Search results

  1. Kaka mwisho

    MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    Wazoefu bilashaka wakina Boxer na TVs hapa sio level yao. Nichukue ipi Kati ya Blue(Ace125 Tax) au Nyekundu (Ace125 Individual)
  2. Kaka mwisho

    Kwanini Tanzania latest Car ni chache sana kuonekana. Bado wanaagiza Magari ya 2000-2010

    Kwanini Tanzania bado wanaagiza Magari ya zamani sana. Yaani mpaka Leo mtu bado anaagiza Old Model Car.
  3. Kaka mwisho

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Ndio yenyewe.
  4. Kaka mwisho

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mwenye link ya hii series ya kikorea afanye kushare hapa. "The Cursed Prince" ya 2023.
  5. Kaka mwisho

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mwenye link ya hii series imetoka Mwaka Jana 2023 "The Cursed Prince" vipande vyake ni vya dakika 17.
  6. Kaka mwisho

    Kwa bajeti ya Tsh. 300,000/- naweza kununua simu gani nzuri mpya au used?

    Chief kuna simu Kali zaidi ya Samsung A04S Kwa 400,000/= Kwa bei hii.
  7. Kaka mwisho

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Wadau nipeni list za series zenye amshaamsha kama hizi
  8. Kaka mwisho

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mwenye link ya hii series atupie hapa maana hii ni Moto sana weka mbali na watoto " FANDELTALES - The Cursed Prince" ni drama ya kikorea 2023 episode zake ni DK 17.
  9. Kaka mwisho

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Nawezapata link ya "FANDELTALES - The Cursed Prince" ni drama ya kikorea 2023 episode zake ni DK 17.
  10. Kaka mwisho

    Zuchu unazingua, wimbo wako wa honey ni mbaya

    Wewe endelea na kwaya na kaswida na rafiki zako wakina Msondo na Sikinde Ngoma. Pili jiangalie na umri wako pia hivi vitu vinaenda na umri na hobby pia. Tafuta furaha yako pengine.
  11. Kaka mwisho

    Zuchu unazingua, wimbo wako wa honey ni mbaya

    Watoto tangu zamani walikuwa hawarusiwi kuhudhuria maharusini usiku wala kucheza sema Tz kunauzembe wa kusimamia sheria. Mimi naongelea nyimbo ilivyopokelewa na inavyokubalika Kwa wapenda starehe na muziki na wasio na stress za maisha. Zuchu kafanikiwa Kwa 100% kazi kwao wenye fikra za Msondo...
  12. Kaka mwisho

    Zuchu unazingua, wimbo wako wa honey ni mbaya

    Kuna 2 eidha Una miaka mingi kuanzia 35+ halafu unataka uishi kama Una miaka 18. Pili ujue soko la muziki linavyoenda. Nyimbo inapigwa kila mahali mpaka maharusini. Top 10 zote radio ipo.
  13. Kaka mwisho

    Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu...

    Nawakumbusha Ndugu zangu mashart ya kuoa single mama kwanza hakikisha aliyemzalisha kafa na akakuoneshe kaburi lake na ujiridhishe kama aliyezikwa pale ni yeye Kweli vinginevyo utakuja kujuta kaka nakwambia hivyo nina uzoefu na hayo matukio
  14. Kaka mwisho

    Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Acha kukariri Mwamba. Sony hawafikii Samsung na LG Kwa display
  15. Kaka mwisho

    Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Chief next week naenda chukua TV kariakoo Model Samsung AU7000 55" Bei 1,500,000/= Ushauri wako muhimu
  16. Kaka mwisho

    Nahitaji kujua uwezo wa umeme wa 3 phase wa Tanesco

    Mtafute fundi wa umeme aliyekufungia hizo mashine za awali.
Back
Top Bottom