Search results

  1. mfichuamambo

    Ajira Portal acheni uhuni, mnacheza na Watanzania

    Jaribu kusign up new account ujaribu uone inavyosumbua kabla hujatetea ujinga hapa
  2. mfichuamambo

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Heee bibi mfumuko wa bei umekushindwa kuzibiti, utaweza mambo mazito?Nahisi hata maamuzi hufanyi wewe, kiujumla uwezo wa kuongoza huna.Huo ndo ukweli ukubali ukatae, wanaokusifia wakusifiye mimi ni mwanamke mwenzio nakwambia tu bibi we uwezo huo huna!Karama ya kuongoza huna Umeshindwa mfumuko...
  3. mfichuamambo

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mmeona vitu vinapanda unga kilo tano ni elfu 8 mchele umefika 2500 huku mmbande vitu vimepanda hadi cream lotiob na tyubu nazo zimepanda,mama samiya kweli umeshindwa kudhibiti mfumuko jee utaweza kutuvusha kipi kingine, umeshindwa kudhibiti mfumuko utaweza nini mama yangu?juuzulu ukalee wajukuu...
  4. mfichuamambo

    Barabara ya Chamazi Mbande inasumbua sana ina foleni ya ajabu wakati mwingine

    Hii barabara ni nyembamba halafu foleni ikitokea panakua na shida maana wanaotokea mbagala wanaingilia na hii njia ya kurudi mjini nayo wanaiendea Maana yake njia zote mbili ya kwenda mbande upande wa left na huu wa kurudi mbagala yaani left zote zinageuzwa kuwa barabara moja tu ya kurudi...
  5. mfichuamambo

    Ajira Portal acheni uhuni, mnacheza na Watanzania

    Kuna ajira ni lazima uombe kupitia ajira portal cha ajabu ukisign in kwa app yao inagoma hapo hapo ukisign up inaandika invalid email address na kila mtu hii inamkumba Kiujumla sahivi huwezi kuaccess ajira portal na hapo deadline ya maombi unakuta ni after few days Huu ni mkakati wa maksudi tu...
  6. mfichuamambo

    Ajira Portal acheni uhuni, mnacheza na Watanzania

    Kuna ajira ni lazima uombe kupitia ajira portal cha ajabu ukisign in kwa app yao inagoma hapo hapo ukisign up inaandika invalid email address na kila mtu hii inamkumba. Kiujumla sahivi huwezi kuaccess ajira portal na hapo deadline ya maombi unakuta ni after few days. Huu ni mkakati wa maksudi...
  7. mfichuamambo

    Serikali, kero ya foleni ya Buguruni ni hadi lini?

    Haya mateso ni hadi lini? Hii barabara au foleni kwanini serikali haichukui maamuzi ya kuja na suluhisho la hii foleni?
  8. mfichuamambo

    Kwanini Pugu ni mji wa zamani lakini haukui?

    Pugu ni maarufu tokea uhuru na hata kipindi cha ukoloni ilikuwepo. Lakini huu mji au hilo eneo halikui kabisa au kuendelea kama maeneo mengine ya Dar Es Sallam Yaani Pugu ni ile ile ya siku zote hadi leo bado viwanja vipo Pugu nashindwa kuelewa ni kwanini Pugu haikui Watu wako radhi waende...
  9. mfichuamambo

    Hivi inawezekana mtu akafungwa kichawi asipate kazi kila akiomba?

    Hili jambo naskia watu wakilalama kwamba mara kafungwa mara imekuaje Hili jambo huwa ni kweli?
Back
Top Bottom