Search results

  1. K

    Mwanza hii tabia ya kutulisha mbwa acheni

    Naomba na sifa zako
  2. K

    Mwanza hii tabia ya kutulisha mbwa acheni

    Ukimharibia biashara Wateja wake watahamia hapo kwako!!! .Halafu Mwanza sio Buswelu
  3. K

    Mwanza hii tabia ya kutulisha mbwa acheni

    Kimsingi aliyeleta huu Uzi Anatola kumharibia mbise biashara. Mbise yeye ndio WA kwanza kuanzisha kitimoto BUSWELU center. Mbise yeye anajishuhulisha na kitimoto tuu. Na siyo supu . hapo kwa msukuma kuna majiko mawili .Jiko la kwanza ndio la kitimoto analoendesha mbise. Jiko la pill ndio la supu...
  4. K

    Escrow: Kilaini, Ngeleja, Tibaijuka, Naiko kila mtu anena lake. Wengine hawajui wamrudishie nani

    pesa ya excro imekua kama vile vipande 30 alivyopewa YUDA Sent from my itel it1551 using JamiiForums mobile app
  5. K

    Kikosi cha Mabushi stars cha enzi zile

    Gari ya Lodi lofa ilikua ikitumia uji wa unga WA mhogo kama petroli
  6. K

    Matajiri, Watoto wa Mjini, Wababe na Wafanyabiashara wa Kilimanjaro na Arusha

    Niwale walionunua friza dukani kwake wakalipakia kwenye gari yao wakaondoka baada dakika chache wakarudi na kumuomba panjuani awahifazie wakarekebishe Gari lao kumbe walifungia mwizi ndani
  7. K

    Ndala Kasheba

    Nenda kwenye YouTube tafuta zaita musica
  8. K

    CHURA: JKT Taarab walitisha sana enzi hizo !

    Inshala Kesho hebu tuwekee link ya wimbo WA Natanga na njia WA Ally Themed star
  9. K

    PICHA: Mererani mwanajeshi ajitoa mhanga

    wenyehali mbaya ndiyo kama huyu mwanajeshi ambaye wakati mwingine mahali pakulala nachakula ni bure mura !! kwanini musimchukue mtanzania wakawaida kutoka kijijini aliyejaa viraka munakimbilia wafanyakazi kwalengo la kuwa
  10. K

    Kazi idara ya uhamiaji, police, magereza na JWTZ zitatangazwa lini?

    ukitaka kuingia jeshi la uhamiaji ,polisi , magereza ni lazima uanzie jkt ukisha maliza mafunzo ya awali unaweza kubahatika kuajiriwa kwenye jieshi unalotaka kwani wenyewe wanapeleka idadi ya nafasi wanaotakiwa kuajiriwa huko jkt
  11. K

    nyumba inauzwa

    nyumba inauzwa ipo mwanza -ilemela wilayani -barabara ya bujingwa ina vyumba 3 kimoja ni master ,sebule ,dining ,jiko na store pia pana nyumba yenye frem 2 vyumba vikubwa vina faa kuweka biashara ya jumla narejareja bei millioni 60
  12. K

    Natafuta Kiwanja/Viwanja - Mwanza

    kipo kiwanja eneo la buswelu hakija pimwa bei mlil 3 pia ipo nyumba yenye ramani nzuri na ina hati ipo barabarani --mawasiliano 0764368242
Back
Top Bottom