Search results

  1. Mkulungwa01

    Hakuna mwanaume asiyemtaka Zarina Hassan (The Boss Lady), ni njaa tu!

    Moja kwa moja madani. 'Theoritically' hakuna mwanaume aliyekamilika ambaye hatamani kuwa na Zari, Uwoya, Tunda 'etc'... hawa mabinti wapo limited kwa wachache wenye nguvu (kisu kikali, yaani fedha, 'kibunda'). Na vijana hawa wenge nguvu wapo wachache, hawapo wengi. Hapa ni dhahiri kuwa nguvu...
  2. Mkulungwa01

    Simshauri kabisa kijana anayejtafuta ajihusishe na uzinzi

    Uzinzi ni kufanya mapenzi na mke au mume asiye wako, au mwanamke tofauti na mke wako. Kama huna mke, pia kulala na mwanamke ambaye ameolewa au hajaolewa, huo ni uzinzi pia. Unazini. 'Take a look' kwa wakazi wa hapo mtaani pako kutoka nyumbani kwako mpaka nyumba ya 10 kila upande. Wana maisha...
  3. Mkulungwa01

    Ametishia kunishtaki kwa mke wangu kwa sababu ya makofi.!

    Niende madani....! Tafadhali naomba tuweke mihemko pembeni, matusi hayajengi. Nipo mahusianoni na binti(mwanamke wa miaka 27)... sasa nikilewa mimi huwa na 'fantasy' za ajabu mno. Nimekuwa namchapa makofi 'unsexually' tukiwa faragha. Kwa mfano kama juzi, nikakaa kitandani akavua nguo zake...
  4. Mkulungwa01

    Miaka yote 15+ mke wangu hajui kama ninamiliki silaha!

    Chai sijanywa kutokana na kushangazwa na haya! Nina miaka zaidi ya 10 ninamiliki silaha ya moto kisheria, na ninaihifadhi chumbani. Mke wangu hafahamu hata kuhisi kwa muda wote huo. Siyo mke wangu tu, hata watoto wangu hawafahamu kabisa. Nilifanya haya ili kuondoa hofu ambayo inaweza kuwepo...
  5. Mkulungwa01

    Vijana! Vijana! Mtazidi kufa masikini msipoacha uzinzi na uasherati

    Kwa nini nitoe salamu ilhali ninaomboleza kwa ajili ya vijana wanaoitafuta kesho yao? Kwanza vijana wengi ni wajinga (hawaioni kesho yao, kuna giza zito mbele yao lisababishwalo na kuchafua miili yao na roho zao kwa sababu ya uzinzi). Kijana, ukiendekeza uzinzi utaichafua nafsi/roho yako, huko...
  6. Mkulungwa01

    Akina baba na vijana wa kiume acheni mazoea ya ovyo na wasichana mtafia jela

    Sina haja ya salamu! Nyie akina baba, nyie vijana, nyie wenye tabia ya mazoea ya ovyo ovyo na vibinti, mnachokitafuta mtakipata. Wewe ni mwalimu na unafundisha? Safi, maliza muda wako wa kazi rudi kwenu. Acha mawasiliano yasiyo ya kazi kati yako na mwanafunzi. Utakuja kulilia jela kwenye shimo...
  7. Mkulungwa01

    Kijana wangu amekosea kunipa milioni 1 na mama yake kumpa laki 5?

    Hali zenu waungwana! Nina kijana wangu wa kwanza, kuna kazi alifanya sasa ametuletea wazazi kiasi cha pesa kama zawadi! Akafika, tukaketi barazani na akaanza kueleza lengo la ujio wake. Mwishoni baada ya kuongea sana akachomoa 500K akampa mama yake yaani mke wangu, 'then' akachomoa milioni...
  8. Mkulungwa01

    Cocastic acha ulimwengu ujue nimeshindwa kuvumilia!

    Habarini nyote! Ni jioni tulivu, nimetafakari sana nyuzi za vijana humu wakifunguka ya moyoni kwa 'crushes' wao wa kimapenzi. Upendo ni kama sumaku na ni kama bahari ukizama umezama. Ilikuwa ni mwaka 2020, mwaka ambao nilimfahamu mrembo huyu machachari afahamikaye kwa jina la Cocastic...
  9. Mkulungwa01

    Nimekataa ndugu wa mke wangu kwenye biashara zangu, sitaki ujinga!

    Jumatatu njema kwenu nyote! Huwa nafikiria mengi mno, na hawa kaka zake ni kutoka mkoa ule karibu na Tanga, wilaya ile inayoanza na herufi M na kuishia na herufi E. Hapo kabla kulizuka maneno maneno mengi mno kwenye familia yangu hasa kutoka kwa kaka zake mke wangu. Maneno hayo yalihusu mimi...
  10. Mkulungwa01

    Vijana mnaotafuta wake nendeni Jumapili kwa Mwamposa, wamejazana nyomi!

