Search results

  1. Mulokozi GG

    SoC01 Upendo ndani ya ufahamu

    Binadamu kama viumbe wengine duniani ni kiumbe ambaye msingi wa uwepo wake ni mabadiliko au ukuaji, zaidi ya viumbe wengine baadhi ya ukuaji wake lazima aufanye kwa hiyari yake. Ni katika kipengele cha uhiyari katika baadhi ya ukuaji alichonacho na alichopewa binadamu, ambacho endapo akikitumia...
  2. Mulokozi GG

    SoC01 Je, muda ni nini, na jinsi mtu anavyo weza kuwa huru na muda

    Kwenye uzi huu wa mabadiliko nimetumia njia tofauti kidogo, kwani uzi huu hauja lenga kuibadilisha jamii moja kwa moja bali umelenga kubadisha au kuboresha kiunzi cha jamii(wewe msomaji), ili kiunzi cha jamii ndicho kiibadilishe jamii. Kwani moja ya zawadi na kazi kubwa mtu anayoweza kuifanya...
  3. Mulokozi GG

    SoC01 Serikali Kuu Punguzeni Kuwafanyia Kazi Wananchi

    Kilikuwa kipindi kigumu nilipo jua uhalisia kuwa ukikubali kuishi ni lazima ufanye kazi, na maendeleo ya mtu ni kinyume sawia na ubora wa juhudi zake katika kazi anazozifanya. Sababu hakuna aliye umba chochote duniani vyote vilivyopo vilikuwepo na vipo, hivyo ni lazima tujifunze jinsi ya...
  4. Mulokozi GG

    SoC01 Dunia katika uzani sawa

    Utaratibu wowote duniani tunaoufuata binadamu katika kuhusiana, ni matokeo ya moja kwa moja au yasiyo ya moja kwa moja katika kutafuta njia zitakazo rahisisha uwepo wetu katika maisha yetu hapa duniani huku tukinufaika na kila kilichopo. Kwa kujua au kwa kutokujua watu wengi wamekuwa wakifuata...
  5. Mulokozi GG

    SoC01 Njia nyepesi ya kuuondoa umasikini

    Uwepo wa kila kilichopo semehu kilipo ni matokeo ya muunganiko wa mihimili kadhaa. Hivyo hivyo maisha ya binadamu katika hii dunia yanayo mihimili yake, moja kati ya mhimili wa mhimu katika haya maisha yetu ya leo unaotufanya tuishi tunavyo ishi ni uchumi. Uchumi katika ulimwengu umekuwa...
  6. Mulokozi GG

    Akadi, genius aliyeubadilisha mfumo wa elimu Tanzania

    Katikati ya kipindi ambacho ukosefu wa ajira ulikuwa wimbo uliozoeleka na ulioumiza sana kwa kila aliye kuwa na uwezo wa kuona vijana walivyo kuwa wanazidi kukosa mwelekeo ndani ya Taifa la Tanzania. Hatua ambayo wale wenye moyo wa kuhudumu wengine na walio majasiri pekee ndo wangeweza kusaidia...
  7. Mulokozi GG

    SoC01 Tusiwageuze traffic polisi mafisadi

    Tamaduni na matendo yetu kama binaadamu ni muunganiko na matokeo ya tabia ndogo ndogo tuzifanyazo kila siku. Hivyo mtu anaye ishi maisha yake kama jambazi, mwizi au fisadi hakuzaliwa hivyo bali alilelewa hivyo. Kwa maneno mengine fisadi au jambazi sugu analelewa na kufundishwa tabia hiyo na watu...
  8. Mulokozi GG

    SoC01 Tanzania tusiwageuze Askari wa Usalama wa barabarani mafisadi

    Tamaduni na matendo yetu kama binaadamu ni muunganiko na matokeo ya tabia ndogo ndogo tuzifanyazo kila siku. Hivyo mtu anaye ishi maisha yake kama jambazi, mwizi au fisadi hakuzaliwa hivyo bali alilelewa hivyo. Kwa maneno mengine fisadi au jambazi sugu analelewa na kufundishwa tabia hiyo na watu...
  9. Mulokozi GG

    Siri iliyo ndani ya Katiba

    Mfumo wa utawala tulio nao sahivi wa demokirasia katiba ni muongozo wa Taifa kiuchumi, kijamii, michezo na sanaa; hivyo inatosha kusema kuwa katiba ni muongozo wa jumla juu ya uelewa wa jamii inayo tumia katiba husika. Hili ni dhahili sababu katiba ndio chujio la kile kinacho pokelewa na...
  10. Mulokozi GG

    SoC01 Jamii yetu ni matokeo ya Elimu jamii yetu

    Ni muda sasa tangu Taifa letu lianze kulalamika juu ya ukosefu wa ajira kwa vijana na wanajamii nzima kwa ujumla. Tatizo hili linaonekana kuwa changamoto inayo ongezeka kwa kasi, siyo tu ndani ya Taifa la Tanzania bali ulimwenguni kote japo katika viwango tofauti tofauti. Ukosefu wa ajira kwa...
  11. Mulokozi GG

    Ujumbe ulio tolewa na serikali kwenye kodi mpya ya miamala

    “Akufukuzaye hakwambii toka”, ni msemo wa kiswahili wenye maana kuwa ujumbe unaweza kuwasilishwa kwa njia moja ukimaanisha kitu kingine tofauti. Mfano ukienda kumtembelea rafiki yako akakulaza sebureni na vyumba vipo wazi, utaonekana mwenye busara asubuhi ukiaga vizuri na ukarudi kwako. Sababu...
  12. Mulokozi GG

    Ujumbe wa Serikali kwa Wananchi kwa kuweka Kodi mpya za miamala

    “Akufukuzaye hakwambii toka”, ni msemo wa kiswahili wenye maana kuwa ujumbe unaweza kuwasilishwa kwa njia moja ukimaanisha kitu kingine tofauti. Mfano ukienda kumtembelea rafiki yako akakulaza sebureni na vyumba vipo wazi, utaonekana mwenye busara asubuhi ukiaga vizuri na ukarudi kwako. Sababu...
  13. Mulokozi GG

    Binadamu tu wamoja na umoja ndiyo suluhisho letu

    Ni mda sasa tangu Tanzania tuanze kutumia mfumo wa vyama vingi. Chaguo lililoonekana kuwa bora zaidi kwa nchi nyingi za Afrika baada ya ukoloni. Mfumo huu wa chama kimoja kilicho chaguliwa kutawala Taifa na kuwa juu ya vyama vingine ndani ya Taifa moja, umesaidia kutufikisha hatua tuliyo ifikia...
  14. Mulokozi GG

    Binaadamu tu wamoja na umoja ndiyo Suluhu yetu

Back
Top Bottom