Search results

  1. Sanaguofficial

    Ufafanuzi wa kozi kwa walio soma arts Kama vile HKL, HGL na HGK wanaweza kusoma chuo kikuu

    UFAFANUZI WA BAADHI YA KOZI AMBAZO WALIOSOMA TAHASUSI ZA ARTS KAMA HKL/HGL/HGK/WANAWEZA KUZISOMA CHUO KIKUU UNASOMA CHUO KIKUU ILI KUKUZA UFAHAMU NA KUIMARISHA UWEZO FIKIRISHI WA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI YATAKAYORAHISISHA MAISHA. 1. Bachelor Degree in Project Planning and Management(Hapa...
  2. Sanaguofficial

    SoC01 Ushauri kwa waliomaliza Kidato cha Sita na hawakufaulu kuendelea na Elimu ya Juu

    Ndio maisha nikupambana kiongozi watu wengi wanaamini katika elimu tu
  3. Sanaguofficial

    Athari za Ongezeko la Tozo mpya za Miamala ya Simu kwa Watanzania

    Siku chache baada ya tozo za miamala ya simu kuongezeka kutoka makato ya awali wakati wa kutuma pesa au kutoa pesa mpaka Makato ya sasa amambayo yapo na yanatumika Nini athari zake kwa watanzania 1. KUDORORA KWA BIASHARA ZA MTANDAONI Biashara za mtandaoni zitapoteza wateja na kudorola hususani...
  4. Sanaguofficial

    SoC01 Ushauri kwa waliomaliza Kidato cha Sita na hawakufaulu kuendelea na Elimu ya Juu

    Kijana ambae umemaliza KIDATO Cha sita na hukufaulu kujiunga na elimu ya juu yaani chuo kikuu kutokana na kutokufikisha alama sitahiki kwa ajili ya kujiunga chuo kikuu zingatia haya yafuatayo 1.Jipe moyo mkuu na usikate tamaa kwa kuwa na mtazamo hasi kuwa bila shule hakuna maisha anza kufikilia...
  5. Sanaguofficial

    Njia rahisi ya kutumia simu au laptop kujiajiri kwa wanachuo na kuajiri wengine

    MBINU ZA KUJIAJILI KWA WANACHUO NA KUAJILI WENGINE Njia Bora na rahisi kwa VIJANA waliokosa ajira na wamemaliza vyuo vikuu au vyuo vya Kati KUJIAJILI Nchini Tanzania ajira imekua changamoto kubwa Sana kwa vijana wengi na wengine kujikuta wameingia katika makundi ya kihuni na kupoteza...
Back
Top Bottom