Search results

  1. tutafikatu

    Uwepo wa Mikopo kwa SMEs Kutoka Taasisi za Kimataifa kupitia CRDB na NMB

    Nimesikia kwamba benki kama CRDB na NMB zinatoa mikopo kwa SMEs za Kitanzania kupitia mipango ya taasisi kubwa kopeshaji kama Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank) na Shirika la Fedha la Kimataifa (International Finance Corporation). Lakini sijawahi kuona matangazo ya mikopo...
  2. tutafikatu

    Biblia: Usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo

    Walawi 19:15 BHN‬ “Unapotoa hukumu uamue kwa haki; usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo. Bali ni lazima kumwamua jirani kwa haki."
  3. tutafikatu

    TRA wamemtambua mwenye biashara ya saluni kama mlipa kodi!

    Hii ni biashara ya bwana mdogo fulani, mji kasoro bahari. Familia yao ilikuwa ikinipokea wakati naenda shule hapo mji kasoro bahari. Mwaka juzi aliomba mtaji mdogo afungue biashara ya salon. Naona TRA wamemtambua kama mlipa kodi.
  4. tutafikatu

    Nilichojifunza Kenya: Madaktari Tanzania Mnaandika Dawa za Kiwango cha Chini

    Kenya kuna makampuni mengi makubwa ya madawa, ambayo mengi yao ni innovators wa dawa mbalimbali (brands), ambazo nchi nyingine hususani India huja kuzalisha baadaye kama generic. Kwa wasiojua brands huuzwa ghali, ila ni bora zaidi, wakati ni generic huuzwa kwa bei ya kutupwa, nyingi zikiwa na...
  5. tutafikatu

    Wafa Sultan: Hakuna Mgongano wa Ustaarabu bali Mgongano kati ya Mawazo ya Zama za Kati na ile ya Karne ya 21

    Zifuatazo ni sehemu za mahojiano na mtaalamu wa magonjwa ya akili Mwarabu na Marekani Wafa Sultan. Mahojiano hayo yalirushwa hewani na Al-Jazeera TV mnamo Februari 21, 2006 . Wafa Sultan: Mgongano tunaoshuhudia duniani kote sio mgongano wa dini, au mgongano wa ustaarabu. Ni mgongano kati ya vitu...
  6. tutafikatu

    Wahandisi nauliza: Kwanini Tanzania hatutengenezi mfumo maji na taka mapema tunapojenga msingi?

    Nimezoea kuona bongo watu wakibomoa bomoa msingi au kuta walizojenga ili wapitishe mabomba ya maji na choo. Hivi haiwezekani kutengeneza plan ya maji safi na taka na kujenga mfumo maji na taka mapema kabisa katika hatua ya kujenga msingi ili kila kitu kiwe sawa?
  7. tutafikatu

    Kwanini waumini wa dini ya haki kila wiki wanaua wakristo huko Nigeria?

    Dini ya haki dini ya haki! Kule Nigeria kula kukichwa wanaua makumi hadi mamia ya Wakristo. Halafu kuna mtu anazungumzia Qhamas. Kwenye hii dini kuna roho mbaya sana. https://twitter.com/visegrad24/status/1740517117882155219?t=NxTjtWOQhE8yVkNi4H5WfQ&s=19
  8. tutafikatu

    Dokezo: Kujenga jamii ya Kitanzania inayowajibika: Kubalansi utoaji wa huduma bure na Uwajibikaji

    Pamoja na changamoto nyingi, Tanzania, imepiga hatua katika kutoa huduma za elimu na afya. Huduma hizi zimepitia vipindi na sera tofauti. Kwa sasa elimu ya msingi hadi shule za upili inatolewa bure, huku upande wa afya makundi maalum yakisamehewa katika uchangiaji. Tena hivi karibuni kuna baadhi...
  9. tutafikatu

    Mwigizaji wa Misri Adel Imam: Unawarushia Makombora Israel? Unategemea watakurushia maua?

    Katika mahojiano ya zamani, msanii maarufu wa Kiarabu, mwigizaji wa Misri Adel Imam, alikashifu "fukufuku" ya Palestina kwa kuamini kwamba wanaweza kukabiliana na #Israel, akisema kwamba watu wanapaswa kuwa na akili ya kutosha kuhesabu matokeo ya matendo yao: "Unawarushia Israel makombora...
  10. tutafikatu

    Kwanini nchi nyingi za Kiislamu huwa kwenye migogoro?

