Search results

  1. ROJA MIRO

    SoC01 Importance of Boosting Intra-African trade by Promoting a Culture of buying Quality African Goods and Services

    How can Africa’s Young Entrepreneurs and Innovators make the AfCFTA’Magic Happen? The African Continental Free Trade Area Agreements (AfCFTA) It is a plan signed On March 21, African Nations signed the African Free Trade Agreement (AfCFTA) agreement in Kigali Rwanda. The African Union says the...
  2. ROJA MIRO

    SoC01 Mwanamke mjamzito afanye hivi kuondoa mazoea ya kula udongo kutokana na madhara yake.

    Watu maarufu waliowahi kula udongo. Mwaka 2014, Muigizaji mashuhuri wa Hollywood nchini Marekani, Shailene Woodley, aliwashangaza watu alipofichua kuwa yeye hula udongo kila siku kwa kupima kijiko kimoja. Muigizaji huyo, aliyewahi kucheza filamu mashuhuri ya Descendants akishirikiana na George...
  3. ROJA MIRO

    SoC01 Mvuta sigara Tanzania hutumia kiasi cha Tsh Milioni 16.9 hadi Tsh Milioni 42.3 kununua sigara kipindi chote cha maisha yake

    Bei za baadhi ya sigara nchini Tanzania kutokana na majibu ya wauzaji wa Sigara mnamo mwezi July 2021 wilayani Pangani Mkoani Tanga. BAADHI YA SIGARA BEI ZA SIGARA HIZO KWA SASA BEI YA PAKTI MOJA BEI YA SIGARA MOJA Winston & Master Club Tsh1600/= Tsh 100/= Sports Club & Sm...
  4. ROJA MIRO

    Mjue Jelly Fish Samaki hatari baharini, ni haja wavuvi kuwa nae makini

    Box Jelly fish (Sea wasp), ni samaki anaepatikana baharini,hasa katika bahari ya Pacific (Indo-Pacific) pia katika bahari ya Atlantic.Hupatikana kwa wingi katika nchi za Australia,New Zealand,Philippenes na mji wa Hawaii ulioko USA. Samaki huyu hujulikana kama 'the most deadliest fish in the...
  5. ROJA MIRO

    SoC01 Migogoro ya Wafugaji na Wakulima, kweli ni Donda ndugu lisilopona mbele ya Serikali na wasomi?

    Athari za Migogoro ya Wafugaji na Wakulima. Migogro hii imekuwa ikisababisha upotevu wa rasilimali kwa raia, jamii na serikali kwa ujumla, uharibifu wa mali, uhai wa raia na mifugo kwa ujumla. Kwa miaka mingi katika nchi yetu tumekuwa tukiishi na jamii za kifugaji (pastoralists) kama wamasai na...
  6. ROJA MIRO

    SoC01 Dhana kwamba huwezi kufanikiwa ulipozaliwa (kukulia) na msemo, ”Naenda kutafuta Maisha” ulivyojengeka kwa wanajamii

    Hali ilivyo:- 1.Watanzania waishio nje. Kila mwaka mamia ya wanawaake wanaenda Uarabuni kusaka maisha ambapo baadhi hupata mazingira ya kazi yenye staha na mishara mizuri. Lakini wengine hufanya kazi kwa saa nyingi zaidi na kwa malipo madogo huku wakipata manyanyaso ya kimwili na...
  7. ROJA MIRO

    SoC01 Wahitimu wa kada ya Ualimu wajitolee

    Uhaba wa walimu. Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za serikali zilikuwa na walimu 191771 ila kwa mwaka uliofuata wa 2019 walipungua hadi walimu 188336 kabla...
  8. ROJA MIRO

    SoC01 Umuhimu wa kuhusisha kundi la vijana katika masuala ua uendelevu wa Mazingira kutokana na unyeti wake

    Sera ya vijana ya mwaka 2007 nchini Tanzania inatambua kwamba vijana ni watu wote wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 35, ambapo kulingana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 ni asilimia 34.7 ya watu. Uendelevu wa mazingira ni namna ya kuwa na jukumu la kuhifadhi...
  9. ROJA MIRO

    Katuni: Mazoea kwa baadhi ya watu kumsubiri mtu afariki ndio wamsifie

    Kuna wakati kwenye jamii ambayo tumekuwa tunaishi watu wamekuwa wakibadilika mitazamo baada ya mtu kufariki,kutokuwepo nk. Mfano, unakuta kiongozi labda yupo madarakani basi watu wanamchukia au kutomkubali kwa namna moja ama nyingine,ila aking’atuka madarakani basi kwa namna moja ama nyingine...
  10. ROJA MIRO

    SoC01 UTENZI: Kuipenda Tanzania, Ni Corona Kuzuia

    1.Kila mtu anajua, Kiloikumba dunia, Huruma itakujia, Habari ukisikia, Kwa kubwa asilimia, Wengi wakiangamia, Tuwaze na kuwazua, Corona kuizuia. 2.Vifo vinavyotokea, Afrika na eshiaa, Italia na India, Kote wanaugulia, Kikubwa kilobakia, Tahadhari kuchukua, Na tusione udhia, Afya zetu kuokoa...
  11. ROJA MIRO

    #COVID19 Utenzi:-Kuipenda Tanzania, Ni Corona kuzuia

    1.Kila mtu anajua, Kiloikumba dunia, Huruma itakujia, Habari ukisikia, Kwa kubwa asilimia, Wengi wakiangamia, Tuwaze na kuwazua,Corona kuizuia. 2.Vifo vinavyotokea, Afrika na eshiaa, Italia na India, Kote wanaugulia, Kikubwa kilobakia, Tahadhari kuchukua, Na tusione udhia,Afya...
  12. ROJA MIRO

    SoC01 Shina moja la Mahindi hulipwa Tsh 60/= mifugo inapokula mazao fidia inayowatesa wakulima

    Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
  13. ROJA MIRO

    SoC01 Somo la Stadi za Kazi kwa Shule za Msingi unavyoweza kuzalisha ajira kwa watakaoshindwa kuendelea na Sekondari

    Kwa mujibu wa muhtasari wa somo la stadi za kazi kwa wanafunzi ambao umeadaliwa kutokana na mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la 3 hadi la 6 wa mwaka 2016 muhtasari ambao kwa sasa umefutwa,kupitia muhtasari huu mwanafunzi aligemewa kujenga stadi za usafi,mapishi tofauti,ujasiriamali,na...
  14. ROJA MIRO

    SoC01 Ongezeko kubwa la Wasiopiga Kura katika Uchaguzi Mkuu. Nini kifanyike?

    Haki ya mtu kupiga kura imetajwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwkaa 1997 ambapo sheria ya mwaka 1984 namba 15 ibara ya 6 na sheria ya mwaka 2000 namba 3 ibara ya 4 inatamka wazi kwamba,Kila raia wa Tanzania aliyetimiza miaka 18 anayo haki ya kupiga kura katika uchauzi...
Back
Top Bottom