Search results

  1. kikwakwa

    sehemu nzuri ya kujifunza kingereza

    kwa dar wapi ntapata hiyo sehemu ambayo itanifanya ndan ya mwez mmoja nijue kuandika na kuongea vizuri hiyo lugha,mwenye kufahamu anijulishe,asanteni
  2. kikwakwa

    hatimaye bodi ya mikopo yatoa majina .

    kwa wale waliotazama taarifa ya habari star tv leo saa mbili usiku bodi wameeachia majina hayo,lakini ukiingia kwenye website yao bado hawajayaweka hivyo tusichoke kutembelea huko natumaini hadi kufikia kesho mchana watakuwa wameshaweka.
  3. kikwakwa

    Sua matokeo ya walioomba kwa equivalent yametoka?

    Tujuzane wakuu maana hali tete.
  4. kikwakwa

    Sua vipi matokeo bado?

    Wakuu tujuzane niingie wapi ili niyaone.
  5. kikwakwa

    Zima taa!...mwenzio naona aibu!

    hapo kwenye red nipo tofauti kidogo,mi naamini raha ni kumfikisha mpenzi wako kileleni hayo mengine ni ziada tu.
  6. kikwakwa

    Tatoo za mpenzi wangu, zinanivunja moyo. Nampenda ila sijuai nifanyaje

    bro,kama umependa paja na makalio yake lazima utaumia sana lakini kama unaupendo wa dhati kwake hilo si tatizo ingawa inauma.
  7. kikwakwa

    Naachika kila siku

    Smile ebu jichunguze je wewe ni mtu mwenye dharau katika mapenzi?unajua wanaume weng hawapendi mwanamke/msichana mwenye dharau,kama upo hinyo ujue ndo sababu kubwa ya kuachika,pia huwa unaijua nafasi yako katika uhusiano?pia ni mtu wa kurudiaruda kosa ambalo mpenzi wako huwa alipendi?kukosea ni...
  8. kikwakwa

    Namuanzaje mamamkwe???

    hapo kwenye red hapo,hainunui kiwanja wapi?wakati huku kwetu unapata heka moja kabisa,jamani msidhani dar ndo TANZANIA pekee.
  9. kikwakwa

    Ukiona hivi jua umechokwa!!

    ndugu yangu mapenzi ni sawa na katiba ya nchi yani ni mapana sana,hivyo usi judge kwa vitu vidogo kama hivyo badala yake chukua hatua katika kuimarisha uhusiano wako.
  10. kikwakwa

    jamani msaidieni happy

    natamani sana ungekuwa umeathirika ili ujutie zaid
  11. kikwakwa

    Tcu.

    nijuavyo mimi chuo mfano sua equivalent wana apply moja kwa moja chuoni na co kupitia tcu
  12. kikwakwa

    Wantuchanganya hawa jamaa wa bodi ya mikopo

    ebu kuwa kama binadamu mwenye utu,maana nimeona michango yako mingi ni ya kuvunja moyo na isiyo na msaada,kama jambo huna uwezo wa kuchangia ni bora ukakaa kimya utaonekana una busara,kuliko kuwa unawajibu wenzako pumba tu badala ya kuwapa mawazo ya kuwajenga.Hivi we hapo ulipo umefanikiwa kwa...
  13. kikwakwa

    My wife has spoiled my day!!

    Hapo kwenye red kumbe we bado wa mwaka 47?pole
  14. kikwakwa

    Wakuu kwa dar wapi ntapata suti nzuri za harusi?

    asante kwa wote mlioonyesha moyo wa kunisaidia,na kwa mlio toa kashfa badala ya msaada asanten pia,lakini kmbken dharau hazifai hamjui kwanini niliuliza hivyo,labda niwape jibu sina ufahamu na bei za suti na kwakuwa mmeonyesha kudharau kiwango cha pesa nilichotaja basi naomba mnitajie bei...
  15. kikwakwa

    Mpenz namiaka 2 naye anakataakusex na mimi..

    dah!miaka miwili ndo unalalamika?mi wng huu mwaka tunaenda wa sita hatujawahi kusex,cha muhumu ni malengo yenu tu
  16. kikwakwa

    Wakuu kwa dar wapi ntapata suti nzuri za harusi?

    bei iwe 300,000-400,000
  17. kikwakwa

    Wakuu kwa dar wapi ntapata suti nzuri za harusi?

    Bei ziwe kuanzia 300,000-400,000.Pia na viatu bei iwe 100,000
  18. kikwakwa

    Ushauri

    kwa uandishi huu wewe ni darasa la kwanza t
Back
Top Bottom