Search results

  1. M

    Njoo tulime kilimo cha umwagiliaji

    Mimi ni mdau wa kilimo. Nina mashamba kadhaa baadhi ya mikoa. Ila natafuta mdau mwenye mzuka wa kilimo tulime, kwa shamba langu liliopo Mkoa wa pwani, Wilaya ya Kisarawe, kijiji cha Kisanga ekari 6. Shamba lina maji ya kutosha. Kilimo cha umwagiliaji kinalipa. Njoo tulime
  2. M

    NADHARIA Wazazi hawatakiwi kukutana kimwili mtoto wao akifanyiwa tohara?

    Wadau habari zenu! Tumemfanyia tohara Jana mtoto wetu wa miaka 2. Mbaba mdogo akanipigia akaniambia tuache kushiriki/kukutana na mke wangu hadi watoto wapone. Ni mwiko kabisa. Je, ni kweli wadau?
  3. M

    Huna 10M usisumbue watu kudai michango ya harusi yako

    Habarin za muda huu! Niende moja kwa moja ktk mada. Harusi ama Send-off n suala la mpango. Nina amini mpaka unaamua kuoa na kufanya harusi(sherehe) umejipanga. Ama mnaandaa sherehe ya kumuaga binti yenu(Send-off) mmejipanga pia. Mimi nilipotaka kuoa na kufanya harusi nilijipanga kwa pesa...
Back
Top Bottom