Binadamu kama viumbe wengine duniani ni kiumbe ambaye msingi wa uwepo wake ni mabadiliko au ukuaji, zaidi ya viumbe wengine baadhi ya ukuaji wake lazima aufanye kwa hiyari yake. Ni katika kipengele cha uhiyari katika baadhi ya ukuaji alichonacho na alichopewa binadamu, ambacho endapo akikitumia...
Ni ngumu na ilikuwa ngumu kuandika baadhi ya mawazo katika lugha ya kiswahili. Sababu maneno mengi ya kiswahili yanabeba maana zaidi ya moja katika lugha nyingine, pamoja na picha zilizo nyuma ya baadhi ya maneno kwenye jamii ndani ya akili za wanajamii.
Kwa sababu kiswahili ndiyo lugha yetu na...
Kwenye uzi huu wa mabadiliko nimetumia njia tofauti kidogo, kwani uzi huu hauja lenga kuibadilisha jamii moja kwa moja bali umelenga kubadisha au kuboresha kiunzi cha jamii(wewe msomaji), ili kiunzi cha jamii ndicho kiibadilishe jamii. Kwani moja ya zawadi na kazi kubwa mtu anayoweza kuifanya...
Kilikuwa kipindi kigumu nilipo jua uhalisia kuwa ukikubali kuishi ni lazima ufanye kazi, na maendeleo ya mtu ni kinyume sawia na ubora wa juhudi zake katika kazi anazozifanya. Sababu hakuna aliye umba chochote duniani vyote vilivyopo vilikuwepo na vipo, hivyo ni lazima tujifunze jinsi ya...
Sababu ya mipaka iliyo wekwa kama muongozo kwenye idadi ya maneno ya kutumia, nimejitahidi kuandika kwa ufupi bila kuathiri ujumbe kadiri nilivyo weza.
Hivyo pale utakapoona hauja elewa vizuri, uliza nielezee vizuri zaidi (usihitimishe kutokana na uelewa/mtazamo wako).
Au utakapo ona maelezo...
Utaratibu wowote duniani tunaoufuata binadamu katika kuhusiana, ni matokeo ya moja kwa moja au yasiyo ya moja kwa moja katika kutafuta njia zitakazo rahisisha uwepo wetu katika maisha yetu hapa duniani huku tukinufaika na kila kilichopo. Kwa kujua au kwa kutokujua watu wengi wamekuwa wakifuata...
Pengine hiyo inaweza kumsaidia aliye nayo kupata mboga mboga, lakini siyo kigezo cha msingi katika kuweka msingi bora kwa maendeleo ya jamii.
Aliye na kadi ya aina yoyote na asiye na kadi ya aina yoyote sote ni wamoja tukiwa na uelewa mkubwa kiasi cha kutanguliza masilahi ya jamii/Taifa na...
Kiwango cha uzalendo/utu wa mtu ni kinyume sawia na kiasi anacho uelewa ubinaadamu wake.
Mtu mwenye uelewa/mtazamo wa maisha kama sehemu ya kushindana, kula, kulala, kuwa na familia pamoja na mali nyingi mbele za watu wanao mzunguka ni vigumu sana kusimama imara kwa ajiri ya wengi, bila kujali...
Tanzania na Afrika ukosefu wa ajira siyo tatizo hata kidogo, tatizo ni elimu na elimu siyo tatizo hata kidogo, tatizo ni aina ya elimu.
Leo hii vijana wote wasio na ajira mtaani wakiajiliwa na mfumo wa elimu usipo badilishwa, ukaendelea kutoa wahitimu zaidi ya elfu hamsini vyuo vikuu kila...
Tanzania na Afrika ukosefu wa ajira siyo tatizo, tatizo ni elimu na elimu siyo tatizo, tatizo ni aina ya elimu.
Leo hii vijana wote wasio na ajira mtaani wakiajiliwa na mfumo wa elimu usipo badilishwa, ukaendelea kutoa wahitimu zaidi ya elfu hamsini vyuo vikuu kila mwaka. Haita chukua hata...
Unaweza ukajiuliza kama wengine wengi kuwa, je wanauchumi wetu hawaoni kuwa mfumo tunaoutumia sahivi una mapungufu mengi kiasi hiki...!?
Jibu la hili swali na mengine mengi ya hivi ni jepesi saana. Mashuleni (formal education system) wanafunzi hawajifunzi kile wanacho taka au kile kitakacho...
Asante kwa nyongeza ya maoni yenye minofu kede kede. Imani yangu ni TUTAFIKA tu, uhuru na uwajibikaji kwa usawa ni haki ya kila aliye umbwa...
🙏🏾🌳🌳....
Shukurani saana kwa kuwa na uwezo pamoja na ujasiri pia wa kusema hili.
Naamini kila kilichopo ni matokeo ya tendo/kitu flani, hivo na sisi licha ya uchache, ugumu na giza linalo onekana kutanda mbele tusikate tamaa na kukubali kuishi kama watumwa/vibaraka ndani ya nchi/bara/dunia huru.
Tuweke...
Asante saana, umeongeza kilicho bora saana.
Licha ya udongo na uchache wa hatua tunazo piga kuelekea katika mifumo sahihi, tusikate tamaa tuendeleze juhudi za dhati katika kuelimishana na kutenda yaliyo sahihi kadiri tunavyo weza.
Tusikubali kuendelea kurithishana matatizo na mifumo mibovu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.