Search results

  1. nitonye

    Tafsiri sahihi ya ubeberu

    Kwa hiyo aliahidi mbele ya mabeberu au?
  2. nitonye

    Tafsiri sahihi ya ubeberu

    Hao mabeberu mbona hamuwataji majina tukawajua?
  3. nitonye

    Ulikuwa wapi wakati kifo cha Mwalimu Nyerere kimetangazwa?

    Nilikuwa namzika dada yangu kipenzi aliyeniachia ziwa siku ambayo ilikuwa ngumu sana kwangu
  4. nitonye

    Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni

    Hiki kikundi cha Lumumba hakina tofauti na kikundi cha Mungiki kule Kenya
  5. nitonye

    Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

    Uzi umekaa kama swali ili kutoa mwanya mkubwa wa member kuujadili, kwa hiyo kama lipo unalolijua unaweza kujadili bila kumshambulia mleta mada kama huna kaa kimya. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. nitonye

    Manabii wauza Mafuta ya upako hili neno hamlijui?

    Biblia inasema tutawaona kwa matendo yao lakini pia inatuambia tusihukumu kwa maana hatujui siri ya mioyo yao ili na sisi tusije tukahukumiwa. Kwa maana siku ya mwisho atavuna ngano na yale magugu yaliyopandwa na shetani yatatupwa kwenye tanuru la moto uwakao Sent using Jamii Forums mobile app
  7. nitonye

    Msajili: Nafuatilia kwa karibu sana Uchaguzi wa Viongozi CHADEMA kuhakikisha haki inatendeka na Katiba kufuatwa

    Matamko ya namna hii hajawahi kuyatoa kweny uchaguzi wa ccm, mimi naona bora aitwe msajili wa vyama vya upinzani
  8. nitonye

    Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

    Mnahangaika na matawi mnaacha mizizi, anaye wafanya TRA wawe wanyama ni nani kama sio Jiwe
  9. nitonye

    Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

    Chanzo ni sera mbovu za uchumi za Rais Magufuri. Mwambie aingize pesa kwenye mzunguko uone kama fremu zitafungwa
  10. nitonye

    Tunajifunza nini kwa yanayotokea nchini Marekani kwa Rais aliyeko madarakani kufunguliwa mashitaka?

    Kwa katiba tuliyo nayo hakuna wa kumgusa rais sio bunge wala mahakama
  11. nitonye

    Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

    Mnaotaka kuingia Uganda bila kuwa na Yellow card fever pitieni Mutukula, pale hata usipokuwa na passport unapita tu ilimradi uwe na kitambulisho au unaweza kukata passport ya mda kwenye ofisi uhamiaji ya wilaya yako. Unaweza kuweka pesa zako kwenye MPESA then ukifika uku unatoa kama kawaida...
  12. nitonye

    Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

    Mnaotaka kuingia Uganda bila kuwa na Yellow card fever pitieni Mutukula, pale hata usipokuwa na passport unapita tu ilimradi uwe na kitambulisho au unaweza kukata passport ya mda kwenye ofisi uhamiaji ya wilaya yako. Unaweza kuweka pesa zako kwenye MPESA then ukifika uku unatoa kama kawaida...
  13. nitonye

    Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

    Elfu 7- Tunaita Musamvu sio Lusamvu
  14. nitonye

    Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

    Kama magufuri ana nia dhati ya kupambana na majambazi yaliyoko ndani ya ccm alirudishe mchakato wa katiba mpya la sivyo atakuwa anatwanga maji kwenye kinu
  15. nitonye

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Mnafikiri Dar ndio Tanzania pekee
  16. nitonye

    Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

    Huyo mgombea amejipeleka au amepelekwa na chama chake?. Kama alijipeleka kuchukua fomu basi sawa
  17. nitonye

    Kwanini CCM wanalaumu CHADEMA kujitoa Uchaguzi Serikali za Mitaa? Sababu hizi hapa...

    Maendeleo yapi wakati fedha zote za maendeleo ni fedha zetu za ndani?
  18. nitonye

    Kwanini CCM wanalaumu CHADEMA kujitoa Uchaguzi Serikali za Mitaa? Sababu hizi hapa...

    Mbona tunaambiwa deni la taifa linaongezeka hizo pesa zinakopwa wapi na zinafanya nini?
Back
Top Bottom