Search results

  1. mkomatembo

    Sidney Sheldon Novels: Wale waliomsoma huyu Mwamba

    The sands of times ...Masista wale !
  2. mkomatembo

    E-tax banking issues: Mwenye kusoma na aelewe

    Mimi nadhani wewe ndio usoelewa! Sasa hivi kuna baadhi ya BAnks ambazo zimeingia mkataba na TRA kukusanya TAxes , Domestic REvenues na d Comm for Customs , sasa hebu nikuulize, hiyo Bil 10, BAnks zikisema hazina na more obvious kuna Banks zitashindwa unadhani NINI KITATOKEA? Kodi itakusanya kama...
  3. mkomatembo

    ATCL kuanza direct flights to Mumbai

    Hivi ndio vitu masikio yanataka kusikia, Nimefurahi angalau Magu amebadilika kiasi kwamba kwenye mikutano yake anachanganya wabunge wa vyama vya upinzani ...vile ndio kiongozi wa nchi anatakiwa awe! aendelee hivo na watu watabadili muelekeo wao!
  4. mkomatembo

    Ufukuapo makaburi, kumbuka wenzio walikusitiri...

    Mara Paaaap! nawewe tukikuita una wivu , husda na roho mbaya TUTAKOSEA! mwacheni magu afanye kazi zake! kila zama na kitabu chake! na kila uongozi na style zake mwacheni azindue zindue hata vilivokwishazinduliwa mradi anatimiza wajibu wake! acha husda roho mbaya na chuki! TOA BORITI JICHONI...
  5. mkomatembo

    Ufukuapo makaburi, kumbuka wenzio walikusitiri...

    Ha ha ha ha Muosha huoshwa ! yamekukuta yepi shingakwetu! ulokuwa ukishinda humu kumsema Dau vibaya! kila majina ulimwita ! firauni hili na lile! na kumsifia huyu huyu leo unamwita ana makaburi yalofukiwa! YEPI YAMEKUKUTA SHINYANGA KWETU na genge lako!!!
  6. mkomatembo

    Mahad Nur: Msomalia Wa City Mall na Victoria Plaza, Vijana wa Kitanzania tuko wapi?

    Vijana wa Tanzania acheni kuangalia huyu ana nini yule ana nini! tumieni ubongo wenu kuwa wajasiriamali! hawa lazima walianza chini mpaka wakafika hapa! Tanzania ni nchi ilobarikiwa na rasilimali nyingi sana tumieni rasilimali zenu mtafanikiwa!
  7. mkomatembo

    IPP punguzeni udini

    Hata alipoona jina la Tido Muhando, Charles, Ivona Kamuntu, Suzan na wengine pia aliwakosesha kazi, tena kibaya zaidi akawapa kazi za utawala wa juu... mna matatizo sana ndugu zetu wa upande wa kushoto (Shimali). Mlilalamika sana kuhusu Dau na udini pale NSSF mkafanya mpaka na statistics kujua...
  8. mkomatembo

    Nawezaje kuacha kazi huku nina mkopo benki?

    Chige umeongea kila kitu, Kwa kuongeza Naiomba Serikali itilie mkazo kama inavotilia mkazo katika kuhakikisha kila Bank inajiunga katika systems ambazo zinasaidia nchi kama ya juzi juzi Tanzania Revenue Collection System. Serikali itilie mkazo kila Bank kutumia "CREDIT BUREAUS" ili kuepuka...
  9. mkomatembo

    Haki ya kifo cha Aquiline, tusisahau haki ya Salum Muhammed aliyepigwa risasi na Polisi Kurasini

    Kwa hiyo na akwilina alikuwa jambazi? au tuseme alikuwa kwenye maandamano! ninyi chuki na waislam itawamaliza! Mwenye ez Mungu anakuona !!! HasbunaLLAhu waniimalwakiil
  10. mkomatembo

    Mbona Viongozi wa Dini mkoa wa Dar wamekaa kimya wakati Mwenyekiti wao Sheikh Salum anashambuliwa mitandaoni?

