Search results

  1. Kilahunja

    Nguvu ya Kukaa kimya

    R vs L .. otherwise hadithi nzuri.
  2. Kilahunja

    Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

    Tell me about wonder souls .. yan mara utokewe na marehem anakufata au anakupa ujumbe , hapa huwa inakuwaje wakat anapaswa kuwa kwenye period ya kufutika kumbukumbu
  3. Kilahunja

    Msaada wa volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

    gari za ulaya ni nzuri watu wanasema ndo mana kwa sasa nataka nitoke japan niende ulaya japo watu wananitisha na hii kitu vw
  4. Kilahunja

    Msaada wa volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

    wapendwa kuliza sio ujingu kwan toauti ya gari ya diesel na petrol nini mpaka mtu anasema ya diesel inasumba
  5. Kilahunja

    Msaada wa volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

    HELA SIO TATIZO NINACHOKATA KUJUA JE SPEA ZAKE KAMA ZIPO PAMOJA NA MAFUNDI HASA ARUSHA NA DAR
  6. Kilahunja

    Msaada wa volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

    VIPI UPATIKANAJI WA SPEA , ULAJI WA MAFUTA PAMOJA NA MAFUNDI
  7. Kilahunja

    Msaada wa volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

    NASHUKURU KIONGOZI MANA NNAYOFIKIRIA IMETEMBEA 100000MILE KUTOKA UK
  8. Kilahunja

    Msaada wa volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

    NASHUKURU KWA USHAURI WAKO, HUYO FUNDI ALIKWABIA ZINASMBUA NINI
  9. Kilahunja

    Msaada wa volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

    volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel Wakuu poleni na majukumu, nataka kununua hii gari hivyo naomba ushauri wenu kwenye haya mambo. 1. Matumizi ya mafuta(inatumia lita ngap kwa km). 2. Upatikanaji wa vifaa vyake vya kufanyia service ( diesel filter na oil filter ) ikiwezekana na bei yake. 3...
  10. Kilahunja

    Naomba maoni kuhusu gari aina ya corolla runx

    habari wakuu naomba kupata maoni juu ya gari ya corolla runx?? vip upatikanaji Wa spea pamoja na ulaji wake Wa mafuta?
  11. Kilahunja

    Arusha: Madiwani wawili wa CHADEMA Prosper Msofe na Obeid Meng’oriki, wajiuzulu na kujiunga CCM

    ama kweli CDM imekufa , ama kweli Arusha Jiji ya Lema inaendelea kuporomoka. polen sana wana CDM kwa mpasuko unaoendelea ndani ya chama chenu Ni vema mkakaa na kujitafakar upya. mana chama kuwa Ni Mali ya mtu mmoja nayo Ni moja ya changamoto zinazowafanya watu kuhamia CCM
  12. Kilahunja

    Upatikanaji Wa spare parts za Suzuki jimny

    hata Mimi niliambiwa pajero mini Ni ugonjwa Wa moyo VIP upatikanaji wake Wa spea za Jimny?
  13. Kilahunja

    Upatikanaji Wa spare parts za Suzuki jimny

    nashukuru mkuu maana nkaogopa nilivyosikia hamna spare
  14. Kilahunja

    Upatikanaji Wa spare parts za Suzuki jimny

    heshima kwenu wadau naomba kupata msaada Wa taarifa juu ya upatikanaji Wa spare parts za Suzuki Jimny. kama zinapatikana kirahisi au lah. kuna jamaa nimemuuliza kasema nisinunue hiyo gari kwakuwa itanisumbua kwenye spea. naomba ushauri wenu ili niweze kufanya maamuzi. *asante*
  15. Kilahunja

    Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

    hizi Nokia x2 unazo?
  16. Kilahunja

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Kimandolu uliofanyi ka tarehe 13/01/2018

    nyie mnaoponda mmeangalia taarifa ya habari... mbona watu kibao tu wanaonekana wanapiga kura yan mchadomo mtayajua tu
Back
Top Bottom