Search results

  1. W

    Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

    Sawa sawa, bei ipoje?
  2. W

    Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

    Nahitaji 205/45/17.. Kama unayo nijulishe
  3. W

    Tumetoka kufunga ndoa saa mbili na nusu asubuhi. Tumetumia dakika 40

    Je ni lazima wasimamizi wa ndoa hizi wawe wanandoa?
  4. W

    Nahitaji ushauri kuhusu aina ya kuku wa kufuga

    Ni kuku wa aina gani wanakuwa vyema na kuvumilia magonjwa kati ya Sasso, Kroiler na Israeli? Kama kuna aina nyingine naomba mnijulishe ili nianze rasmi ufugaji wa kuku.
  5. W

    Hivi wataalam wa kilimo toka SUA wana impact gani! Mbona hawasikiki?

    Watafute upate ushauri usilalamike. Angalia wenzako hapo-http://ushaurikilimo.org/maswalimajibu.php
  6. W

    Mbwasa general machines company

    Tuwekee bei za hizo mashine.
  7. W

    Nunua/agiza sasa Mbegu bora za Mbaazi

    Nahitaji ILONGA 14-MA (ICEAP 00554). Mnazo hizi?
  8. W

    Wizara ya Utalii, Blog ya Michuzi na gazeti la Mwananchi acheni upotoshaji juu ya Bookings za Watali

    'Ebale' Tanzania booking zimeongezeka kwa 27% na sio kupungua mpaka hapo. Soma upya upate maana ya hizi aya. Countries that have seen the largest percentage of growth in year-over-year bookings are, in order, Kenya (up 59%), Iceland (up 56%), Saint Martin (39%), China (35%), Ecuador (34%)...
  9. W

    Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    Shukrani Gemmy, kwa EXPORT na AY tutawapataje (mawasiliano)?
  10. W

    Wanunuzi wa Mbaazi wa AZAM

    Ndugu, Azam umeshawapata?
  11. W

    Wauza mafuta Tanzania wanatengeneza faida za ajabu

    YAANI MUDA HUU PERTOL IWE TSH 660? NGOJA TUWASUBIRIE WAHUSIKA KAMA WATAFANYA JAMBO HAPO.
  12. W

    Ni kweli kuhusu Vincent Kigoli?

    Tupe habari kamili
  13. W

    Bodi ya MCC yainyima Tanzania fedha za msaada

    Naamini ya Zanzibar yataisha lakini kama nchi tujitahidi kujitegemea ili kufikia malengo kwa muda tunaotaka. Masharti ya misaada huwa sio mazuri na fedha huja kwa mafungu i.e tunaendelea lakini kwa speed wanayotaka wao. Kwa kifupi tutatue matatizo wenyewe tujenge utaifa ili kuepuka kuwa...
  14. W

    Nauza Kuku jamii ya Kuchi

    Unapatika wapi?
  15. W

    Used car from Japan

    Tupe jina la yard yenu na taarifa zinazoihusu kwanza.
  16. W

    HUKO ARUSHA wanachama wengi wahama ukawa na kujiunga na ACT (Maandamano)

    Kuhama sio Tatizo. Kura watapigia chama gani hicho ndio kitendawili.
  17. W

    Fungua macho umeona nini?

    Jina la picha ni Chui.
  18. W

    Nimemtafutia kazi sasa anakataa kutoa penzi kwa bosi, mimi nimfanyeje?

    Nimpe zawadi gani huyu binti, nimefurahi kwa kweli aendelee kukataa kama ni kazi atapata tu kwingine.
Back
Top Bottom