika ngazi tofauti tofauti za elimu zao lakini ndio kundi kubwa la watu ambao wenye elimu ya vyeti lakini ubunifu na maarifa madogo katika kukabiliana na changamoto mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.