Search results

  1. M

    Mrejesho kutoka NSSF

    Kwhy unakuwa unafuata au unaacha akaunti namba wanakuwekea wao? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Mrejesho kutoka NSSF

    Wangu hadi kafunga miezi minne, nimeamua ku surrender tu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Mrejesho kutoka NSSF

    Khaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Mrejesho kutoka NSSF

    Kwhy process hapo zinakuwaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Waziri Kabudi kwenye Baraza la Mawaziri lililokaa leo, bila shaka mazungumzo na Acacia yameisha

    hv mbona kimya sana hata hatujui hili suala limeishaje.
  6. M

    Miaka 10 ndani ya JF

    haya
  7. M

    Miaka 10 ndani ya JF

    kesi tena,mweh. haya nimekuja.
  8. M

    Wasichana maskini vs wenye uwezo katika mahusiano

    Sio wote tuliotoka kwenye familia masikini tupo hivyo,wapo wengi wanajitambua na wala hawana ulimbukeni wa vitu ila tatizo siku hz hakuna wanaume wenye mapenzi ya dhati.
  9. M

    Ukipenda kweli ukatendwa au kuachwa utafanyaje?

    Cha muhimu ni kukubali matokeo, jikubali halafu tulia wala usiwe na haraka ya kuingia kwenye mahusiano mapya. Jipe muda lkn pia furaha yako ndio iwe kipaumbele chako. Baada ya muda utasahau na utakuja kujiona hata mjinga kwa kumlilia mtu asie jua thamana yako.
  10. M

    Mambo nane(8) ya kufanya kumsahau mtu aliyekuumiza kwenye mahusiano

    Kuachwa Kuna maumivu yake jamani,hayo yanawezekana kwa mtu ambae km ulikuwa hujampenda sana. Cha msingi tujifunze kupenda kidogo.
  11. M

    Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

    Endelea kujidanganya hivyo hivyo. Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
  12. M

    Nini kinafanya mahusiano yadumu?

    Kweli mkuu,naiona sana hiyo.
  13. M

    Hivi inakuwaje mwanamke unakubali kuwa na lofa?

    Mmhhh mi wangu ndio anasifa km hizo ulizotaja. Lkn inshallah tunapendana na kusikilizana basi naamini Mwenyezi Mungu atajalia hayo mengine.
  14. M

    Reasons why Magufuli will be a one term President

    Kwa hali ninayoiona huku vijijini,Nina hakika ngosha atapita na uchaguzi ujao iwe kwa nap la mkono or whatever. Huku vijijini jamaa bado anakubalika sana.
  15. M

    Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

    We mwenyewe hutufai, mwanamke gani anaejitambua anaweza akawa na mwanaume km ww. We nenda tu kwa hao wadogo zetu ambao nao bado hawajitambui km ww.
  16. M

    Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

    Mwambie labda alikuwa hajui,wala hatuna time na hayo mawazo yake.
Back
Top Bottom