Search results

  1. madibira1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mi nacheki Skysport news hapa Vardy akiwa na England ameshapanda Ndege kuelekea Ufaransa ktk michuano ua Euro na bado yeye binafsi hajaamua kuja arsenal au abaki lecester....ila ameonesha nia....Kwa hiyo hakuna deal bado may be bdae tunaweza sikia chochote.... Binasfi napenda Vardy aje safu ya...
  2. madibira1

    Familia ya Gwajima yaja juu kwa udanganyifu wa Askofu Gwajima

    Naomba kuwashauri hao Shama(Israel) Gwajima na Rapha(Ester) Gwajima kuwa.... Kwanza kusaidiwa sio lazima. Pili mtegemea cha nduguye Hufa maskini hivyo waamke sio wanabweteke tu kusuburi baba yao afufuke na kusubiri hizo peni na karatasi. Mchungaji ni binadamu sio Mungu hivyo ana mapungufu yake...
  3. madibira1

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Mzee Slaa kachoka sana yaan Katika mazungumzo yote ya Tundu Lissu... yeye kajibu kuhusu Mashahara tu kwanin hajajibu kuhusu ushiriki wake kumleta Lowassa ndani ya Chadema?
  4. madibira1

    Sakata la Dr. Slaa: Wanasheria wamkabili Lissu

    Wewe mtoa mada ni mmoja ya hao mawakili au la? kwasababu hujasema ni mawakili gani ni lini wamesema. Naona umekurupuka na Title halafu maelezo yote yanaonekana ni mawazo yako.. Halafu kwa ushauri wako kwa viongozi kwamba watafute namna bora ya kumjibu Slaa kwa sasa sahau hilo endelea na shughuli...
  5. madibira1

    Nimesikiliza audio ya Didas Masaburi, anatakiwa kushitakiwa kwani anaratibu vijana wengine

    Masaburi Ubungo kachemsha yan kakosea jimbo la kugombea...hafikishi hata 10%
  6. madibira1

    Vigogo muhimu wamsaliti Lowassa. Wamo Bashe, Serukamba na Kapuya

    Sasa nadha nikubaliane tu na Ukweli sifahamu maana ya neno Vigogo... kama Bashe, Serukamba na Kapuya nao ni Vigogo.... Hivi haya magazeti kama Mkakati yamesajiliwa kwa vigezo vip?
  7. madibira1

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Uteuzi wa awali jimbo la vwawa; 1.Fanuel Mkisi kura 136 2.Steven Mwamengo kura 42 3.Solomoni Kibona kura 22 4.Endrew Bukuku kura 9 5.Fadhiri Shombe kura 8 6.Dickson Kibona kura 5 7.Jonathani Mwashilindi kura 5 8.Furaha Mwazembe kura 3 9.Gift Kalinga kura 1 10.Jerwa...
  8. madibira1

    Ubaguzi unaendelea kuitafuna CHADEMA

    Hakika umenena....Hongera sana
  9. madibira1

    CHADEMA yambwaga Zitto Kabwe Mahakamani, aamriwa kulipa gharama za kesi

    Nasubiri matamko Rasmi ya UVCCM na Nape..... maana naona humu walioumia sana ndio walewale wa upande wa pili...
  10. madibira1

    Escrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!

    Yan unamaaniaha asije akafunguka kama Lowasa alipo mfungukia JK katika sakata la Richmond kwamba "lakin mzee mbona nilikushirikisha na ukanipa go ahead leo zigo lote unanianguahia mimi "...
  11. madibira1

    Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Nimependa sana hapo "wabunge wote kasoro mshama"
  12. madibira1

    Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Mulama umetoa ushauri kwa upendo sana ila sidhani kama watakuelewa.... wale walioenda kusoma hapo hapo UDOM wanazingatia haya na nina imani wamekerwa sana na na hili tamko... ila hao "wasomi-shinikizo" hakuna kitu hapo mkuu..
  13. madibira1

    Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Wewe ndio bure kabisa.... mchafua hali ya hewa ni hao mafisadi unao walamba miguu. Kwenye suala la USOMI hutakiwa kupiga mayowe... kukmbuka kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza kama hao a.k.a wasomi wa UDOM wanavyojitembeza
  14. madibira1

    Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Watanzania wala tusiumize vichwa na waha wana-CCM na UVCCM wa vyuoni wanaojijumuisha kwamba "wasomi" wa vyuo siku zote huwa hawajitambui wanapelekwa-pelekwa na viongozi wao eti kutoa tamko kama wasomi... Msomi sio mkurupukaji kijinga namna hiyo... na unaweza kufuatilia waliotoa hilo tamko...
  15. madibira1

    US Congress approves Millennium Challenge Corporation funding (Tanzania) an allocation of $9.78M

    Hiyo habari ya The Citizen ni ya tarehe 2 December 2014 lakin tarehe 10 December 2014 MCC wakikaa wakaamua kutokana na record ya Tanzania hela imetengwa tutapewa pale tu IKULU itakapo washughulikia wahusika wa ESCROW.... Hii nimeitoa katika website yao Press Release ya tarehe 10 December 2014...
  16. madibira1

    Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    Imeshabarikiwa ndugu na hayo ndio mwanzo tu wa matokeo ya baraka..
  17. madibira1

    Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    Change is nature... you cannot change nature.. Mabadiliko yamewadia Tanzania... heko UKAWA..!
Back
Top Bottom