Search results

  1. Mpwayungu Village

    Maisha ya walimu ni magumu sana

    Nipo apa na jamaa mmoja anatupa story yeye ni mwalimu anasema inafikaga wakati hali inakuwa ngumu hata Familia inalala njaa. Walimu wana mishahara midogo sana hawawez hata kujiamini popote pale walipo ndio mana wana hofu Uoga wao ni kutokana na ugumu wa maisha waliyonayo, serikali waoneeni...
  2. Mpwayungu Village

    Chini ya mshahara wa millioni mbili mnaishije mbona sielewi

    Naomba tusaidiane ktk hili ili nipate ujuzi wa kubana matumizi, ivi unawezaje kuishi Kwa kipato cha million mbili Kwa mwezi ilihali mm hiyo pesa Sina mke Wala mtoto lkn inaisha kabla ya tar mosi au labda anasa ni nyingi na sehemu za starehe za gharama zinaniponza Nahitaji huu mwaka nijibane ili...
  3. Mpwayungu Village

    Tuliopo club element mda huu tujuane

    Walimu mda huu wamelala najua hilo, tuliobak hatuna kuuliza bei sisi tunaagiza after use tunadai invoice. Nipo hapa Haile Selassie ndani ya ukumbi wa element club lounge and bar Njooni basi tujuane kama mpo, napiga zangu Windhoek taratibu mda huu. Please kama unapesa za kuhesabu Kwa mkono...
  4. Mpwayungu Village

    Ukiwa mwalimu jamii inakuona hauna maana

    Hii fani ukipita mitaani kila mtu anaona haina tija khabisa, ukisema tu mimi ni mwalimu basi wote wanakupuuza na kuona umekosa dira, sasa kwanini walimu jamani mnaendelea na hii kazi, hivi mnafaidika nini haswa? Maana najaribu kuangalia faida hata moja tu sioni, mshahara wenu naona ni mdogo...
  5. Mpwayungu Village

    Wanafunzi wote hakuna aliyesema anandoto ya kuwa mwalimu

    Kuna program tulienda kufanya last month shule ya sekondari taifa iliyopo jijini dar Es salaam, shule ya sekondari mwenge singida mjini na shule ya sekondari mosh tech iliyopo moshi Sasa katikati ya program likaibuka swali mnasoma mje kuwa Nani Shule zote tuliuliza hilo swali but hakuna hata...
  6. Mpwayungu Village

    Walimu kumbukeni hakuna mshahara mwingine mpaka tar 22 ijayo

    Mishahara yenu ni midogo sana haiwezi hata kununua nguo Kariakoo tafadhari saana nunueni chakula tuu,nunueni maharage, mahindi na mafuta basiii ili msife na kulala njaa. Tumechoka kuona majina yenu Kwa kimaro kila siku mnakopa mpaka dagaa za fungu la Mia tano Kwasababu nyie hamna nia ya kuwa na...
  7. Mpwayungu Village

    Ukinywa pombe Kilimanjaro hotel, Serena, Sea Cliff huwezi kukuta feki

    Watanzania kwanza lazima mjue hii nchi Ina walanguzi kila sehemu, viongozi wa serikali ndowamumini sana wa utengenezwaji wa pombe feki, jezi feki, vyakula feki,yaki kila kitu fake mpaka miili yetu ukienda mlonganzira wanakuchonga unakuwa kama agness masogange Kwahiyo Kwa sisi watumiaji wa...
  8. Mpwayungu Village

    Aliacha kazi ya ualimu saizi ana maduka ya hardware na supermarket kibao

    Anitwa Abdallah Idd kutoka songea, alikuwa mwalimu Kwa miaka kumi mkoani dodoma wilaya ya BAHI halmashauri ya BAHI DC. Familia yake ilikuwa ikiishi songea mjini kwakua huko ndo alikuwa na duka lake moja la kuuza nafaka na mtu pekee wa kusimamia hiyo biashara ni mke wake Alihangaika kuomba...
  9. Mpwayungu Village

    Mwaka 2024 staki kabisa mtu alete utani kwenye maisha yangu

    Mwaka unaokuja inabidi sasa niwe serious, staki shobo namtu, sitatoa hata mia yangu kusaidia masikini maana ukimsaidia masikini unazoa laana zake Mwaka 2024 utakuwa ni mwaka wangu wa mafanikio. Yesu anajua huu mwaka unaokuja ananipa Baraka zake zote nakuwa kila kitu ninachofanya kinaenda kwenye...
  10. Mpwayungu Village

    Samia rudisha pesa za walimu wakuu, sio maamuzi yao

    Uoga ni kitu kibaya sana kwenye hii Dunia. Ukitaka kukosa amani kwenye kila kitu unachokifanya hapa Duniani basi endekeza uoga. Umoja wa wakuu wa shule za sekondari Tanzanian (TAHOSSA) wiki jana walikuwa na mkutano wao jijini mwanza ukumbi wa Kwa tunza Beach jirani kidogo na Malaika Beach resort...
  11. Mpwayungu Village

    Kwanini wakurugenzi wa makampuni makubwa ni Wahindi?

