Search results

  1. SHIEKA

    Kuna siku Serikali imewahi kukanusha tuhuma anazotoa Ansbert Ngurumo?

    Msemaji wa serikali, bwana Abbas alisema kwa kifupi sana kwamba Ansbert ni mpuuzi baas!Hakuingia undani tuhuma zilizotajwa.
  2. SHIEKA

    Who the hell is Mr Plight?

    Huyu mwehu Musiba ndio unamwita Mr Plight? Hakuna haja ya hiyo fasihi; hakuna chochote kitakachoharibika ukimwita Msiba au Musiba. Hiyo fasihi uliyotumia hutumika kuficha majina makubwa ya viongozi wakuu wa nchi.
  3. SHIEKA

    Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

    Mkuu, unaishi nchi hii ya tanzania au umeteremka toka Mars kuja kula pasaka? Vyama vya upinzani haviruhusiwi kukusanyika popote nchi hii kufanya kikao: kiwe cha ndani au hadhara; polisi wanaingilia.Ni juzi tu chadema walibuni kufanya kikao cha ndani kwenye ofisi za ubalozi na polisi ikafyata...
  4. SHIEKA

    Cyprian Musiba: Kikundi kinachotekeleza mauaji kinatoka CHADEMA chini ya G. Lema. Ningemfunga Mbowe miaka 200

    Kijuujuu huyo musiba ni mtu aliyekabiliwa mpaka sasa na hali ngumu ya maisha anatafuta upendeleo fulani serikalini.Huko kujikomba kwa staili anayofanya kumepitiliza!
  5. SHIEKA

    Tuhuma za Musiba: Nchi wahisani sitisheni misaada kulazimisha uchunguzi wa tuhuma zilizotolewa dhidi yenu

    Hata mimi nitaishangaa sana serikali kukaa kimya bila kumhoji huyo mlevi anayetaka kuanzisha mzozo wa kidiplomasia na nchi rafiki za ulaya.
  6. SHIEKA

    Antony Joshua Vs. Joseph Parker 31/03/2018 [Special Thread]

    No official ring-walk information has been provided as of yet but it is expected that Joshua and Parker will take to the ring no later than 10:30pm but perhaps earlier.(quoted from the telegraph) Pambano ni kabla ya saa nne usiku leo 31/3/2018 saa za cardiff. Kwa kuwa cardiff iko masaa 2 nyuma...
  7. SHIEKA

    Cyprian Musiba: Kikundi kinachotekeleza mauaji kinatoka CHADEMA chini ya G. Lema. Ningemfunga Mbowe miaka 200

    Ukiangalia kwa makini sura ya huyu bwana inaonesha taswira ya kukubuhu kwenye ulevi wa kupindukia,(anakula vizuri lakini) na anavyoongea anatupia jicho kwa namna ya kutojiamini au kutokuwa na uhakika wa anachoongea.
  8. SHIEKA

    Freeman Mbowe: Tuko imara tuko vizuri msiogope Taifa linatutegemea

    Hekima za mwenyekiti.Tunawaombea sana kamanda!Peoples!!!
  9. SHIEKA

    Mungu wasamehe kwa sababu hawajui wanalotenda

    Hiyo inawezekana kwenye nyanja nyingine lakini si kwenye siasa aisee!
  10. SHIEKA

    Nape Nnauye: Tusipojifunza Siasa za Kuvumiliana, Tanzania litakuwa taifa la ovyo

    Ni kweli. Yeye na Kinana walivumilia sana kejeli na utani mbaya wa CHADEMA enzi hizo.
  11. SHIEKA

    General Mig Mig rants and raves in Dubai!

    A good script writer and director can roll out an award winning film out of Miguna's saga.
  12. SHIEKA

    Barua ya Evarist Chahali kwa viongozi na wafuasi wa upinzani (Hususani CHADEMA)

    Asante Chahali kwa zawadi nzuri ya Pasaka.
  13. SHIEKA

    Wananchi wenye hasira wachoma pikipiki mbele ya askari

    Waulize haohao polisi wanaobambikizia watu kesi.Wanaua mwanachuo kisha wanamshtaki mtu mwingine kwa kifo hicho!!!!!
  14. SHIEKA

    Swabaha Shosi (Mjane wa Rais Magufuli) afungwa jela miezi 3 kwa kuingilia eneo lisiloruhusiwa

    Rekebisha heading tafadhali imekaa vibaya mno hasa hapo pa 'mjane wa Magufuli'
  15. SHIEKA

    Ujuaji utaliangamiza taifa, mwenye masikio asikie

    Mark this thread/comment for future reference!
  16. SHIEKA

    Ujuaji utaliangamiza taifa, mwenye masikio asikie

    Nakwambia hivii: Hakuna atakayetokeza!Usiamini kauli zamitandaoni.
  17. SHIEKA

    Ujuaji utaliangamiza taifa, mwenye masikio asikie

    Nimeishi tanzania miaka 55 ya maisha yangu na ninawafahamu sana watanzania walivyo mafundi wa kelele na vitendo 0. Hakuna kitakachofanyika hiyo tarehe, na utayari wa vyombo vya usalama unaofanywa kwa nguvu kubwa ni kupoteza tu muda.Nothing is gonna happen, it is easier said behind a keyboard...
  18. SHIEKA

    Dr. Suzan Kolimba Defend the Government Against the Economist Magazine

    News Alert: - Serikali ya Tanzania yaumbuliwa na wapambe wake
  19. SHIEKA

    Ndani ya katiba mpya, Rais aondolewe kwa kura na sio kwa mihula miwili

    Ubovu ni kwamba rais aliyeko madarakani iwapo anahisi kwamba kura zitamkataa atashirikiana na chama chake kufanya hila ya kuchakachua hizo kura ili aendelee kuwepo. Aliyepo sasa hivi anafanya yote ayawezayo kufanya yeye na chama chake waabudiwe kama Mungu!
Back
Top Bottom