Search results

  1. C

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    Nakuunga mkono, Walicho kifanya Muhongo na Maswi nikuwachanganya wabunge wakashindwa kujadili ufisadi wa makampuni yanayo zalisha umeme km vle Songs, Agrco, Iptl nk na kujadili tuhuma za ztt! Yaani bunge la upinzani limekosa mwelekeo wamenasika ktk mtego wa ccm! Badala ya kujipanga nijinsigani...
  2. C

    Baadhi ya wabunge wa CCM na Upinzani wadaiwa kuhongwa na menejimenti ya TANESCO

    Nakuunga mkono hawa jamaa wamepewa Fungu kutoka kwa magamba wamudhoofishe Ztt na chadema
  3. C

    Mh. Zito rudi Kundini!

    Hapo mkuu umenena, toka lini 'Mchaga akatanguliza Siasa akaacha Fwedha' Zitto wa mwache
  4. C

    Mh. Zito rudi Kundini!

    uNA CHUKI BINAFISI
  5. C

    Rais 2015 ni Prof.Lipumba toka CUF

    Chadema tunaiaga 2015,na hii inatokana vyama vya upinzani kukosa ushirikiano Tumaini letu sasa limebaki kwa mgombea Bina fisi.
  6. C

    Njaa na Propaganda mbaya itatula siku si nyingi kwanini hatuandiki ukweli wa nchi hii???

    Magazeti mengi yanaogopa kuandika ukweli swala la Ma Dkt, waandishi wengi wana muogopa 'Msangi' na 'Abel'
  7. C

    Chanzo cha matatizo yote ya Tanzania ni JK

    Nauunga mkono hoja, Marehemu BB/ wa Taifa alisema hawezi kuongoza,pamoja na rafiki yake EL, sasa wakina Mwinyi, Ngombale, kinana nawengine, 2005 wakajifanya hawajui aliyo yasema BB/ wa Taifa mwka95 japokua Mkapa(M/kiti)wakatihuo alifurukuta lkn alizidiwa, matokeo yake tukapata kiongozi mwenye...
  8. C

    Kashfa nzito: Malipo hewa kwa wabunge na ubadhilifu wa pesa bungeni waanikwa na CAG

    Natamani spika awe WANGU! Niwe namshauri usiku.
  9. C

    Siasa zahusishwa vurugu za RUVUMA

    Huu msemo 'HIZO SIASA' au mimi 'SIYO MWANA SIASA' imezooeleka sana kwa Viongozi wetu. Hasa kwa wakuu wa Mikoa,Wilaya na Wababe wetu 'PWOLISH!', mimi sikubariani kabisa ya kwamba jeshi la Pwolish lina linda raia, wameishakua majambazi tu!
  10. C

    Dr. Slaa aingia Mbeya na kupokelewa na wananchi kwa hamasa kubwa!

    ogopa wana SIASA wa TZ usiwaamini maana wanataka umaarufu tu nakuiba pindi wakipata madaraka, Ni Nyerere na Sokoine tu Hakuna tena kama hao
  11. C

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Kaseja apumzike, goli la tobo? Kampa sifa mwaikimba
  12. C

    Urais CHADEMA moto 2015: Dk Slaa, Mbowe, Zitto hapatoshi

    Dk Slaa ndiyo tegemeo letu si kwa cdm tu watanzania wote. Mbowe W/Mkuu, Ztt W/Nishati Lema Mambo ya ndani Lisu Sheria na ktba, H,Mdee Aridhi, Mnyika W/Nchi ofisi ya Rais utawala Bora, Prof Baregu Ktb Kiongozi, Marando AG (2015)
  13. C

    Socialist party of Tanzania

    Mwambie
  14. C

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    Na nimeamini PESA inapasua Mlima! Pesa ya ccm imeisambaratisha Cuf MASIKINI Prof....IBRA...
  15. C

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    Na nimeamini PESA inapasua Mlima! Pesa ya ccm imeisambaratisha Cuf MASIKINI Prof....IBRA...
  16. C

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    Hakika nimeamini CUF ni chama cha Maalim Seifu
  17. C

    VIWANDA VIDOGOVIDOGO VYA NGUO(Handlooms) Tz.

    Nakushukuru Ndeti....Mawazo yako mazuri inabidi tugangamale Viwanda vyote vya nguo vya uma vilipo uzwa tu nasisi tukakwama, Hasa kile cha Ubungo Spining ndiyo kilikua mkombozi wetu, Mbaya zaidi zile mashine zili ng'olewa na wale wahindi kwa madai wanaleta za kisasa toka mwaka97 matokeo yake...
  18. C

    VIWANDA VIDOGOVIDOGO VYA NGUO(Handlooms) Tz.

    Mchango wako ni mzuri sana, sasa tufanye nini ili Rais atu saidie tatizo letu kubwa ni Bei ya Nyuzi kupanda mara3, Wiyara wana piga danadana, halafu nilicho kugundua Wizara haina habari kama viwanda hivi vipo hili nalo ni tatizo
  19. C

    VIWANDA VIDOGOVIDOGO VYA NGUO(Handlooms) Tz.

    Nataka ni muombe Mh, Rais Jk. Atusaidie kututatulia swala hili la upandaji wa bei ya malighafi(Nyuzi) ilipanda toka mwaka 2009 mwezi9 kutoka 5,900 hadi 9,000 kwa madai ya kwamba Pamba hakuna wanaagiza ktoka nje, chakusikitisha sasa hivi pamba ipo kwa wingi Bei ime ongezeka kg1 Tsh,13,000...
Back
Top Bottom