Search results

  1. mfichuamambo

    Barabara ya Chamazi Mbande inasumbua sana ina foleni ya ajabu wakati mwingine

    Hii barabara ni nyembamba halafu foleni ikitokea panakua na shida maana wanaotokea mbagala wanaingilia na hii njia ya kurudi mjini nayo wanaiendea Maana yake njia zote mbili ya kwenda mbande upande wa left na huu wa kurudi mbagala yaani left zote zinageuzwa kuwa barabara moja tu ya kurudi...
  2. mfichuamambo

    Ajira Portal acheni uhuni, mnacheza na Watanzania

    Kuna ajira ni lazima uombe kupitia ajira portal cha ajabu ukisign in kwa app yao inagoma hapo hapo ukisign up inaandika invalid email address na kila mtu hii inamkumba. Kiujumla sahivi huwezi kuaccess ajira portal na hapo deadline ya maombi unakuta ni after few days. Huu ni mkakati wa maksudi...
  3. mfichuamambo

    Serikali, kero ya foleni ya Buguruni ni hadi lini?

    Haya mateso ni hadi lini? Hii barabara au foleni kwanini serikali haichukui maamuzi ya kuja na suluhisho la hii foleni?
  4. mfichuamambo

    Kwanini Pugu ni mji wa zamani lakini haukui?

    Pugu ni maarufu tokea uhuru na hata kipindi cha ukoloni ilikuwepo. Lakini huu mji au hilo eneo halikui kabisa au kuendelea kama maeneo mengine ya Dar Es Sallam Yaani Pugu ni ile ile ya siku zote hadi leo bado viwanja vipo Pugu nashindwa kuelewa ni kwanini Pugu haikui Watu wako radhi waende...
  5. mfichuamambo

    Hivi inawezekana mtu akafungwa kichawi asipate kazi kila akiomba?

    Hili jambo naskia watu wakilalama kwamba mara kafungwa mara imekuaje Hili jambo huwa ni kweli?
  6. mfichuamambo

    Nina mimba yake lakini kanitelekeza!

    Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua...
  7. mfichuamambo

    Wapenda Gym wengi na skendo za ushoga na waume za watu

    Hii nimeitoa mahali mimi nimeileta ilivyo[emoji1313][emoji1313][emoji1313] *MUME WAKO AU MPENZI WAKO KAMA ANATEMBEA NA MASHOGA KWA SIRI UTAJUAJE?FANYA HIVI Jana kuna dada kaomba talaka yake kisa tu alimfumania mume wake anafanya mapenzi na mwanaume mwezie yaani shoga!Ukiwa na mwanaume ni mtu wa...
  8. mfichuamambo

    Samahanini eti hii ni shilingi ngapi kwa kuisoma

    Kidogo shule na hesabu ilinipiga chenga hii ni shilingi ngapi ya kitanzania inasomeka kama shilingi ngapi ya Kitanzania? Tsh 16,652,246,906,926.83 Inasomekaje kwa maneno? Nimeshindwa kwa kweli
  9. mfichuamambo

    Wazazi, watoto wanafanyiwa vitendo vichafu kaeni na watoto muongee nao

    Wamama wa JF na wababa jamani hebu kaeni na mpate muda wa kuongea na watoto utajua mengi sana Mimi mwanangu wa kiume ni mtundu anasoma darasa la 5 ana miaka 11 na mwingine wa kike aliyemfuatia anasoma darasa la 3 Lakini mimi watoto wangu huwa nawakagua kabisa Huyu wa kiume huwa namkuza kiume...
  10. mfichuamambo

    Arusha Ushoga na Usagaji umeshamiri hadi Bar za kuuza mashoga zipo

    Nipo Arusha yapata week ya pili kwa kazi zangu hizi za kuuza Unga wa lishe, nafaka na biashara ya kuleta Vitu huku Namkuta mtoto wa binamu yangu wa kiume kamaliza chuo kwa ngazi ya cheti simuelewi elewi ndio naambiwa ni shoga na ana mashoga wenzake Jioni moja kaja na marafiki zake wa kiume...
  11. mfichuamambo

    Wanawake wenzangu mnawezaje kumudu wanaume wabinafsi waongo wanaojifikiria wao tu?

    Jamani hivi wamama mnawezaje kumudu hawa wanaume wabinafsi? Yaan mwanaume asiyesikia uchungu au maumivu ambaye wewe kama mwanamke wake unayapitia Mwanaume opportunitist tu,selfish tu, anajali tu maisha yake tu Mwanaume ambaye ni muongo kwa asilimia 99 Kudanganya kupo ila sio huyu wangu aisee...
  12. mfichuamambo

    Picha: Hivi vikaptula vya wanaume wa Dar vipigwe marufuku

    Oneni huyu kaka[emoji1313]Hivi mwanaume unavaaje vikaptula vya aina hii?Hii ni aibu kwa taifa wanaume wa dar hapa mlipofika sasa mnataka kufanana na sisi dada zenu au[emoji1313]ndo uvaaji gani huu jameni?
  13. mfichuamambo

    Huyu Loydemich ni nani hapa mjini? Anafanya kazi gani?

    Huyu mkaka ni nani hapa mjini anafanya mishe gani maana huwa namuona akila bata kila mahala dunia mara Marekani mara ulaya mara Dubai mara anaendesha magari ya gharama sana Anafanya mishe gani hapa mjini? Anakula bata sana duniani
  14. mfichuamambo

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar. Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa...
Back
Top Bottom