Search results

  1. J

    Dowans: Another Richmond in making?

    Kwa uelewa wangu, njia kuu za kuzalisha umeme au vyanzo vikuu vya nishati hii ni kama ifuatavyo nikianza na njia yenye LOWEST OPERATIONAL COST 1/UMEME WA NGUVU ZA NYUKLIA-Unatumia madini ya URANIUM ambayo tunayo na BUSH alikuja kuyamiliki! 2/ UMEME UTOKANAO NA NGUVU ZA MAJI-tayari tunao na...
  2. J

    Dowans: Another Richmond in making?

    Jamani kwanza tulichambue hilo GIZA lijalo, hivi ni kweli pasipo na uzalishaji wa DOWANS tunawasha vibatari? Inamaana hiyo mitambo inazalisha MW ngapi na taifa linahitaji MW ngapi za umeme? Dowans ikifa upungufu ni kiasi gani na njia za kurekebisha / kufidia upungufu WALIZO NAZO TANESCO ni zipi...
  3. J

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    mwanakijiji, hebu kwanza tueleze wachagga ni asilimia ngapi ya watanzania, na utueleze katika hao wachagga, ni asilimmia ngapi wameenda shule kwa maana kwamba angalau wana ki-digrii, kisha utuambie hapo TZ wenye ki-digrii angalau kimoja ni asilimia ngapi, na utuambia wachagga walioajiliwa ni...
  4. J

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Pia sioni tofauti kati ya ndugu moja na kabila moja UNDUGU NA UKABILA KITU ILE ILE, huwezi kuwa ndugu yangu wakati hatujachangiaukabila!!!
  5. J

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Mwanakiiji, niliposema NDUGU YAKE nilimaanisha KABILA MOJA
  6. J

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    HIVI WEWE JULIAN UMESOMEA "PSYCO-COGNITIVE" au?
  7. J

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Haihitaji digrii kuliona hilo, chukulia sasa iwapo itakuwa ni suala la baba na mtoto, au mjomba, shangazi, mjukuu nk. Hivi nitaacha kumwajiri mwanangu, au mtoto wa rafiki, kisa kuna mtu kamzidi kwenye intervie? Mwenyewe nilikumbana na hili wakati naajiriwa serikalini (nilisha achana nao)...
  8. J

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Mwanaijiji na masapota wako, nawaomba muelewe na kukubali kuwa UKABILA UPO! nitatoa hoja: 1 Mfano wa nyerere UMEPITWA NA WAKATI, kama ni kweli nipe takwimu za wanafunzi waliopo mlimani unielee ni asilimia ngapi ni WACHAGGA, WANYAKYUSA au WAHAYA. Pia uniambie kwanini wao wanakuwa ni wengi huko...
  9. J

    Nini hasa dhumuni la nchi kuwa Huru?

    Mkandara, Nafikiri unatekiwa usome tena niliyosema awali, kwamba babu zetu (au baba zetu) walipigania uhuru wakijua maana ya kuwa huru kwani hawakuwa huru na walilijua hilo. Tatizo ni kuwa walidanganywa na wakoloni kuwa wamepewa uhuru na wachache waliojaribu kudai zaidi wakaonekana maadui wa...
  10. J

    Nini hasa dhumuni la nchi kuwa Huru?

    Mkandara, nakuongezea kitu kimoja walichokisahau kina Juliasi wakati wanakabidhiwa nchi. VIONGOZI WA KIAFRIKA WALISAHAU (AMA WALINYAMAZISHWA) KUOMBA FIDIA ZA UKOLONI, yaani ukoloni unatakiwa ujulikane kwamba lilikuwa kosa la jinai na waliotenda wanatakiwa washitakiwe na walipe fidia. Sio kila...
  11. J

    Barua ya wazi kwa rais Kikwete

    Hayo mengine tusubiri kikwete akujibu, ila hili la TANESCO siwezi nyamaza, bei ya umeme ipo juu hata kabla net Group hawajapewa tenda, yaani tuseme tangu shirika lilipo anzishwa, huwa gharama zingine zinatokana na ukweli kwamba baadhi ya watumiaji hawalipi bili, kama serikali, chama nk. Hili...
  12. J

    Nini hasa dhumuni la nchi kuwa Huru?

    Jibu rahisi na la mkato la kukujibu ni kwamba "BADO HATUJAPATA UHURU" hivyo inabidi waafrika tupiganie upya uhuru wetu! kwanza kabisa hakukuwa na kitu kunachoitwa uhuru pale mlipopewa huo 'uhuru hewa' mwanzoni mwa miaka ya sitini, bali kilichojitokeza ni "mabadiliko ya mfumo wa ki-uchumi wa...
  13. J

    CV ya naibu waziri - David Mathayo David!

    jamani kuna habari zimezagaa kwenye mtandao kwamba Naibu waziri wetu ni tapeli na ni "kihiyo", kwamba elimu aliyoandika kwenye CV si ya kweli, sasa hili mie linanitatiza. David , Dr. David M. GENERAL -------------------------------------------------------------------------------- ID No...
Back
Top Bottom