Search results

  1. M

    Kwa nini TBC haionekani Mkoani Kilimanjaro?

    Mbona inaonekana vizuri tu kupitia king'amuzi?
  2. M

    Natafuka simu ku nunuwa !

    Mbona hausemi upo sehemu gani?
  3. M

    Dada zetu acheni kuwatega vijana wanaowasafisha kucha barabarani!

    Waache watutege na wewe msafisha kucha ukiona mdada anakutanulia mapaja na kama yanalipa usisite kumchombeza ili ukayapanue vizuri chumbani,mimi mwenyewe nina hamu nao kweli.
  4. M

    Natafuka simu ku nunuwa !

    Wewe upo wapi?
  5. M

    Tujikumbushe Wabunge na Mawaziri waliokufa tangu JK awe madarakani

    Wewe IFRS 9 hujalazimishwa kusoma,HUTAKI UNAACHA.
  6. M

    Cheka ukiwa unalala

    Acha hizo Zulady,nimekubamba sijakubamba?
  7. M

    Toyo inauzwa 1milion moshi mjini

    Nielekeze nije mimi nipo hapa double road nafanya kazi Barclays Bank.
  8. M

    Updates ibada ya kumuaga Mh J Sumari msasani Dar

    Jamani naomba kuuliza kwani huyo ndo baba yake Nancy Sumari na Nakaaya Sumari?
  9. M

    Kafulila pokea mshahara wako wa dhambi ya unafiki kwa Watanzania

    Lakini tukumbuke kuwa yote hii ni mipango ya kambi ya CCM kuvuruga upinzani kwa sababu Mbatia ni CCM ila anavuruga NCCR-Mageuzi tu tokea lini kura za siri zikapigwa kwa kunyoosha vidole kama sio kutafuta ushindi kwa lazima kwa sababu watu wataona aibu kutompigia,na mwisho wa siku kafanikiwa...
  10. M

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Yaani mi ningepewa bomu ningeenda kujilipua naye Ikulu.
  11. M

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Jamani hili jambo limenikera sana na amewateua hao mabalozi kiurafiki kwa sababu wote ni CCM na wote waliangushwa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge mwaka 2010 kwani si mnakumbuka hata Basil Mramba pamoja na kashfa zote na kesi ya ufisadi hata kabla haijaisha akampa awe balozi wa Tanzania nchini...
  12. M

    I Miss Sex!!

    Hata mimi kashaniboa halafu kuna wajinga wenzake wanamsupport kama anafeel sex amwambie dada yake,na sitaki tena mtu amshauri mi ndo nimefunga mjadala.
  13. M

    Yanayojiri mkutano wa NCCR - Disemba 17, 2011

    Siasa ni mchezo mchafu ambao kila nikifikiria naumia sana moyoni kama leo asubuhi tumesikia kwenye vyombo vya habari kuwa kiongozi wa nchi yetu amewateua wale waliokuwa mawaziri ambao walishindwa kwenye ubunge mwaka 2010 kama vile Dk.Batilda Buriani,Philip Marmo,Deodoras Kamala na wengine...
  14. M

    Yanayojiri mkutano wa NCCR - Disemba 17, 2011

    Hawa magamba wanafanya mambo bila kujipanga,2015 itakuwa ndo mwisho wao.
  15. M

    Yanayojiri mkutano wa NCCR - Disemba 17, 2011

    Huyu James Mbatia ni CCM ila anavuruga vyama pinzani tu.
  16. M

    Yanayojiri mkutano wa NCCR - Disemba 17, 2011

    Sasa mkutano umeishaje mbona hatujapata hitimisho?
Back
Top Bottom