Elimu ni uwekezaji kama aina nyingine za uwekezaji hivyo muwekezaji anategemea kupata faidia baadae, ila kuta baadhi ya taasisi au mashirika, mtu ana shahada ila analipwa mshahara wa astashahada.
Au unakuta sehemu mtu ana elimu ya dalasa la saba ila analipwa mshahara zaidi ya mtu mwenye...
Ninaishauri serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kuanzishwa kwa mtaala wa ujasiriamali katika kila level, ili iweze kuwasaidia vijana wengi pindi wanapomaliza au kuhitimu mafunzo mbalimbali waweze kukabiliana na hali ya maisha watakayokutana nayo bila kutegemea ajira kama...
Moja ya sifa za kupata mikopo hii kikundi kinapaswa kuwa na watu kwanzia 10 na kuendelea, na kwa wenye ulemavu wanaanzia watano na kuendelea.
Hoja yangu ni kwamba, kwa upande wa vijana hii sifa imeangalia kundi la vijana ambao hawana elimu kwa mapana kwasababu ni rahisi mno kwa vijana waliokaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.