Search results

  1. Mnyuke Jr

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Ukicheza nao vzr hao unaondoka kufanya kazi huko nje chapu tu mkuu
  2. Mnyuke Jr

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Kama bado Upo interested kwenda kufanya kazi abroad,nenda Mabibo makutano Kuna jengo linaitwa Georgious house ni first floor wanapeleka watu Qatar kwa nafasi za cleaner Mpk sasa wamepeleka watu zaidi ya 60 kwa mwezi December na January....gharama zao ni makubaliano ya kuwalipa ukishaingia...
  3. Mnyuke Jr

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Oya mzee uliacha kazi Kule Gardaworld
  4. Mnyuke Jr

    FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

    Skudu kajivunja....kaenda nje,Lomalisa kaenda nje,ili iweje sasa? Mkude na Maxi hata sub hawakuwepo kabisa......next time kama hawayataki haya mashindano wasipeleke timu kabisa
  5. Mnyuke Jr

    FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

    Aucho,Pacome,Yao,Maxi,Sure boy....hawana majukumu yoyote,wanapumzishwa kwa kazi labda waliofanya
  6. Mnyuke Jr

    FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

    Next time kama hawayataki haya mashindano wasipeleke timu
  7. Mnyuke Jr

    Shabiki mwezangu wa Yanga unakubali Morrison kurudi Yanga?

    Mkataba wake umeisha na hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha
  8. Mnyuke Jr

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Huyo anataka kwenda hasa nchi za kiarabu ila hata ikitokea una connection ya nchi nyingine,Mpe ndg yetu akatimizr ndoto zake
  9. Mnyuke Jr

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Kwenda uarabuni bila kulipia gharama,hii njia wakala anakusanya watu wa kutosha kwa muda mrefu zaidi ili akiwapeleka wote kwa pamoja hata commission yake inakuwa kubwa,tofauti na akipeleka watu wachache wachache Kwahyo ili wakala ashawishike kukupeleka kwa haraka ni Bora ulipie gharama anayohitaji
  10. Mnyuke Jr

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Haya kazi kwenu sasa,mawakala ndo hao juu,tumia wakala unayempenda wewe
  11. Mnyuke Jr

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Njoo PM nikupe mawasiliano ya huyo Agent
  12. Mnyuke Jr

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Kuna Agent yupo Tabata Kimanga anaitwa SAJMAS yeye ana kazi za security,House keeping na Gardeners nchini Qatar Kwa mwanamke uwe na USD 150 na mwanaume uwe na USD 600... There is no free Lunch in Africa, You either take risk or stay low and struggle in your country
  13. Mnyuke Jr

    Fursa za kazi ughaibuni na mtazamo wangu

    Vijana wa kitanzania sasa tuache inferiority mind ya kunyanyasika na kupoteza maisha ukiwa nchi za nje
  14. Mnyuke Jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa score zilivyo,huu mkeka unatiki Tuombe mungu tu
  15. Mnyuke Jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sema sikuwa na mtaji Leo,huu mkeka niliuamini sana, ningeupa hata 5000/= Ngoja tusubiri mwisho wake tuone
  16. Mnyuke Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    We're not interested in winning the league,we as Gunners wants to win all the games and in the end of the season they can decide who they'll give the EPL Title
  17. Mnyuke Jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mm nilitia 500 inakuja kama 22,000/=
Back
Top Bottom