Search results

  1. W

    Insta Account Inahitajika

    Habari, Account ya instagram yenye followers kwanzia 10k inahitajika... Ahsante.
  2. W

    Maziwa ya ngamia kwa Dar es Salaam yanapatikana wapi?

    Habari zenu, Nipo Dar-es-salaam nahitaji maziwa ya Ngamia je yanapatikana wapi? Msaada tafadhali... Ahsantee!
  3. W

    Persian Cat

    Natafuta Persian Cat kwa anayejua Au aliyekuwa nao.. Msaada tafadhalii
  4. W

    Little help plzz

    Habar wanaJF, Naombeni Msaada wenu... Babu yangu anaalama hiyo kwenye kidole hakumbuki alifanya nini... Je ni Tatizo gani?? na inaponaje??
  5. W

    MSAADA: Mafao Shirika La Reli Tanzania

    Habari Zenu, Kwa yeyote mwenye kufahamu process ya kufuatilia mafao ya marehemu aliyefanya kazi shirika la reli la East Africa anisaidie Tafadhali.. Ahsante.
  6. W

    Vipindi vya redio - Tanzania

    Habar wanaJF, Nataka tujuzane vipindi vipendavyo kusikilizwa sana. Binafsi ni: 1. Jahazi - Clouds Fm (4pm - 7pm) Muendelezo Tafadhali!!!
  7. W

    Vitambaa Vya Mashati Na Suruali

    Habari wanaJF, Nipo Dar nahitaji vitambaa vya mashati na suruali (cadet). Nicheki whatsapp 0714-087253 Ahsanteni.
  8. W

    Natafuta chumba Maeneo ya Mjini

    Habari, mm ni mwanafunzi wa Chuo mwaka wa kawanza, natafuta chumba cha selfcontained Umeme na Maji yawepo. Sehemu iwe kati ya (Magomen,Jangwani,Kariakoo au Ilala) Budget around 70,000 - 150,000/-
  9. W

    WATEJA NA WAUZAJI WA MAZAO!!

    Habari wanaJF, Nimetengeneza uzi huu ili kusaidia kurahisisha Biashara kati ya Mkulima na Mnunuzi. Kwa yeyote mwenye mazao au anahitaji mazao Basi Ukumbi ni wako!!!!
  10. W

    Huduma za kihasibu....

    Habari wanaJF napenda kuwajulisha kuwa tunatoa huduma za Accounting services (VAT returns, Trial Balance, stocking) kwa makampuni au maduka ya watu binafsi. Kwa maelezo zaidi au maswali ni cheki PM au ni contact 0785-327979
  11. W

    TTCL 4g Line

    Habari wanaJF naobeni msaada wenu nahitaji laini ya TTCL ya 4g, je ntaweza kupata wapi nipo Dar kwa kesho jumapili? Ahsanteni
  12. W

    Jinsi ya kujailbreak Ps3 4.75 version

    Naomben msaada jinsi ya kujailbreak ps3 yangu.
  13. W

    Vichomi wakati wa jogging

    Habar, naomben msaada wenu kwanini wakati nafanya jogging huwa napatwa na vichomi sehemu ya tumbo upande wa kulia au kushoto na kwenye kifua upande wa kulia tatizo ni nini???
  14. W

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kisarawe District

    Habar wanaJF kinauzwa ni pm kwa maelezo zaidi
  15. W

    Tally ERP.9 expert needed

    Habari wanaJF natafuta mtaalamu wa Tally Accounting Package anifanyie connection, anitengeneze chart of accounts na nimuulize kuhusu some features. Naombeni mnisaidie.
  16. W

    Real estate joint venture

    Habar wanaJF, natafuta mtu au kampuni ambayo ninaweza ingia nayo ubia wa jenga residential building au commercial building nina plot maeneo ya Kariakoo kwa maelezo zaidi inbox me.
  17. W

    Kibali cha pikipiki

    Habar zenu nlikua naomba kujua process ya kupata kibali cha kuingia mjini na pikipiki.
  18. W

    Uhakiki wa cheti cha kidato cha nne

    Habar zenu, ntawezaje kujua kama cheti cha form four ni original? Nipeleke wapi waniangalizie?
  19. W

    Natafuta fundi wa Honda click!!!

    Habar wanaJF nahitaji fundi wa pikipiki aina ya Honda awe maeneo ya Kariakoo, posta, upanga au jangwani. Maana nataka niifanyie service pikipiki ya office. Ahsanten . Anayefahamu tafadhali nisaidie.
  20. W

    Noah inahitajika!!!

    Habar wanaJF Noah Old model inahitajika Dar-es-salaam nicheki whatsapp 0714-087253.
Back
Top Bottom