Ni miezi saba sasa tangu nilivowasilisha, fomu ya kudai mafao ya ukosefu wa ajira pale PSSSF. Ila Cha ajabu hadi Sasa Bado hawajinilipa pesa zangu.
Nipo stressed sana. Nilitegemea hizo hela niweze fanya biashara, lakjni hadi Leo bila bila, nimekua mtu tegemezi, sina hata mia mfukoni, mpaka...
Ni miezi saba sasa tangu nilivowasilisha, fomu ya kudai mafao ya ukosefu wa ajira pale PSSSF. Ila Cha ajabu hadi Sasa Bado hawajinilipa pesa zangu. nipo stressed sana.
Nilitegemea hizo hela niweze fanya biashara, lakjni hadi Leo bila bila, nimekua mtu tegemezi, sina hata mia mfukoni, mpaka...
Yaani huduma Kwa wateja serikalini ni shida sana. Sio uhamiaji tu. Karibu taasisi zote serikalini customer care ni tatizo. Unapiga namba husika mwezi mzima, haipatikani, ikiita basi haipokelewi. Useme Utume email, ndio kabisa, hamna majibu.
Nasikia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.
Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi maana wameathirika wengi kisaikolojia.
Nashauri...
Naombeni ushauri wenu wadau, nina miaka kama mitatu nipo kwenye mahusiano na mama mmoja mwenye watoto wawili.
Natamani tuachane lakini nashindwa na kanambia lazima nitaishi nae hata kama sitaki. Sasa hivi nikitoka tu na mtu mwingine, jogoo hasimami mpaka yeye.
Embu nipatieni ushauri nifanyeje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.