    Ahsante kwa bandiko hili, ni kweli usemayo! na kwa kuongeza, WAISLAM WENGI WA TANZANIA NA WALIO NJE , NARUDIA ...NA WALIO NJE AMBAO NI WATANZANIA wanaona kama Mange amewasemea na ukiangalia mitandao mingi comment ni Duaa za kumuombea manusra Mange! japo ana lugha kali lakini wameona kama...
  11. mkomatembo

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Yaani, Kama hiki kinachojibu hii IQ ndio kizazi kijacho TAnzania inaelekea Shimoni! 1. Watu wana papara, hawaangalii mambo vizuri ! huko mbele watakuwaje 2. Wamepewa majibu tafauti , wanashindwa hata kumsoma mtoa mada anavoruka jibu sahihi! maana jibu sahihi lililotolewa hajaligusa kwa hapana...
  12. mkomatembo

    Kwanini Serikali haitaki ku-address hizi Conspiracy kuhusu BAKWATA?

    Achana na Waislam wewe , nani asojua Bakwata imewekwa KUWADUMAZA NA KUWADIDIMIZA WAISLAM, na ndio maana wanaochaguliwa wote wapo kama alhadi.. kwa taarifa yako Mange amewakosha waislam walio wengi wasopenda dhulma inayofanya na Bakwata! PERIOD!!!!
  13. mkomatembo

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Jibu ni 16, Kimtu kimevaa Filimbi huko juu na chini hana Filimbi , KImtu 3, Viatu 10 na filimbi 2 kwa sababu filimbi hapo ipo moja tu na juu filimbi zipo mbili.
  14. mkomatembo

    TBT: Elizabeth Michael Lulu na Marehemu Steven Kanumba

    Mh! Nadhani mheshimiwa Judge alitakiwa aone picha kama hizi na agundue kuwa marehemu alimtengeneza lulu kuwa hivi alivo leo! nadhani Karma imefanya kazi yake! nyie wanaume muache kuviharibu vitoto vya watu pia!
  15. mkomatembo

    Rais Magufuli apiga marufuku kufanya biashara kwa kutumia fedha za kigeni

    South Africa hawataki kusikia kitu kinaitwa pesa ya kigeni kila kitu wao ni pesa ya kwao! Kitu ambacho naweza kusema hapa wakisema itumike Shilling, Je pesa ile haitafluctuate ? leo unaambiwa service hii sh 1,000 kesho unaambiwa 1,200 nk ila nampungeza Rais kwa hili
  16. mkomatembo

    I am Ignorant, sijawahi waona Wanawake Waislamu wakienda Msikitini

    NAomba nikusahihishe, kuuliza ni kujua, na inaweza kuwa faida kwa watu wengi, watu wamejibu vizuri sana na ameelewa, wakati mwenine hatutakiwi kuwa wakali tuwaelekeze wenzetu wanaotaka kuujua Usilam vizuri ili waelelewe , NAJIVUNIA KUWA MUSILAM
  17. mkomatembo

    Papa afikiria kuruhusu mapadri waoe

    Hivi huwa mnaruhusu kitabu chenye maneno ya Mungu kubadilishwa namna hii? Kwahiyo mtuambie Mstari wa ngapi, kwenye Biblia neno la Mungu litabadilika ili tuanze kukariri mapema!
  18. mkomatembo

    Jeneza lilivyokataa kuingia kanisani kimiujiza

    Hivi ninyi watani zangu WASUKUMA! mbona kiswahili kinawapa shida namna hii? muwe mnaongea kiswahili siku moja moja mkiwa majumbani sio kilugha tu! Eti walimupiga,.....kumukuta...
  19. mkomatembo

    Vifaranga vya kuku 6,400 vyateketezwa kwa moto baada ya kukamatwa vikiingizwa nchini kinyume na sheria kutoka Kenya

    Sielewi nchi inapokwenda! kweli unatekeketeza kiumbe hai kwa moto kingali hai?? Ametakasika Mwenye ez Mungu alompa Binadamu uhai! akampa ufalme wa kuongoza na akawapa hikma wengine akawanyima wengine! Hao watu na wajivike viatu vya hawa vifaranga ndio ingekuwa wao wanateketezwa kwa motot...
  20. mkomatembo

    Which cup get filled first

    Jibu ni 3, yaani hii test nzuri sana kwa vijana wa kizazi cha leo wasioweza kupembua mambo na kuwa makini katika kurudia rudia swali ili upate kuelewa. Mimi wa zamani nilosoma enzi za nyerere nimerusia rudia mara mbili mbili kuangalia na kugundua. Kuna sehemu zimezibwa kwenye kikombe namba 4,5...
Back
Top Bottom