Search results

  1. D

    Maadui wakubwa wa watanzania na tanzania wanayoitaka hawa hapa

    Ujinga sawa, Utengano ni tatizo linalozidi kukua kwa kasi siku hadi siku. Ila binafsi naona kubwa zaidi ni kukosekana mapinduzi ya kifikra katika jamii yetu.
  2. D

    Pinda ana uwezo wa kumsimamisha kazi Blandina Nyoni lakini Jairo hapana kweli?

    Mi naona asamehewe bure handsome pinda, hajui alitendalo. Bahati mbaya zaidi kwa handsome huyu ni msahaulifu kupita kiasi, sijui ni wingi wa majukumu au ni mtindio wa ubongo!? Nadhani someone is right 'wamekubaliana kutokukubaliana'
  3. D

    KIKWETE huyooooooo FINLAND

    Khaa! Yaani kaondoka kweli? Kudadeki kama kawaida yake anasikilizia kwanza mabwege wake wajikanganye katika matamko yao mbalimbali yanayo sigana, halafu baaadaaaeeee.... ye anakuja kuibuka LIKE A HERO na kijitamko kisicho na mashiko hata kidogo kwa wenye mitazamo mipana na mipevu.
  4. D

    Maandamano baridi na Legal and Human Rights Centre, Salender Bridge

    Mawazo finyu yasiyo na tija, umevimbiwa na ng'ombe 50 mliochinjiwa mwaza.
  5. D

    Tanzania labour laws

    Nadhani unahitaji kitu kinachoitwa ELRAyaani Employment and Labor Relation Act ya mwaka 2004, ambayo ndio inatumika hadi sasa. Kimsingi sheria hii ni pana mno na ina sehemu zaidi ya kumi na sehemu ndogo ndogo nyingi sana. Sasa ugesema ni kipengele kipi hasa unahitaji kujua au kama ni sheria yote...
Back
Top Bottom