    Mkurugenzi mtendaji wa Google ni Mhindi [emoji1128] 2. Mkurugenzi mtendaji wa Microsoft ni Mhindi [emoji1128] 3. Mkurugenzi mtendaji wa YouTube ni Mhindi [emoji1128] 4. Mkurugenzi mtendaji wa Adobe ni Mhindi [emoji1128] 5. Mkurugenzi mtendaji wa World Bank Group ni Mhindi [emoji1128] 6...
  12. Mpwayungu Village

    Kijana huwezi tajirika kwa kuuza popcorn Makumbusho

    Kuna mda huwa nawaza naishia kucheka tu [emoji3][emoji3][emoji3], ivi mtu una miaka zaidi ya saba wewe unauzaga popcorn tu, wengine wanatembeza Maji barabarani nusra wagongwe na magari Kwa faida ya elfu tano kwa siku. Mtaji ni changamoto lakini ebu sisi kama vijana tujitahidi kusave kidogo...
  13. Mpwayungu Village

    Vijana mliopo Dar nendeni Katavi mkalime, mvua inamwagika

    Najuta why nimetoka bongo maana mda huu nikiwa Namibia mji wa Windhoek nimepewa taarifa na wazawa wa katavi wanasema msimu huu kosakosa gunia za mahindi sio chini ya Mia Tatu, mvua zinatwanga vibaya mno Nami nikaona nitumie fursa hii kuwakumbuka watoto wa mjini tuliokaa nao kwenye vijiwe vya...
  14. Mpwayungu Village

    Umasikini ni mbaya sana

    Kama huna pesa huna thamani utamaliza wiki hukuti sms wala missed call. Hakuna jipya utapata zaidi ya msoto na kunuka jasho mda wote Naomba niishie hapa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  15. Mpwayungu Village

    Kwanini Ikitokea mwalimu anadai haki walimu wenzake huchukia

    Hili swala sio geni, Kuna walimu zaidi ya watatu wanasema hili. Kwamba ukionekana wewe unapambania haki za walimu wenzako iwe shuleni kwenu au popote pale basi walimu huwa wanamchukuia mwalimu huyo nakumuona wa tofauti sana tena anaweza akatengwa Mwalimu anadai haki zake kwani kosa lipo Wapi...
  16. Mpwayungu Village

    Bila katiba Mpya CCM hamuingii madarakani 2025

    Hili liwekwe tu wazi tusichekeane, hatutafanya uchaguzi 2025 kama hatujapata katiba Mpya hivyo hatutarajii kuona viongozi wasiochaguliwa na wananchi tuelewane hapo. Patakuwa kivumbi na jasho, vuta nikuvute shati kuchanika hapigwi mtu hapaaa. Tumechoka!
  17. Mpwayungu Village

    Kwa Mara ya kwanza nimepata demu anaekuja Kwa nauli yake

    Huyu ni wa kuowa kabisa, Katoka Kigamboni mpaka Kinyerezi ninapoishi Kwa nauli yake. Amenipa mchezo kaondoka kwenda home kwa nauli yake. Sio rahisi kwa miaka ya sasa kwa hawa Dada zetu wa tafuta hela huwezi kuwapata ila mimi nimepata. Unashika popote hakutoi mkono kila unachomuelekeza anafanya...
  18. Mpwayungu Village

    Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama

    Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi...
  19. Mpwayungu Village

    Mwalimu ukiwa upinzani tunakupa kesi ya ubakaji. Afisa elimu mkoa iringa

    Haya walimu, Kazi mnayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Kwa mujibu wa tume ya utumishi WA walimu inasema mwalimu yupo huru kuwa Chama chochote cha upinzani Sasa hili poyoyo sijui hizi kauli linaziokota Wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
  20. Mpwayungu Village

    Unaingia Baa na laki ili utumie buku ten ajabu unarudi asubuhi na buku ten tu

    Maisha yapo hivo sio lazima tufanane, wewe jenga nyumba mm nanunua gari, wewe save mimi natumia. Kuna mda unatoka kwenye hustle Nzito unasema Leo nimepiga penyewe ngoja niingie kwenye Viti virefu kwenye hii laki niliyonayo nitumie elfu kumi tu ili saa Tatu usiku nipumzike afu tisin ni save...
Back
Top Bottom