Search results

  1. C

    SoC03 Viongozi wasiotimiza wajibu wawajibishwe ili kuwepo na utawala bora

    Kiongozi ni mtu yeyote anayechaguliwa au kuteuliwa na mtu au watu kwaajili ya kuwaongoza wengine katika misingi ya utawala bora na kuwasimamia wengine katika njia sahihi yenye kuleta mabadiliko chanya na maendeleo kwa jamii husika. Katika dunia yetu viongozi wapo wa aina tofauti, wapo wale wa...
  2. C

    SoC03 Tuielimishe jamii umuhimu wa kuyatunza Mazingira ili mazingira yatutunze

    Tarehe 5 ya mwezi Juni kila mwaka dunia huadhimisha siku ya mazingira duniani, lengo kuu la kuadhimisha siku hii ni kufahamu kwa undani umuhimu wa kutunza na athari zinazotokana na uharibifu wa mazingira. Kwanza kabisa mazingira ni jumla ya vitu vyote vinavyomzunguka binadamu au kiumbe hai...
  3. C

    SoC03 Hizi ndio Sababu zinazochangia Ukatili wa kijinsia tukizitatua tutamaliza tatizo

    Wahenga walisema elimu ni ufunguo wa maisha, ipo wazi na hilo halipingiki kwasababu ili mtu afanye mambo kwa weredi ni lazima awe na elimu au ujuzi wa kutosha kuhusu jambo analofanya. Watu wengi katika jamii hasa za kiafrika hawajaipa kipaumbele elimu, jambo linalopelekea kufanya mambo tofauti...
  4. C

    Story of changes: Katiba ni msingi wa maendeleo ya jamii tukiipata tumepata mkombozi wa demokrasia

    Na Chu Joe Leo nataka tuzungumze kuhusu umuhimu wa katiba mpya lakini kabla ya kuelezea kuzungumzia hilo ngoja nikueleze maana ya katiba ambayo ni mkusanyiko wa sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali. Baada ya kipindi kirefu kupita...
  5. C

    Katiba mpya ni msingi wa maendeleo ya jamii tukiipata tumepata mkombozi

    Na Chu Joe Leo nataka tuzungumze kuhusu umuhimu wa katiba mpya lakini kabla ya kuelezea kuzungumzia hilo ngoja nikueleze maana ya katiba ambayo ni mkusanyiko wa sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali. Baada ya kipindi kirefu kupita...
  6. C

    Ukizingatia njia hizi sahihi utafanikiwa katika maisha

    Na Chu Joe Habari za muda huu Watanzania wenzangu natumaini nyote mko salama, leo napanda jukwaani nikieleza kwa uchache mambo unayotakiwa kuyafanya kijana ili uweze kutimiza ndoto zako au malengo yako iwe ni katika biashara, kazi, nasomo, nk. 1. Muombe Mungu na umshirikishe unachotaka...
  7. C

    #COVID19 Elimu zaidi itolewe kuondoa dhana potofu juu ya chanjo ya Covid 19

    Na Chu Joe Dunia ina mengi nayo mengi hayana maana, ni msemo ambao unatumika kwa muda mrefu hapa nchini kwetu, lakini kwasasa jambo linalosemwa kwa maneno mengi yasiyo na maana ni chanjo ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona. Kila mtu amekuwa na lake la kusema iwe ni mtaani au katika...
  8. C

    Ukizitambua njia hizi sahihi za kupita utatimiza ndoto zako

    Na Chu Joe Habari za muda huu watanzania wenzangu natumaini nyote mko salama, leo napanda jukwaani nikieleza kwa uchache mambo unayotakiwa kuyafanya kijana ili uweze kutimiza ndoto zako au malengo yako iwe ni katika biashara, kazi, nasomo, nk. 1. Muombe Mungu na umshirikishe unachotaka...
  9. C

    SoC01 Tusipofuata ushauri wa wataalamu Corona itatumaliza

    Na Chu Joe Asiyesikia la mkuu huvunjika guu ni methali tuliyoachiwa na wahenga ikimaanisha asiyefuata ushauri wa wakuu wake, mabaya humpata, hii inasadifu hali ya watanzania wengi kwasababu tumeacha kujikinga na virusi vya Corona wakati tunafahamu virusi hivyo ni hatari. Wananchi wengi kwasasa...
Back
Top Bottom