Search results

  1. N

    Raha na karaha ya bia ya Sita

    Shetani at work
  2. N

    Warioba hama CCM, nenda UKAWA - Steven Wassira

    Napita tu, gombe kunaongezwa wanyama? Utalii utapanda
  3. N

    Wanawake na suruali

    Amelaaniwa avaaye mavazi yasiyo ya jinsia yake
  4. N

    Mlimani TV: Leo tutakuwa na Humphrey Polepole

    Mr polepole, je katiba inayopendekezwa ina sifa ya kuitwa katiba mya au ni sawa na ya zamani?
  5. N

    Mlimani TV: Leo tutakuwa na Humphrey Polepole

    1. Mr Humphrey polepole, unadhani/unaamini 2/3 ilipatikana bila kuchakachua? 2. Mchakato uliharibikia wapi? kwenye sheria ya mabadiliko,uteuzi wa wajumbe au sehemu ipi?
  6. N

    CCM Kwaheri ndani ya Mkoa wa Kigoma 2015

    Kwa kweli kigoma siasa wanaijua. Sijui nccr walifanyaje mpaka wakapata wabunge kasulu. Mbunge obama ni mwepese kisiasa, hajui siasa lakini anachojua ni kumwaga takrima hata kama imepigwa marufuku
  7. N

    Sita Acha Kumdhalilisha Rais

    TUSUMBUKIE MKOA MMOJA WENYE WATU Im+ wa nini?tunatafuta sifa ili iweje? KUANZIA KESHO WAZENJ WOTE WAINGIE TANGANYIKA KWA PASSPORT/VISA. NA WALIOPO BARA WAOMBE URAIA KWA GHARAMA NAFUU.
  8. N

    Picha: Wananchi warudisha kadi za CCM, Lissu azichoma moto - Ifakara

    Mashujaa wanaoweza kuthubutu wanaongezeka. Lisu kawazidi ubunifu kina nepi na mwigulu sijui hili la kuchoma kadi za magamba watalijibu vipi.
  9. N

    Wake za watu

    Survey niliyoifanya inaonyesha asilimia 90 ya wanawake waloolewa ni wepesi kutongoza. Wana mabwana zaidi ya wawili na hudanganywa kwa vitu vidogovidogo na ving'ang'anizi.
  10. N

    Wake za watu

    Mila na desturi zinachangia sana. Nimeoa kabila ambalo wanaamina ktk mafiga matatu ya ndoa. Mume wa ndoa, bwana wa gengeni na wa starehe.hata ukumtimizia kila kitu ndani lazima atatoka nje. Pili kuna makabila ambayo uzinzi ni jambo la kawaida hivyo akitoka nje usishangae.
  11. N

    Kwa wanaume wenzangu juu ya wanawake.

    Kwa hakika mwanamke tangu alipolaaniwa na mungu kwa kumwambia"kwa uchungu utazaa na mwanaume atakutawala" amekuwa kwenye mapambano dhidi ya mwanaume siku zote. Mwanamke ana tamaa ya kumtawala mwanaume. Ndiyo maana 80% ya wanawake wote(wa kitanzania) huenda kwa sangoma
  12. N

    Matusi haya ya Wamalawi kwa Watanzania yanachukiza....Wanatuita Stupid neighbours!!!eti sisi wajinga

    malawi wanategemea "us" na "uk" wawasaidie. Imeandikwa, amelaaniwa amtegemeaye binadamu mwenzake kuwa kinga yake. Ushindi kwa tz uko wazi, waoga kama hao watamshinda nani?. Show ya kagera wameisahau wanataka show ya peke yao
  13. N

    Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

    Tuwafundishe watoto wetu mafunzo yenye ukweli na si uwongo na vitisho. Watoto wengine wamezaliwa wakiwa jasiri. Ubishi kuwa ukikojolea quoran unageuka nyoka ulithibitika kuwa ni uwongo na vitisho vilivyojaa katika baadhi ya mafundisho. hasira haikuwa kukojolea kitabu bali ni kwa nini hakugeuka nyoka
  14. N

    Esther Bulaya VS Esther Wassira

    Esther wasira ni next level, bulaya anaachwa mbali sana. Ilikuwa mara ya kwanza kumwona esther wasira lakini nilimkubali sana. Yamkini akiwa bungeni atakuwa kama au zaidi ya halima mdee,
  15. N

    Kwa Kauli hii Seif kweli si UAMSHO? au kuna nini nyuma ya kauli hii?

    KAMA WANA KATIBA YAO KWENYE TUME WATAKWENDA KUFANYA NINI? KWA NINI HAWAKUKATAA? AU WACHUMIA TUMBO?:thinking:
  16. N

    Baraza la wawakilishi lafunguka: Tusilazimishane katika muungano huu. Watanganyika wanatuhadaa

    raza= mbumbumbu. YAWEZEKANA ALISOMA SHULE YA KATA AKAPATA DIV5(0). ANATOA POVU TU HAJUI KUJENGA HOJA.:pray:
Back
Top Bottom