    Ijuma Kareem ndugu zetu Waislamu na Heri ya siku hii pia kwa Wana-jamiiforums wote. Katika mihangaiko yangu ya kusaka 'ngawila' nimebahatika kufanya kazi na watu mashuhuri na wakubwa mbali mbali hapa nchini. Miongoni mwa hao wakubwa basi Mwamposa na BM ni miongoni mwao. Ila naomba nijikite kwa...
  11. Mkulungwa01

    Kijana wangu hakuna yeyote anayetakiwa kuhoji matumizi ya fedha zako

    Ni usiku tulivu. Naomba sasa nielekee kwenye hoja yangu moja kwa moja. Wewe unaweza, ingawa mara moja au zaidi umekuwa ukidharaulika. Umeanza darasa la kwanza mpaka la saba, ukafika sekondari na chuo, ukamaliza ukakosa ajira na kuanza kubangaiza mtaani. Kipindi hiki ulijua nani 'fake' kwako...
  12. Mkulungwa01

    Acheni chuki na mabinti wa kaskazini

    Hali watu wazima! Mimi nimeoa huko. Na mbaya zaidi nimeoa Machame, na tunazeeka pamoja tukiwa na watoto na wajukuu kadhaa. Kifupi wanaume acheni udhaifu, mwanamke anakushindaje? Kuwa na misimamo uwe kiume. Watu mashuhuri na maarufu humu kama Taikoni wa fasihi pia waliwahi kunukuliwa wakisema...
  13. Mkulungwa01

    Kijana kuanzia miaka 18 unayejitambua, usile mifupa.

    Eid el Fitr njema ndugu Waislamu. Naomba niwe 'short and clear', kijana liheshimu mno jando lako. Ukiweza, oa akili na TAKO, ukishindwa basi katika michepuko yako yote hakikisha hukosi mwenye tako. Na ukiwa vizuri sana basi na mwenye titi kubwa zuri laini. Wakati huu wa ujana ambapo wengi...
  14. Mkulungwa01

    Naamka na mabinti wa Dar es Salaam

    Heri ya sikukuu tukufu ya Eid el Fitr dugu zetu Waislamu. Salamu pia WanaJF wengine wote. Asububi hii nimeamua niamke na hivi vibinti na akina dada wa hapa Dar es Salaam. Jueni kwamba sisi wanaume wengine ambao naweza kusema ndiyo wengi, 'choisiz' zetu ni tofauti kidogo. Kwanza tunataka...
  15. Mkulungwa01

    Mnajichua vibaya na ndiyo maana mnalalamika kukosa nguvu

    Ijumaa Kareem! Malalamiko mengi mno nimesikia vijana wanalalamika mara nyuchi zinalegea, mara hawasisimki wakiwaona wanawake hata makalio yakiwa wazi na kadhalika. Kwanza jueni yafuatayo; 1. Unapopiga punyeto ni sawa na umefanya ngono na mwanamke. Hivyo huwezi kupiga punyeto bao mbili au...
  16. Mkulungwa01

    Dar es Salaam siku hizi karibu kila mwanaume ana kitambi

    Ni Ijumaa kareem njema! Hii hali niionayo si dalili njema. Dar es Salaam karibu kila mwanaume ninayekutana naye ana tumbo kubwa, nini hiki? Kiafya si dalili njema, kimahusiano si dalili njema, labda kijamii kidogo ndiyo watajua una hela. Si kwa wanaume tu, mpaka akina dada wengi nao wana...
  17. Mkulungwa01

    Dunia haitomsahau kamwe Mzee Villa

    Dunia haitomsahau Gabriel Villa, mwanasheria kwa taaluma aliyefanya pia kazi ya uwakala wa usafirishaji. Bwana huyu mwaka 1994 alikutana na mwanadada mrembo Christina Carta kwenye sherehe Wawili hawa wakapendana na hatimaye kufunga ndoa licha ya kuwa Gabriel alimzidi mrembo huyo miaka 30...
  18. Mkulungwa01

    Wazazi muwatafutie vijana wenu wachumba. Msiwape uhuru sana wa kuchagua.

    Ni Jumanne njema! Niende kwenye hoja yangu. Kutokana na mabadiliko na mapinduzi ya teknolojia, baadhi ya tamaduni njema kabisa za kiafrika wazazi wengi mmeziacha. Sasa siyo mbaya kwani kutenda kosa siyo kosa, ila kurudia kosa ndiyo kosa. Tafadhali rejeeni utaratibu wa miaka ya nyuma ya...
  19. Mkulungwa01

    Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

    Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!. Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi na kuchomeka, haya endeleeni kudanganyana. Mimi si mara ya kwanza kunyimwa unyumba kwa sababu...
  20. Mkulungwa01

    Vijana mmetengwa na jamii ila JF haijawatenga.

    Heri ya muendelezo wa mfungo wa Ramadan ndugu Waislamu! 'I'll be short and clear' 1. Mawaidha kama mzee kwa vijana! akati nikiwa kijana wa miaka 24 hivi baada tu ya kumaliza chuo, nilikuwa natamani kuingia kwenye uchumba ambao ungepelekea ndoa kabisa. Wasichana wengi walinikataa na kusema...
Back
Top Bottom