    Nchi nyingi za Kiislamu hazina furaha na zimenaswa katika vita kwa sababu ya Uislamu. Lakini hawakubali. 1. Hakuna mgawanyiko wa dini na serikali. Dini inakuwa serikali katika nchi nyingi za Kiislamu. 2. Hakuna uhuru wa kusema, uhuru wa dini na uhuru wa vyombo vya habari katika nchi za...
  11. tutafikatu

    Acha nikuonjeshe "ninavyojisikia" kuwa Muislamu huku Amerika

    ✅🇺🇸 Baba yangu hakuwa na budi kuwa mtumishi wa daraja la pili kwa mmoja wa madhalimu wengi wa nchi za Kiislamu wanaotumia wahamiaji kutoka India, kama familia yangu, kuwa mtumwa muhimu. Mnamo 1975, baada ya kupata PhD yake huko Rutgers, alikuwa karibu kwenda Libya - nchi ya Kiislamu -...
  12. tutafikatu

    Simulizi ya Palestina Huru kutoka Mto hadi Bahari

    Mnamo Desemba 1973, rais wa Misri Sadat alitambua kwamba Waarabu hawawezi kamwe kuishinda Israeli kijeshi (baada ya mafanikio yao katika vita vya 1973 ambavyo kugeuka). Saudi Arabia pia ilielewa kuwa haiwezi kugeuza mkono wa Magharibi kiuchumi kupitia kususia mafuta, ambayo ilimalizika Machi...
  13. tutafikatu

    Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

    Miaka mingi iliyopita, nilijifunza Kiebrania kutokana na udadisi na kwa nia ya kupenya katika ulimwengu ambao hapo awali nilidhani ulikuwa mbaya na kupanga njama dhidi ya Waarabu na Waislamu. Mara tu nilipoingia, nilishangaa jinsi nilivyokuwa nimekosea, jinsi karibia kila Mwarabu na Mwislamu...
  14. tutafikatu

    NSSF na PSSSF zipambane soko moja, NHIF itafutiwe mshindani.

    Ni muda muafaka sasa kwa serikali kuruhusu mifuko ya mafao kama NSSF na PSSSF kushindana katika soko. NSSF iongezewe wigo wa kuvutia wanachama toka serikali, na PSSSF pia ipewe nafasi ya kuingiza wanachama toka sekta binafsi. Vivyo hivyo kuwapo kwa mfuko mmoja wa Bima ya Afya ya Taifa, ni...
  15. tutafikatu

    Huu si upotevu wa fedha - Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweka tangazo DSTV

    Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe? Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
  16. tutafikatu

    Serikali ihakiki mikopo ya wafanyakazi

    Hivi hakuna namna ya serikali kuhakiki mikopo ya watumishi, sawa na jinsi walivyo hakiki vyeti. Watumishi wengi sana wanaumizwa na taasisi za kifedha... Mwisho wa siku utendaji kazi wao unakuwa hafifu.
  17. tutafikatu

    Je, huyu mtabiri alikuwa sahihi kuhusu Putin na tukio la Julai?

    Anaitwa Kim Clement. Alikuwa nabii muimbaji. Alifariki November 2016 akiwa na miaka 60. Alishatabiri vita ya Ukraine na Russia. Alitabiri kwamba kuna roho itaingilia kati itakayomfanya Putin aondoe jeshi kwenye nchi huru aliyoivamia. Alitabiri kuwa Putin atauwawa nchini mwake. Utabiri wake...
  18. tutafikatu

    Mama Samia yule mteule wako wa NIMR ilimshinda Hospitali ya Mloganzila

    Mtafiti yupo kule NIMR Center. Anakesha kuandika tafiti mbalimbali ili apate ufadhili, pasipo msaada wowote toka NIMR HQ. Kwa jasho na damu anapata ufadhili na kupeleka pesa kituoni kwake ambazo zinasaidia hata kuendesha kituo. Halafu from nowhere anakuja mteule mmoja wa Rais anataka hizo pesa...
  19. tutafikatu

    Kama Wachumi Wawili Wazuri Hawawezi Kukubaliana, Kwanini Mwigulu Mchemba Adhani Anachoamini Yeye ni Sahihi?

    Mtunzi mmoja maarufu, George Bernard Shaw, aliwahi kusema: "Ikiwa wachumi wote wangewekwa kona hadi kona, hawangefikia hitimisho (tamati)." (Tafsiri yangu) Kwa hiyo, inakuwaje wachumi wawili wabobezi wenye uzoefu, maarifa, wanasoma na kuchambua takwimu sawa na kila mmoja anakuja na utabiri au...
  20. tutafikatu

    Naomba kujuzwa kuhusu uandishi wa sasa wa barua za Serikali

    Hivi karibuni kumekuwa na uandishi wa barua za serikali ambao kila aya inakuwa na namba. Kinachonishangazaa ni kwamba barua zote hazina aya ambayo iko labelled 1, ila zote zina aya ambayo iko labelled 2. Najiuliza kwanini aya namba 1 haipo? Bahati mbaya kila sehemu inatumika template hii hii...
Back
Top Bottom